Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muuza genge si anajulikanaBAba Jose ni mtu asiyejulikana, anafahamika na mtu anayejulikana na muuza genge pekee
Ndugu yangu nikutoe hofu,kwenye hili sakata huyo binti ni muongo na hayuko serias na shule,usiwaamini watoto wa siku hizi ni vimeoNchi ya maelekezo kila mahali, kuna siku mtaleta maafa makubwa sana nchi hii.
Ndugu Watanzania, tukiwa katikati ya sakata la DPW, lilibuka sakata la mwanafunzi wa Panda hill school kupotea, kwa jina Ester.
Sakata hili lilivuta hisia za wengi kiasi cha waziri mkuu kutoa tamko kuwa anawaagiza polisi wantafute kwa haraka ili apatikane.
Jambo hili lilizua gumzo kubwa na hisia kali katika jamii.
Katika kupotea kwake Ester, inasemekana aliacha ujumbe usemao " mjihadhari na mwl Jimmy"
Jamii ilijiuliza kwanini Jimmy?
Baada ya agizo la Waziri mkuu, mtoto alipatikana kwa haraka sana, ikadaiwa alikuwa kwa muuza mkaa kwa jina baba Jose akishirikiana na mama muuza genge, mara fundi cherehani...mkanganyiko.
Wote tulishuhudia Ester akihojiwa ofisini kwa mkuu wa mkoa na alirudia kumtaja Jimmy kuwa ashughukiwe bila ya kufunguka zaidi.
Leo tena kwenye vyombo vya habari, nimeshtushwa mnoo kumsikiliza Ester akihojiwa na ameelezaza kuwa;
1. Mwl Jimmy aliingia bwenini akisaka wanafunzi waliochewa kutoka bwenini.
2. Alimkuta Ester ametoka kuoga na akiwa na kanga moja
3. Akampiga kuwa kwanini amechelewa kuwahi darasani
4. Akamsukumiza kitandani, akamziba mdomo na shuka na KUMWINGILIA KIMWILI
WAZAZI/WALEZI WA ESTER
1. Wamelalamika kuwa mtoto alipopatikana mazingira yalitia shaka
2. Pamoja na mashaka viongozi waliwazuia kuongea tofauti na MAELEKEZO waliopewa
3. Sasa wanaomba haki itendeke kwani ukweli ulifichwa.
MASWALI YANGU KWA MKUU WA MKOA NA RPC
1. Kwanini mlificha ukweli wa jambo hili?
2. Kwanini mkuu wa mkoa alikuwa soft sana alipoiongelea shule ya Panda hill na zaidi akiwamwagia sifa?
3. Hii shule ya Panda hill ni ya kigogo gani serikalini?
HITIMISHO
Mazingira ya kupotea na kupatikana kwa Ester yalizua maswali mengi sana ( HUENDA HATA JINA BABA JOSE NI MAELEKEZO TU).
1. Alitorokaje shuleni wakati kuna geti na ukuta mrefu?
2. Kwanini alimtaja Jimmy?
3. Polisi na mkuu wa mkoa walishindwa nini kumwita Jimmy ahojiwe mbele ya mtoto majibu sahihi yapatikane?
4. Ni lini mtuhumiwa kama huyo hakuchukuliwa hatua za haraka bali waliamua kumfuata kwa muda wao?
4. Kwanini mkuu wa mkoa hakujitokeza tena kuliambia taifa undani wa sakata hilo badala yake Pandahill schooll ndio walipewa nafasi ya kutoa taarifa?
SAKATA HILI LINA VIASHIRIA VYA RUSHWA.
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.
Katika maisha yangu kamwe huwezi kumdhalilisha mtoti na mwanamke mbele yangu nikavumilia...sasa awe binti yangu dunia yote ingeiona gharabu yangu.
Kwa mazingira haya Mkuu wa Mkoa na RPC mbeya:
1. Mmewakosea sana watoto wa kike kwa kutokumpa Ester haki yake.
2. Mmewakosea wazazi wote.
3. Mmelikosea na kulikosesha taifa la Tanzania.
ACHIENI NGAZI HARAKAView attachment 2675028
Haswaaaa, watu wanataka mwalimu wa watu afungwe na hana kosaa, kwann lakinii??Binti wa kidato Cha 5, mwenye akili timamu, anasoma masomo ya sayansi. Baada ya kubakwa na mwalimu Jimmy anaondoka kwenda kukaa kwa muuza mkaa Baba Jose badala ya kwenda kuripoti polisi au kurudi na kuripoti nyumbani.
Pelekeni mahakamani ili tijue mbivu na mbchi. Uongo na ukweli haupikiki chungu kimoja. Ma classmates wataitwa na tabia halisi ya Esther itawekwa hadharani
Acha kutetea yeye km alibakwa, mbna hakuenda kushtaki? Alienda kwa baba jose wake? Chuki zenu kwa walimu ziwe na kipimoo. LolNi saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.
Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Haswaaaaah wanataka kumuamgushia jumba bovu mwalimu wa watu, hilo li estaa limalaya lilokubuhuu, linajisafisha kwa kumsingizia mwalimu, hana hata hofuuMmeamua kumdharilisha Mwalimu
Kwa umalaya wa Mtoto wenu.
Sina imani ushuhuda wa huyo Mwanafunzi
Mrudisheni Baba Jose Mke wake.
Wazazi ndio walisema mtoro wao alikuwa kwa Baba Jose?Daah mkuu, umewahi kumuina baba Jose kwa picha?
Baba Jose ni mzuka, hakuna kitu kama hicho, ni script.. tu, wazazi wameongea wazi walioewa maelekezo waongee nini na waache nini, means ukeli ulifichwa kwa makusdi ndio maana wanataka haki itendeke
Alimtaja Jimmy ili aliko kwa baba jose atanue vizuri, hivi kubakwa ndo atorokee na aende kwa baba josee mwezi mzimaa?Mkuu umewahi kupatwa na jambo ukawachukia hadi wazazi wako?
Kama kuna ukweli kuwa alibakwa anaweza kujikuta anawachukia watu wote hadi wazazi waliompeleka shule.
Pili hatuoni kuwa Jimmy alitajwa tangu mwanzo alipoacha barua kabla hajatoroka?
Angemtaja Jimmy baada ya kupatikana hata mimi ningetilia shaka
Kwanini unafikiri wewe utawapoteza wao na wala siyo wewe kupotezwa!!?Hili litaleta maafa, si kila mzazi anaweza kuzibwa mdomo kwa pesa wala vitisho.
Mimi najijua kuwa kwenye utu huwa sina bei.
Nitakupoteza fasta bila woga