Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Mmhh shule za bweni unajua zinavyoendeshwa hasa za kike mwalimu wa kiume haruhusiwi kuingia bwenini kuna matron hata wanafunzi wakienda kula matroni ndiye hubaki kuangalia utaratibu waliobaki bado bwenini waliorudi na nani bado hajarudi so fikiria mwalimu kwa uwezo wake wa kufikiri kweli aingie bwenini ambake mwanafunzi bwenini hiyo ni uongo uliopitiliza
 
Kama umesoma shule ya bweni utajua ni namna gani binti alivyo muongo muongo
Mwalimu wa kiume bweni la wasichana hiyo labda pandahill tu.Sijawahi kuona O-level, A-level vyuo vya kati nina experince zaidi ya miaka 10 sijawahi kuona mwalimu wa kiume bweni la wasichana.Akienda lazima awe na kibali pamoja na kuongozana na mwalimu wa kike na matron pia matroni hupewa taarifa mapema kuwa kuna ujio ili awape taarifa wanafunzi wawe katika mavazi ya stara.
 
Huyo mwalimu jimmy ndio aeleze sasa, shule ya wasichana, bweni la watoto wa kike unaingia kufanya nini? Kama ni kesi anasingiziwa serves him right, kiherehere Siku nyingine kuingia atakoma, hii inaenda kwa walimu wote wanoko
 
Mwalimu Jimmy ishu yake isifunikwe kisa mtoto anaonekana kwa watu wanaohukumu kuwa ni muongo, at 18 wengi wenu huko boarding mshafanya kila kitu, kunywa pombe, kusagana etc Leo mnuhukumu mtoto kisa kiduku, kusema uongo
 
Mdomo wa binti na macho yake eeeh...anakula ganja au fegi kubwa siyo?🤔
 
Sijui kuhusu mengine ila hii habari ya kubakwa siisadiki. Hasa mazingira tajwa. Nivigumu kufukuza wanafunzi bwenini harafu utekeleze zoezi la ubakaji kwa mmoja wao. Huyo mwalimu atakuwa na roho ya ujasiri kiasi gana bhana!...
 
Mwalimu Jimmy ishu yake isifunikwe kisa mtoto anaonekana kwa watu wanaohukumu kuwa ni muongo, at 18 wengi wenu huko boarding mshafanya kila kitu, kunywa pombe, kusagana etc Leo mnuhukumu mtoto kisa kiduku, kusema uongo
Kiduku ni muonekano wake ila suala kubakwa bwenini hiyo fix ya kiwango cha rami hizo shule nimesoma tumekutana na walimu wanoko kuliko hata huyo Jimmy unaesema mnoko lakini haruhusiwi hata kidogo kwenda bweni la wasichana hata awe mkuu wa shule bila kibali.
 
Kwanza kwenye hiyo story ya muuza mkaa kajiumauma tu. Mara sijui mwenyekiti, mi hata sijamwelewa. Linaonekana wazi kabisa linadanganya. Pumbavu limoja hivi😠
 
Jimmy kama kweli ni mbakaji hashindwi kutafuta mwanya atimize azma yake, kama ulisoma shule boarding ambayo iko strict then ni wewe, hii shule aliyosoma Esther ambayo ina Uzio na geti na bado mtoto anatoroka wasijue means ina ukiritimba mwingi mojawapo ni mwalimu Jimmy!
 
Nataka kusikia kwamba alitokaje pale shule wakati pana ulinzi mkali na fence ya umeme na mcctv camera yote mpaka kwa baba Jose.

Niko pale,wakikujibu uje uniambie
Kumbe hata hata hujamsikiliza?
Ni kwamba, siku hiyo form six walikuwa wamemaliza mtihani walikuwa wanaondoka na yeye akaondoka nao. Akakutana na baba Jose akamwambia ametoka Morogoro anatafuta kazi...
 
Ndo maana nimekueleza nina experience na sijapita shule moja tangu enzi za Rungwe mchanganyiko,Loleza , Green Acres, Bukongo na baadhi ya vyuo unavyovifahamuu mwalimu wa kiume haingii bweni la kike na wa kike haingii bweni la kiume na wanafunzi wakiwa wana mmudu matroni na zamu ni ya mwalimu wa kiume basi ni mwendo wa bata tu hata prepo no kwenda coz unajua mwalimu hawezi wafuata bwenini.Suala la kuruka ukuta hata shule iwe strict vipi mtu kama ni tabia yake ameamua hata pawe na walinzi mia.Watu wamefyatulishwa sana tofali suala la kutoroka na kuruka ukuta lkn ikifika wknd tu bado atachomoka tu.
 
Mnhhhhhhhh walimu kama hawaendi mabweni ya watoto wa kike, Huyo mwalimu Jimmy alienda kufanya nini? Nimesema na Narudia kusema wacha yamkute yaliyomkuta!!! Kisha shule yenye Uzio mtoto kutoroka unaona sawa ila la mwalimu jimmy kuingia bweni la watoto wa kike unaona haiwezekani, biased umeamua kuwa!
 
Sidhani katika nguvu hiyo ulotumia andika bila fuatilia maisha ya huyo Binti, pia kitendo cha huyo Binti kupewa airtime bila mwalimu husika tafutwa au uongozi wa shule ipe mashaka taarifa hiyo daima huu si uandishi bali makelele
 
Mwalimu Jimmy ishu yake isifunikwe kisa mtoto anaonekana kwa watu wanaohukumu kuwa ni muongo, at 18 wengi wenu huko boarding mshafanya kila kitu, kunywa pombe, kusagana etc Leo mnuhukumu mtoto kisa kiduku, kusema uongo
Mbona kashajihujumu mwenyewe na mme wake baba Jose mchoma mkaa
 
Huyu dogo nae anatafuta kiki au huruma ya jamii,
Why asingeenda kwa kwa wazazi wake? Why usiende mripot police soon, sasa saizi hata evidence hazipo, anatafuta tu wa kufa nae, ila hakuna kitu atasema kitaaminika tena,
Sio wazazi tu anaishi kwa afisa elimu watu wazima Ile ni mamlaka toka akiwa mdogo iweje apate changamoto aende kwa baba Jose na sio kwa mama sikumbuki mdogo ama mkubwa. Redio ujinga at work
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…