Sakata la RC Malima na Mkurugenzi Mwanza halina tofauti na wale wauguzi kubishania vifaa tiba feki

Mwanza wameifanya shamba la Bibi kitambo sana Toka Kwa kina Wilson kabwe mwanza haijapoa migogoro ya viwanja imekuthili itoshe tu kusema mwanza hatuyataki ma CCM
 
Na huenda alipoulizwa "vipi?" akajibu "vipisi".
Mkurugenzi alisema: RC pita Hiviiii, umekataa chambichambi kwa kujiona mweeema tangu dunia iumbwe! Pita Hiviiii ....watu wakasaini wakakunja! Hahahah.....

Wakimpeleka mahakamani watakuta dokoment zote ziko sawa
 
Mwanza wameifanya shamba la Bibi kitambo sana Toka Kwa kina Wilson kabwe mwanza haijapoa migogoro ya viwanja imekuthili itoshe tu kusema mwanza hatuyataki ma CCM
CCM kwa sasa haina mbadala ni kama umeme wa tanesco unanuna huku unawasha
 
Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza

RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja!
Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana!

Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo na majibu!

Vyeo hivi vya Mkurugenzi na RC vina mgongano mkubwa sana wa kimaslahi, nashauri viandaliwe utaratibu mwingine ikiwezekana cheo kimoja kifutwe ili kuondoa mgongano wa maslahi kwasababu!

Wakurugenzi ni wasimamizi wakuu wa watendaji katika eneo husika! Wakurugenzi ndiyo wenye wataalamu katika eneo husika, wakurugenzi ndiyo mikono ya serikali na vitendea kazi!,wakurugenzi siyo mwanasiasa ingawa wanatoka kwenye chama cha siasa!

Tofauti kubwa iliyopo kwa RC&DC ni hivi!

RC/DC ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika eneo, ni Icon ya serikali hasa kwenye masuala ya Kiitifaki (protocol)! Ni auxiliary leader katika eneo! Mikono yake mikubwa ni Polisi peke yake! Kwasababu wataalam mpaka migambo wote ni wa wakurugenzi!

Yaani RC/DC akitaka kula peke yake ni kwenye madili haramu ya kipolisi!

Nje ya hapo RC na DC hawezi kula bila mikono na baraka ya Mkurugenzi! Maana mambo yote ya dokomenti yako chini ya Mkurugenzi!

Hivyo tukirudi kwenye sakata la Mwanza!
HAKUNA MWEMA PALE lakini SHIDA Ni ule ulaji UMELIWAJE!

Mkurugenzi anaweza kutusua dili peke yake na likaisha bila msaada wa RC/DC
Na hili ndiyo maana wakurugenzi wanaonekana ni wabaya kila siku!

Mkurugenzi siyo mwanasiasa bali ni mtaalam! Hivyo kula yake haihitaji blaah blaah na makamera!

Kosa lililotokea Mwanza ni Mkurugenzi kula peke yake!

Na kama TAMISEMI ikikurupuka katika mgogoro huu tutarajie watapokea migogoro mingine mingi kutoka kwa RC na ma DC inchi NZIMA!

UKIONA ENEO HALINA MGOGORO UJUE MKURUGENZI NA RC/DC WANAKULA SAHANI MOJA!

Hakuna Eneo ambalo Halina upigaji! Wote wezi tu sema wanazungukana!
(Hivyo tukirudi kwenye sakata la Mwanza!
HAKUNA MWEMA PALE lakini SHIDA Ni ule ulaji UMELIWAJE!, UKIONA ENEO HALINA MGOGORO UJUE MKURUGENZI NA RC/DC WANAKULA SAHANI MOJA!) dmkali, kifungu hiki nimecheka hadi basi....
 
Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza

RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja!
Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana!

Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo na majibu!

Vyeo hivi vya Mkurugenzi na RC vina mgongano mkubwa sana wa kimaslahi, nashauri viandaliwe utaratibu mwingine ikiwezekana cheo kimoja kifutwe ili kuondoa mgongano wa maslahi kwasababu!

Wakurugenzi ni wasimamizi wakuu wa watendaji katika eneo husika! Wakurugenzi ndiyo wenye wataalamu katika eneo husika, wakurugenzi ndiyo mikono ya serikali na vitendea kazi!,wakurugenzi siyo mwanasiasa ingawa wanatoka kwenye chama cha siasa!

Tofauti kubwa iliyopo kwa RC&DC ni hivi!

