Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Mwakyembe ni Mwanasheria wa ajabu sana. Si ajabu alikuwa ni mtaalamu wa kudesa na kukariri huyu.

Hata kama unafanya uchunguzi na sio kuhukumu, unawezaje "kuwahoji" watu zaidi ya 75, wengine nje ya Nchi, na ukaacha kumuhoji prime suspect ili ujiridhishe beyond reasonable doubt kwamba facts ulizokusanya zipo sahihi to the dot?

Alichoongea Bungeni juzi ni upuuzi mtupu.
 
Mfalme Lowassa acha kuhangaika Na Mwakyembe aliikana TLS wakati nae inamhusi kitaaluma
 
Mwakyembe ni Mwanasheria wa ajabu sana. Si ajabu alikuwa ni mtaalamu wa kudesa na kukariri huyu.

Hata kama unafanya uchunguzi na sio kuhukumu, unawezaje "kuwahoji" watu zaidi ya 75, wengine nje ya Nchi, na ukaacha kumuhoji prime suspect ili ujiridhishe beyond reasonable doubt kwamba facts ulizokusanya zipo sahihi to the dot?

Alichoongea Bungeni juzi ni upuuzi mtupu.
Huko nje ya nchi aliambulia patupu.....hiyo kampuni ina mizizi ndani ya roho ya taifa la marekani,ndani ya roho.

Sasa kama marekani ukimgusa kucha anastuka,sembuse roho yake!
 
Ni aheri Mwakyembe asingeenda shule yoyote maana hoja zake hazioneshi kama ana kitu chochote zaidi ya wale ambao hawakuwahi kwenda shule kabisa. Mwakyembe haeleweki anasimamia nini. Na siamini hata siku akitoka serikali ataweza kutaja hata kitu kimoja cha maana ambacho alilisaidia hili Taifa.

Mwakyembe hana uwezo hata wa kufanikisha mipango yake binafsi. Kuna wakati aliwadanganya watu wa Singida na Watanzania kwa ujumla kuwa yeye na rafiki zake wangezalisha umeme mkubwa kwa kutumia upepo kule Singida lakini mpaka leo hii hajaweza kuzalisha hata 1W, sasa huyu ni wa kuendelea kutupotezea muda wetu?
 
Kuhusu kauli ya Mnyika namuunga mkono na ndio maana hata mimi nilileta huu uzi hapa chini:

Hoja ya kurudisha Bungeni sakata la Richmond iende sambamba na kuondoa kinga ya Rais

Ukweli ni kwamba ukipitia taarifa ya kamati ya Mwakyembe mwanzo mwisho huwezi kuamini kuwa yote yale yalifanyika bila bwana fulanj kujua.Ni mwendawazimu pekee ndio atakaeamini hivyo.

Mtu mwenye akili lazima ujiulize maswali haya 9 yafuatayo hapa chini:

1.Kwanini Lowassa hakuhojiwa?

2.Lowassa angehojiwa na katika kujittetea unadhani angemtaja nani?

3.Na kama angetaja mtu/watu katika kujitetea,unadhani angetaja wa chini yake tu bila kumtaja bwana fulani?

4.Je,unadhani Mwakyembe na kamati yake hawakujua hatari ya kumuhoji Lowassa?

5.Kama wangemuhoji Lowassa, unadhani Mwakyembe na timu yake walikuwa tayari kumtaja(kumu-implicate) mh.sana wa wakati huo katika taarifa yao walioiwasilisha Bungeni?

6.Wangemtaja mh.sana wa wakati huo katika ripoti yao,unadhani nini kingefuata?

7.Unadhani Lowassa nae angeweza kueleza kila kitu mbele ya Bunge kabla ya kujiuzulu?

8.Na yeye kama angeeleza ukweli wote anaoujua,unadhani nini kingefuata?

9.Unadhani angeondoka Lowassa peke yake bila fulani kuingia matatani?

Haya mambo yanawezekana tu katika nchi za wenzetu na sio huku kwetu tunakowaona kina fulani kama miungu watu.

