Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Narudia kusema tena...hata changudoa hapaswi kubakwa.
Hofu yangu imejikita kwenye serikali kutoa maelekezo kuwa wazazi waongee nini na waache nini wakati wanadai kuwa walishudia mambo flani hayoko sawa na taarifa iliyotolewa haikuwa ya kweli.

Ujue mzazi kuamua kwenda kinyume na taarifa ya mkuu wa mkoa ni jambo zito?
Fikirini kidogo wakuu
Ungeijua Pandahill usingewaza haya...
 
Kama una mtoto wa kike badilika best angu..sijui nikuelezeje...dah..nakuonea huruma...weka akilini hakuna kiumbe mjanja kama jinsia ya kike .huyo wamcharaze tu mboko ataeleza ukwel
Yaelekea familia imeungana na mtoto wao na wamemlisha maneno na stori za uongo na ukweli. JIMI aende mahakamani kudai haki yake baada ya udhalilishwaji
 
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.

Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.

Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"

Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Huenda lilitengenezwa ku wave mjadala wa DPW
 
Hahaa kwa kweli mleta mada umeileta kihisia zaidi. Tuhuma ulizompa mwalimu Jimmy ni kubwa na hazikutakiwa kuja na maneno matupu yasiyo na ushahidi. Kwa namna ya tabia ya vijana, Ester akiwa mmojawapo, ni kawaida sana kuwa waongo hasa katika mambo anayotafuta kuaminika. Hivyo haipaswi tuhuma zako ziwe zimetoka kwa Ester pekee yake. Confidence aliyoonyesha ester, kwenye mahijiano sio ya mwanafunzi wa kawaida. Kuna uzoefu mkubwa aliyonao kwenye eneo la janja janja ya kimahusiano.
 
Ungeijua Pandahill usingewaza haya...
Hapa ni mtu...mwl Jimmy na sio shule kama shule.
Shule labda tu ijiingize kulinda taswira.

Pili nimeona shule ni ya RC, ikiwa hata mapadri hupata kashfa ya kulawiti je mwl wa kiume atashindwa kumwingilia binti?
 
Hahaa kwa kweli mleta mada umeileta kihisia zaidi. Tuhuma ulizompa mwalimu Jimmy ni kubwa na hazikutakiwa kuja na maneno matupu yasiyo na ushahidi. Kwa namna ya tabia ya vijana, Ester akiwa mmojawapo, ni kawaida sana kuwa waongo hasa katika mambo anayotafuta kuaminika. Hivyo haipaswi tuhuma zako ziwe zimetoka kwa Ester pekee yake. Confidence aliyoonyesha ester, kwenye mahijiano sio ya mwanafunzi wa kawaida. Kuna uzoefu mkubwa aliyonao kwenye eneo la janja janja ya kimahusiano.
Hata hizi ulizoongea ni hisia mkuu.
Je umewasikiliza wazazi walivyisema walioewa maelekezo namna ya kuongea tofauti na uhalisia wa mazingira?
 
Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.

Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
Kweli. Kiuhalisia angeenda kushtaki au aende nyumbani kwa mama yake kama ni innocent
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,
Kama hataki io shule aseme tu
 
Toka lini mwalimu wa kiume akaingia kwenye bweni la watoto wa kike bila matroni wa kike huyo dogo ni malaya kmmk
Hapa ndio mwanzo wa ukweli kujulikana, je walimu huingia bwenini kwa wanafunzi wa kike?
 
Back
Top Bottom