Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

Sakata la picha chafu: Wema, mama Wema kusoma albadili

Huyo mama angekua msichana angempita wema kwa maskendo na kutokea magazetini hamuoni mama yake domo alivyotulia....fyuu
 
Labda kapewa limbwata kalii

Atakuwa ana wazimu, amroge ndomo kwa lipi? Si bora alivyokuwa anamroga clement atleast alipata na vya kupata

Mmh ndomo mbahili aiseeh wema nae anayeweza, anaishia kununuliwa chupi tu na hizo perfume anazoletewa ulaya, mmh shoga ako kaingia chaka
 
Hahahaha et kuhonga kipaji kwa hyo daimond hana hicho kipaji.....hv vile vifaa vya ofc ya wema alishaga nunua

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

Ndomo hana malengo na wema, yupo nae kinyota zaidi
 
Kwa maoni na ushauri kwa Wema Sepetu basi wasiliana nae kupitia namba ya kiganjani 0713341108
 
Hahahaha et kuhonga kipaji kwa hyo daimond hana hicho kipaji.....hv vile vifaa vya ofc ya wema alishaga nunua

Sent from my iPhone using JamiiForums mobile app

kipaji chake mziki , ya kuhonga wanaweza kina Cleme
 
Back
Top Bottom