Tuache kupotezeana muda na kudanganyana.
We unaongea kwa mahaba ya mtu fulani na hujajikita katika kujua chain of decision making iko vipi, waziri mkuu ni mtu mkubwa sana serikalini na ana nafasi kubwa ya kufanya maamuzi mengi (baadhi si yote )bila kumtaarifu mkuu wake, na kama mkuu wake anamuamini si lazima amuingilie katika maamuzi atakayofanya - hili la richmond ni sawa na kusema EL alifanya wizi
Wa kuaminiwa! Aliaminiwa lakini akatumia nafasi yake kufanya maamuzi mabovu kwa interest zske binafsi, mkumbuke katika maazimio ya kamati ile aliambiwa achague mawili, kujiuzulu au kushtakiwa! Angechagua kushtakiwa basi angepata nafasi ya kumwaga mchele hadharani na kujisafisha - ilmuradi awe na ushahidi , yeye akaamua kukimbia. Ingawa hivyo hata sasa anao uhuru wa kufungua mashtaka ili ajisafishe, ningekuwa mimi nisingekubali kuchafuliwa halafu nikae kimya, hata mahakama ya dunia ningeenda.
 
Polonium ndio inamsumbuwa Mwakyembe ubongo umeshaoza umejaa fungus.

Mwakyembe na marehemu Samuel Sitta ni watu wa ajabu sana kuwahi kutokea hapa duniani.
Sumu si alipewa na watuhumiwa wa richmond?

Hivi unakumbuka aliyemmwagia tindikali Kubenea ni nani?

Sasa leo unapokuja kumkejeli Mwakyembe inabidi ujihoji kidogo kama uko sawa
 
Kuhusu kauli ya Mnyika namuunga mkono na ndio maana hata mimi nilileta huu uzi hapa chini:

Hoja ya kurudisha Bungeni sakata la Richmond iende sambamba na kuondoa kinga ya Rais

Ukweli ni kwamba ukipitia taarifa ya kamati ya Mwakyembe mwanzo mwisho huwezi kuamini kuwa yote yale yalifanyika bila bwana fulanj kujua.Ni mwendawazimu pekee ndio atakaeamini hivyo.

Mtu mwenye akili lazima ujiulize maswali haya 9 yafuatayo hapa chini:

1.Kwanini Lowassa hakuhojiwa?

2.Lowassa angehojiwa na katika kujittetea unadhani angemtaja nani?

3.Na kama angetaja mtu/watu katika kujitetea,unadhani angetaja wa chini yake tu bila kumtaja bwana fulani?

4.Je,unadhani Mwakyembe na kamati yake hawakujua hatari ya kumuhoji Lowassa?

5.Kama wangemuhoji Lowassa, unadhani Mwakyembe na timu yake walikuwa tayari kumtaja(kumu-implicate) mh.sana wa wakati huo katika taarifa yao walioiwasilisha Bungeni?

6.Wangemtaja mh.sana wa wakati huo katika ripoti yao,unadhani nini kingefuata?

7.Unadhani Lowassa nae angeweza kueleza kila kitu mbele ya Bunge kabla ya kujiuzulu?

8.Na yeye kama angeeleza ukweli wote anaoujua,unadhani nini kingefuata?

9.Unadhani angeondoka Lowassa peke yake bila fulani kuingia matatani?

Haya mambo yanawezekana tu katika nchi za wenzetu na sio huku kwetu tunakowaona kina fulani kama miungu watu.

Tuache kupotezeana muda na kudanganyana.
Sasa wewe jamaa ni mjinga kweli!

Kwahiyo kuhusika kwa huyo bwana flani kuna mpa usafi huyo mwingine?
 
Topic zinazo husu Richmond huwezi ona gamba la lumuba likitia mguu'labda gamba lililo lililonyeshwa maji ya bendera ya ccm iliyokuwa chafu.
 
Mwakyembe uwezo wake wa kufikiri na kuweka kumbukumbu ni "Bash.ite" Zerooo.

PhD yake anaidhalilisha utadhani nayo haikufuata utaratibu.

Huyu hata DAB akimwambia akamsafishie choo ataenda ilimradi tu asipoteze uwaziri.

Amepitia wizara ngapi mpaka sasa na alifanya nini kwenye wizara hizo? Kama sio kufumbiwa macho kwa madudu aliyoyafanya kwenye hizo wizara asingekuwa ofisini mpaka sasa.
Umejibu hoja iliyopo mezani au umerta porojo
 
Sumu si alipewa na watuhumiwa wa richmond?