RC/DC ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika eneo, ni Icon ya serikali hasa kwenye masuala ya Kiitifaki (protocol)! Ni auxiliary leader katika eneo! Mikono yake mikubwa ni Polisi peke yake! Kwasababu wataalam mpaka migambo wote ni wa wakurugenzi!

Yaani RC/DC akitaka kula peke yake ni kwenye madili haramu ya kipolisi!

Nje ya hapo RC na DC hawezi kula bila mikono na baraka ya Mkurugenzi! Maana mambo yote ya dokomenti yako chini ya Mkurugenzi!

Hivyo tukirudi kwenye sakata la Mwanza!
HAKUNA MWEMA PALE lakini SHIDA Ni ule ulaji UMELIWAJE!

Mkurugenzi anaweza kutusua dili peke yake na likaisha bila msaada wa RC/DC
Na hili ndiyo maana wakurugenzi wanaonekana ni wabaya kila siku!

Mkurugenzi siyo mwanasiasa bali ni mtaalam! Hivyo kula yake haihitaji blaah blaah na makamera!

Kosa lililotokea Mwanza ni Mkurugenzi kula peke yake!

Na kama TAMISEMI ikikurupuka katika mgogoro huu tutarajie watapokea migogoro mingine mingi kutoka kwa RC na ma DC inchi NZIMA!

UKIONA ENEO HALINA MGOGORO UJUE MKURUGENZI NA RC/DC WANAKULA SAHANI MOJA!

Hakuna Eneo ambalo Halina upigaji! Wote wezi tu sema wanazungukana!
Laana ya CCM inaharibu nchi.

Kupeana vyeo kwa kufutana machozi matokeo yake ni nchi kutafunwa kwa mujibu wa sheria
 
Tanzania, watanzania na ulaji! Nchi haitaendelea kamwe, kama hadhi ya nyadhifa haipimwi kwa utendaji bali kwa ulaji!!
Wazalendo wa ccm, na ulaji wenu mtupishe, wizi wenu umetukinai!
 
Unajichanganya kusema mkurugenzi sio mwanasiasa na muda huo huo unasema anatokana na chama Cha siasa. Hapo una maana gani Au ni sawa na kusema Mimi sili nguruwe ila nakunywa mchuzi wake tu. Kuwa makini unapooeta mada/hoja.
 
Ni kweli hana ajualo, maana baada ya kuchimba suala la biashara ya viwanja hivyo ilivyokwenda, kakimbilia neno Dili tu.

Tafadhali mtoa uzi rudi jikoni upate taarifa kamili. Kama suala ni la kueleza kazi za RC na Mkurugenzi, ni vyema ufungue Uzi mwingine wenye kichwa cha habari Kazi na majukumu ya RC na Mkurugenzi.
Kama unajua haya tuambie, lakini huyo RC malima ni janja janja na amekutana na watoto wa mjini.
 
Sijui viongozi wa nchi hii hupatikanaje... Malima ni mtu wa hovyo sana... tangu akiwa NW Madini ni mlafi, mchawi, mwasherati asiyeelezeka na mchimvi sana.
Huyu samia katika vitu alivyoharibu mkoani Mwanza ni kutuletea hili zee lichimba chumvi, mswahili sana, maneno mengi, figisu kama zote vitendo sifuri.
 
Kuna tuhuma nzito zimetangazwa na mkuu wa mkoa wa Mwanza

RC Adam Malima ameonekana akimtuhumu Mkurugenzi wa jiji kuhusika na utapeli wa kuuza viwanja viwili vyenye thamani ya Bilioni moja!
Hii ni taharuki na tuhuma nzito sana!

Ukitafakali kwa kina jambo hili linaibua maswali mengi sana yasiyo na majibu!

Vyeo hivi vya Mkurugenzi na RC vina mgongano mkubwa sana wa kimaslahi, nashauri viandaliwe utaratibu mwingine ikiwezekana cheo kimoja kifutwe ili kuondoa mgongano wa maslahi kwasababu!

Wakurugenzi ni wasimamizi wakuu wa watendaji katika eneo husika! Wakurugenzi ndiyo wenye wataalamu katika eneo husika, wakurugenzi ndiyo mikono ya serikali na vitendea kazi!,wakurugenzi siyo mwanasiasa ingawa wanatoka kwenye chama cha siasa!

Tofauti kubwa iliyopo kwa RC&DC ni hivi!

