Siku izi sijui kaokoka au vip maana hanaga scandal za mademu, au ndo kashawatafuna wote.
Labda kapewa limbwata kalii
kuhonga kipaji sio kila mtu ana hiko kipaji
Ndomo hana malengo na wema, yupo nae kinyota zaidi
Hahahaha et kuhonga kipaji kwa hyo daimond hana hicho kipaji.....hv vile vifaa vya ofc ya wema alishaga nunua
Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app