Hivi unakumbuka aliyemmwagia tindikali Kubenea ni nani?

Sasa leo unapokuja kumkejeli Mwakyembe inabidi ujihoji kidogo kama uko sawa
Kama mnawajuwa watuhumiwa ni kwa nini hamuwakamati? Hivi na ile mahakama ya mafisadi vepeeee!?
 
Lowasa, aliwahi kutoa neno kuhusu hiyo Richmond, nikamuelewa kabisa.

Alisema, hivi " Nilizuiliwa na mamlaka ya juu" sasa yeye alikuwa PM, hivyo alisema waliomzuia ni Mr.President au Mr.Vice President.

Na akafafanua kuwa, siku ile ilikuwa saa Tisa, angeweza kupeleka kesi mahakamani ili Richmond, wawekewe zuio.

Na akatoa mfano, kuhusu kampuni ya maji hapo dar aliweka zuio na serikali haikupata tatizo.

Kwa hiyo, Lowasa alipokatazwa "kutoka juu" akashindwa kupeleka kesi mahakamani kwa hiyo, tukapata hasara.

Na Lowasa, aliposema hayo, hakuna aliyejitokeza "kutoka juu" kukataa hayo aliyoyasema Lowasa.

Kwa kifupi kila mtu anajua richmond ni nani alifunika kombe ... !!!

Japo, hapa siwezi sema kuwa EL ni msafi au laa katika issues zingine .

Ila nasikia, tu kuwa EL ndiye msiasa mtajiri sana hapo Bongoland japo ni msiasa mkimya na mvumilivu wa misukosuko".

Ila kwenye hii "Richmond" EL, hakuwa na mkono wake"

Ni maoni yangu kutokana na maelezo ya EL, 'mtu asijetoa povu' mimi siyo mwanasiasa wa ukawa au sisiemu.
Maishani Sifanyi siasa, nafanya biashara tu.
 
Na Declare interest kuwa NAMPENDA LOWASSA, namuamini na naamini ndiye pekee aliyebeba matumaini ya Watanzania.
 
Tanzania yetu kila mtu ni mwizi, sababu mifumo yetu inatengeneza watu wezi na ubaya wetu nikusema nchi haina dini.
 
Maneno mengi tumeyachoka tunataka vitendo.
Mwakyembe :Hatukumuhoji Lowassa kwa sababu tulikuwa na ushahidi wa kutosha.
Mwakyembe:Yapo mambo tuliyaondoa kwenye ripoti ya kamati kuinusuru serikali
Lowassa:Nilisikitika sana tume ya Mwakyembe haijawahi kuniita kwa mahojiyano,ni bora nijiuzulu nyadhifa ya uwaziri mkuu kuliko fedhea kama hii.
Mwakyembe: Lowassa hasafishiki hata kwa dodoki la chuma ni fisadi tu.
Lowassa:Mwenye ushahidi afungue mashtaka mahakamani.
Mwakyembe:Wapinzani leteni hoja ya Richmond bungeni,safari nitawapa ukweli bila kumungunya,nitauvua uwaziri ili nishiriki kikamilifu.
Magufuri:Tumeunda mahakama ya mafisadi ili kuutokemeza ufisadi hasa mafisadi papa.
Magufuri:Nitawalinda maraisi wote wastaafu,hakuna kuguswa achia mbali kushtakiwa.
 
Hoja ni kwamba Lowasa ni FISADI kama walivyodai Chadema na CCM wakamkata kwa Tuhuma hizo. Kama mnataka Kumsafisha nyie Chadema wenzake ni Kazi Rahisi omba Muongozo kwa Spika Rudisha Richmond Bungeni. Mwakyembe kisha sema ataachia Uwaziri ili kumaliza hii kitu. Acheni Povu.
 
Lowasa hasafishiki hata kwa dodoki la chuma!
Ukoo wa Bayo hauna watu wajingawajinga; wewe sijui umetokea wapi? Tafadhali usichafue ukoo wenye heshima Mbulu nzima! Au wewe ni Bayo wa Misungwi jirani yake Gwajima?
 
Back
Top Bottom