RC/DC ni mwenyekiti wa ulinzi na usalama katika eneo, ni Icon ya serikali hasa kwenye masuala ya Kiitifaki (protocol)! Ni auxiliary leader katika eneo! Mikono yake mikubwa ni Polisi peke yake! Kwasababu wataalam mpaka migambo wote ni wa wakurugenzi!

Yaani RC/DC akitaka kula peke yake ni kwenye madili haramu ya kipolisi!

Nje ya hapo RC na DC hawezi kula bila mikono na baraka ya Mkurugenzi! Maana mambo yote ya dokomenti yako chini ya Mkurugenzi!

Hivyo tukirudi kwenye sakata la Mwanza!
HAKUNA MWEMA PALE lakini SHIDA Ni ule ulaji UMELIWAJE!

Mkurugenzi anaweza kutusua dili peke yake na likaisha bila msaada wa RC/DC
Na hili ndiyo maana wakurugenzi wanaonekana ni wabaya kila siku!

Mkurugenzi siyo mwanasiasa bali ni mtaalam! Hivyo kula yake haihitaji blaah blaah na makamera!

Kosa lililotokea Mwanza ni Mkurugenzi kula peke yake!

Na kama TAMISEMI ikikurupuka katika mgogoro huu tutarajie watapokea migogoro mingine mingi kutoka kwa RC na ma DC inchi NZIMA!

UKIONA ENEO HALINA MGOGORO UJUE MKURUGENZI NA RC/DC WANAKULA SAHANI MOJA!

Hakuna Eneo ambalo Halina upigaji! Wote wezi tu sema wanazungukana!
Kwa nini uuze ardhi ya serikali? Unauza upate nini ambacho kwenye bajeti umeomba ukanyimwa? Tena unauza eneo la mjini wakati wewe mwenyewe unahangaika pa kuwaweka wamachinga, huna? Hii Ina maswali mengi sana, Malima usiishie hapo, hao watu wapelekwe mahakamani
 
Acha upumbafu mjini kuna eneo gani la wazi mnaongea mkiwa tandahimba, imeuzwa vijumba viwili vya tope ili tupunguze vijumba vya zama za kale we ulitakaje, mnapenda porojo kuliko uhalisia.
 
Huyu samia katika vitu alivyoharibu mkoani Mwanza ni kutuletea hili zee lichimba chumvi, mswahili sana, maneno mengi, figisu kama zote vitendo sifuri.
Ngoja awanyooshe, mmejikusanya kuja humu kumshambulia? Idara ya ardhi Jiji isambaratishwe, na wahusika wote wapelekwe mahakamani.

Nyie ndio mlikuwa mnajenga godown badala ya uwanja wa ndege, kama sio Malima, watu wangejuta, na Hela mlishapiga, Malima, hebu kazia nati hawa jamaa, tena Unda Tume kufuatilia viwanja vyote vilivyomilikiwa na Jiji la Mwanza halafu wakaviuza
 
Acha upumbafu mjini kuna eneo gani la wazi mnaongea mkiwa tandahimba, imeuzwa vijumba viwili vya tope ili tupunguze vijumba vya zama za kale we ulitakaje, mnapenda porojo kuliko uhalisia.
Hivyo vijumba vya tope ndio vinauzwa bilioni? Hicho ni kiwanja, tena Cha mjini kati.

Nyie lazima mhenyeshwe, na huyu kamihanda kama alihamisha umiliki, kazi anayo
 
Unajichanganya kusema mkurugenzi sio mwanasiasa na muda huo huo unasema anatokana na chama Cha siasa. Hapo una maana gani Au ni sawa na kusema Mimi sili nguruwe ila nakunywa mchuzi wake tu. Kuwa makini unapooeta mada/hoja.
Sasa ambacho hujaelewa nini!..
CCM ni tiketi ya kuwa Mkurugenzi lakini siyo Wakurugenzi wote ni wanasiasa!

Tofautisha mwanasiasa na mwanachama!
Wakurugenzi ni wanachama lakini siyo lazima wawe wanasiasa!

Ni kama mshabiki wa simba na mchezaji ....huwezi kusema mashabiki wa soka ni wasakata kabumbu
 
Mleta Mada ni uzao wa wezi!

Wewe dmkali pia ni mwizi!

Hapa umeshabikia wizi!
Nyinyi ndio chawa wa Samia!
Mnaosema nchi imetulia sasa na mnaiba kwa amani!

Nawafananisha na Mbwa!
Huyo RC ni jambazi amezidiwa kete na watoto wa mjini unazan angepata mgao mkubwa hilo lizee unazani lingebwabwaja.
 
Back
Top Bottom