Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Sababu yeye ndo alisign mkataba au?
CHADEMA walikuwa wa kwanza kupiga kelele kuhusu ufisadi wa Lowasa,, List of shame Mwembeyanga" au walikosea kumtaja Lowasa?? kama ndivyo basi na mafisadi wengine waliokuwa kwenye ile list ni feki. Vilevile ukumbuke Chadema ilipata umaarufu sana kwa kuwataja hadharani mafisadi, kama unakumbumbuku nzuri nchi ilipata mtikisiko baada ya ule mkutano wa chadema pale Mwembeyanga.
 
Kwani waliouanzisha huu mjadala tena ni kina nani?? Nassari ndo kaanzisha mjadala, yuko kambi gani? sasa mnataka Mwakyembe akae kimya?? Eboh!!
Acha awape dozi tu!
 

haaaaaaaaaahaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa, ndio mnaamka usingizini au kwani sasa hata sasa hivi nani anamzuia kumtaja
 
Mwenyewe alishasema.hataki kufukua makaburi.huyu anamchokoza magufuli.
 
Mmeiona hiyo kauli ya Ndugai lakini? ikoje ikoje hiyo? yani kwamba kuna waheshimiwa hawana marinda?
 
Kikwete na Mwakyembe wana kesi ya kujibu bahati mbaya mwenzao ametangulia ila nae yupo kwenye risti
 
Mwakyembe amechoka kisiasa anatafuta kiki.pia kusema bashite hakuhojiwa ripoti ya nape ilijaa mihemko ya kisiasa ni uwongo kwa kua kamati ilimfuata akakimbia kutokea mlango wa nyuma na kushuka ghorofan wakati mwenyewe aliwaahid wakutane saa 9 mwakyembe asidhan kesema hivyo watanzania watamwamin hafai hata kua waziri
 
kwa hiyo mnyika anakubali lowassa ni fisadi ila sio yeye tu na kikwete pia

unajua kaeni kimya tu
 
Serikali iache maneno. Buruza EL mahakamani tujuwe moja.... Ugumu uko wapi jamani?
Mtavumilia lakini kama EL akishtakiwa na kukaa ndani bila dhamana kwa kipindi chote cha kesi yake. Make fisidi hana dhamana! Msije kulia lia hapa.
 
LOWASSA NA KIKWETE NI WAHUSIKA WA RICHMOND.
TOA KINGA YA RAIS KUSHITAKIWA PELEKA HAWA MAHAKAMANI MAFISADI PERIOD.
 
Polonium ndio inamsumbuw Mwakyembe ubongo umeshaoza umejaa fungus.

Mwakyembe na marehemu Samuel Sitta ni watu wa ajabu sana kuwahi kutokea hapa duniani.
****
ULIWAHI KUONA WAPI DUNIANI MWIZI ANAOMBA ALIOWAIBIA WAMFIKISHE MAHAKAMANI,KAMA SIO KUNAJITOA FAHAMU KAMA MALAYA
EL ni mwizi gwiji kabla hajaiba anaconsult mwanasheria wake Chenge amtengenezee wizi ambao sheria itamlinda na ndio maana ana kiburi.
UFISADI mwingi uliofanywa Tanzania na mafisadi kama EL, chenge, RA na JK ulifanywa kwa umakini sana kuhakikisha hata dili likibunguruka hawashitakiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…