Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 69,329
- 164,730
- Thread starter
- #81
Wangemwita ile siku ametajwa waondoe huu ukakasiyani hapo watadeal na ester tu huyo mwalimu watamsahau,, ni kweli wanafunz hawaaminik lkn kwann mwl.jimmy? ifike pahali haki ya kusikilizwa iwepo ata kam mwl ni mkubwa kuliko mwanafunz but wote Wana haki sawa.