The Legacy
JF-Expert Member
- Jun 1, 2022
- 5,879
- 11,318
Ni saw huenda binti ana tabia mbaya, hii haimpi mwalimu uhalali wa kumdhalilisha.
Kazi ya mwalimu ni kubadili tabia.
Pili, maringira ya kulizima hili sakata liko wazi, mwenye shule analinda sifa ya shulw.
Kuhusu mahakama, huu ndio wito wa wazazi sasa wanataka ukwwli na haki vipatikane
Mmeamua kumdharilisha Mwalimu
Kwa umalaya wa Mtoto wenu.
Sina imani ushuhuda wa huyo Mwanafunzi
Mrudisheni Baba Jose Mke wake.
Huyu ana visa na mwl Jimmy ndo kaamua kumkomeshaSikuhizi Tanzania kumejaa watu wa hovyo sana.Mtu anaanzisha mada kumzungumzia malaya aliejivika vazi la uanafunzi.Huyo binti alishawahi kutoroka akiwa o-level akaenda kwa mwanaume.Lakini pia baada ya yote alitoroka akaenda kwa mwanaume(baba Jose)na maelezo ya awali hakusema kuwa kabakwa.Kiufupi huyo mwalimu anaangushiwa jumba bovu na huyo malaya na inapaswa achukuliwe hatua kali ili asije dhalilisha watu wengine.
Apewe Goma lakeUmenichekesha kweli,Baba Jose apewe dem wake
Kama Huyo Mwalimu Jimmy angekua Ni Ndugu yangu, Ngoma tungecheza woteSikuhizi Tanzania kumejaa watu wa hovyo sana.Mtu anaanzisha mada kumzungumzia malaya aliejivika vazi la uanafunzi.Huyo binti alishawahi kutoroka akiwa o-level akaenda kwa mwanaume.Lakini pia baada ya yote alitoroka akaenda kwa mwanaume(baba Jose)na maelezo ya awali hakusema kuwa kabakwa.Kiufupi huyo mwalimu anaangushiwa jumba bovu na huyo malaya na inapaswa achukuliwe hatua kali ili asije dhalilisha watu wengine.
Wewe mwenyewe umehemka kwa kuhukumu walimu kwa hisia zako hasi.Walimu wengi wanaijidai wanoko na wataalam wa kurekebisha nidhamu shuleni ndio wanaongoza kwa umalaya na tabia chafu kuwafanyia wanafunzi,
Wanaficha tabia zao kupitia njia iyo.
Mwanafunzi anakuwa muoga kutoa taarifa endapo kafanyiwa ubaya kwa kuhofia ukali wa mwalimu, kama hujapitia changamoto za unyanyasaji shuleni huwezi kuelewa!...
Haki itendeke msitoe maoni kwa mihemko
Haya tuambie alikuwa wapi, maana yaelekea unajua.Huyo baba Jose hana akili ?akae na mwanafunzi sikuzote hizo na anatafutwa Akae na mtoto wa watu bila hata kumwambia mwenyekiti wa kitongoji?sijui kijiji au mtaaa .Acha upuuzi mtioa maada
Huyo Either hana cha kueleza kwa umma, ni bora aombe msamaha ahamishwe shule akaendelee na Elimu yake, amuache jimmy wa watu khaaahUnajua watu wengi hanahemka bila kutumia akili mwisho wamwalibie maisha mtu mwingine na wanaume ndo huwa tunakuwa wahanga na wanawake wenye roho mbaya kama huyu Binti yaani mwalimu ambake mwanafunzi bwenini ambako wanalala wanafunzi zaidi 200 wakati Kuna probability kubwa kukamatwa na wanafunzi wengine ambao wamedoji au wasahau chochote na kurudi bwenini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nakufaa kwa kucheka wallah.Yani wewe ni baba wa Binti unapambana na mtu ambaye inasadika kamla Binti yako mara moja maana hamna ushahidi harafu unafumba macho kwa mtu aliyemla Binti yako mwezi mzima na ushahidi upo yaani kama alikuwa anamwingilia kwa siku mara tatu kwa siku kamla zaidi ya mara 90 kama alikuwa anapiga mabao matatu Kila anavyomwingilia kamwagia manii zaidi ya mara 270
Sasa atafutwee huyo alio mpokea, ambaye ni baba Jose yeye ndo atasema km aliambiwa na jimmy ampokee Esther au laah.Skia mkuu, Kama unatumia jicho la tatu kufikiria utaunganisha dots kati ya baba Jose, muuza genge na Jimmy mwalimu. Nasema hivi kwasababu Pandahill Sec naifahamu nje ndani na kutoka haiwezekani mpaka uwe na GATE PASS sasa jiulize huyo dogo Ester alitokaje bila Access ya kutoka kwa Jimmy na obviously nje alikuwa amepokelewa na mtu aliyekuwa ameandaliwa kwenda kumficha. Just try to think out the box mkuu
Baba Jose ndo atafutwee ahojiwe, yeye ndo anaujua kila kitu kuhusu hii movie. Wamuache jimmy wa watuu Lol.Na wee ungekua baba Jose ungempokea binti ukae nae mwezi mzima Bila wazazi au viongozi kujua?
KWA hili uyo anyejiita baba Jose ndo mshtakiwa namba moja
Anadhani sisi wengine hatujaishi maisha ya boarding, au huo upuuzi wake wa kutoroka yeye ndo wa Kwanzaa, atuachee kabisaa, atafute jingine, hili la kumsingizia jimmy limebumaa.Wee Mtoto wa form 5,
Tena pcb eti hajui cha kufanya akishabakwa, HAIINGII akilin kabisa[emoji28]
Mahakama zipi? au hizi za hakimu kupigiwa au kuandikiwa sms na Kada wa CCM na maamzi kubatilishwa?Mbele ya mahakama ukweli wooote utajulikana. Wasonge mbele, yetu macho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] watu tumetoroka na kutoroka, likizo ndogo, shule unaaga unaenda home, home unasema unabaki shule, walimu wanajua uko home, na wazazi wanajua uko shule.Balaa shost...boarding mbinu zote za kivita zilko huko...mie nikikumbuka nabaki kucheka...usiku tulkua tunageuka viwete..mradi muibe nyanya mkatengeneze salad domitory[emoji1732]
Atuachee kabisaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nakazia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yaan ungemuona ester mwenyew sijui kama haya yote ungeyasema apa.
Yaani anafanana kabisa nahayo waliyoyasema ya Kwa baba jose