Sakata la Panda Hill: Mkuu wa Mkoa na RPC Mbeya mnapaswa kuachia nafasi zenu haraka

Ninyi upande wa pili. Hamusihi hata aibu kwa watoto wenu?!

Binti wa kidato cha 5 kasema alimuingilia. Kwa maana si huyo mwalimu ndio aliyemtoa ubikira laa. Mchezo alishauanza.

Kama anaweza anasoma na kufika f5 akiwa na tabia ya kufanya zinaa bila shaka ataweza kuolewa na kuendelea masomo.
 
ANGALIZO:
Ninasikitika sana endapo Ester angekuwa ni binti yangu.
1. Jimmy angekuwa mlemavu au mfu kabisa.
2. Hayo maelekezo mliyowapa wazazi...ingekuwa mimi mngenifunga au kunizika, pasingetosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu na wew Esta amekuingiza King????[emoji1][emoji1][emoji1] eehe shikamoo esta kumbe kweli kwenye kundi la wajinga wako wew ndo mwenye akilii...unaokotaa watu wazima na ndevu zao
 
🤣🤣🤣🤣
 
Umeandika vyema kabisaa
 

Ukikaangalia kwa umakini utaona kama kalikuwa kazoefu fulani hivi, hakuna kubakwa hapa huyu ndo michezo yake. Yaani kabakwa shuleni kakimbilia kwa baba Jose. Nyumbani kwao alikuwa hapajui?
 
Usisahau na la yule padri wa moshi alozushiwa na binti alokua akimsaidia...inaumiza sana.. .pole sana bro!
 
Usisahau wanatakiwa kujiheshimu kwanza.
Afu mkuu fata fact achana na hisia mkuu
 
Ukiona usha anza kutukan ujue huna hoja za kutetea point yako mkuu.
Uyo binti ni malaya.
 
Ukute ndugu yake au ana chuki na panda hill
Maana ana chafua mpaka jina la shule

Atuachie shule yetu kali
Najaribu kufikiria namna alivyotembea mpaka kufika Nanyala/senjele hadi maji moto kutoka pandahili ni parefu. Yawezekana kweli aliingiliwa bila ridhaa yake ila ukifuatilia pande zote zina story yenye ukakasi tangu siku ya kwanza alipopatikana.

Sent from my SM-A115F using JamiiForums mobile app
 
Kwani kwa maelezo ya Esther baada ya kutoka shuleni aliyempeleka kwa dada muuza genge ni nani?
 
Kwaiyo mwl jimmy alimbaka Kisha akampa gate pass Kisha akampeleka kwa baba Jose muuza mkaa akaendelee kumbaka na hilo ndo jicho lako la kumi lilivyoona?
Kwahiyo hivyo ndivyo ulivyounganisha dots zako?🤣🤣
Kweli bado tuna safari ndefu dah🙌
 
Asante sana, kumbe kuna watanzania ambao wanaweza kufikiri na kutengeneza creteria. Ndiomana nasisitiza wakuanza nae ni huyo mwal. Jimmy kwasababu anajulikana na huyo Jose muuza mkaa (Ki intelijensia anaweza akawa mtu wa myth tu) au inaweza ikawa ni entity, inaweza akaongezewa ili kukamilisha shtaka. much know njoo uwaone wanaofikiria mambo kwa mipaka mikubwa zaidi
 
Sasa uyo mwanafunzi kashaamua kumlipua ticha basi angeyaeleza hayo yote na ushahidi ungepatikana na huyo mchoma mkaa sio mjinga ayavae mabomu kwenye kesi ambayo anaweza kufungwa maisha
 
Sasa atafutwee huyo alio mpokea, ambaye ni baba Jose yeye ndo atasema km aliambiwa na jimmy ampokee Esther au laah.

Mbna mnakimbia suala LA baba Jose kutafutwa?? Kwann? Acheni kutaka kuumiza watu wasio na hatia, khaaah
Kamalaya tu hako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…