Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Sakata la Richmond: Lowassa amjibu Mwakyembe, asema asitafte mtaji wa kisiasa

Hii nchi tunadanganyana sana, Mtu anaweza apewe bangi tunaambiwa ni sumu, Mana bangi inakaaga ,zaid ya miaka 10
 
Mnyika bana,anamtisha kikwete badala ya kumkinga Lowassa.Hao ndio viongozimvichwa wa chadema
 
Sasa hilo dodoki la chuma litamsafishaje kama sio kumchafua damu, wanatumia kitambaa lain, wakisema nenden mahakaman kama mna ushahid wamemaliza hapo!

hii ndo TZ ya viwanda
Si kuna mahakama ya Mafisadi?,sasa baba bashite na shelikali yao mbona hawa wapeleki kwa court ( Ndo kuogopa kufukua MAKABURI?.).
 
Kumbe hata wakina Mbowe, Dr Slaa na wengine waliokuwa hadi mapovu yanawatoka pale Mwembeyanga wakidai wanarundo la ushahidi, kumbe yote hayo zilikuwa ni heka heka tu za kutafuta mitaji ya kisiasa? Kweli sisi watanzania ni wajinga tuliwao. Yote miheka heka kama ya ESCROW, Lugumi na mingine ni kweli kabisa kama alivyosema Lowassa huwa ni kutafuta mitaji ya kisiasa. Vijana siku hizi wanaita kutafuta kick. Ukiona mwanasiasa kang'ang'ania jambo bungeni na kwenye majukwa ya kisiasa ili hali jambo hilo alitakiwa kulipeleka mahakamani, ujue mwanasiasa huyo anatafuta tu mtaji/ kiki ya kisiasa na huwa hayana ukweli wo wote. Sasa hivi tuna mifano kadha tunayoishuhudia ambayo wanasiasa wameona ni kick. Lowassa kawaambia ukweli.
 
Kuhusu kauli ya Mnyika namuunga mkono na ndio maana hata mimi nilileta huu uzi hapa chini:

Hoja ya kurudisha Bungeni sakata la Richmond iende sambamba na kuondoa kinga ya Rais

Ukweli ni kwamba ukipitia taarifa ya kamati ya Mwakyembe mwanzo mwisho huwezi kuamini kuwa yote yale yalifanyika bila bwana fulanj kujua.Ni mwendawazimu pekee ndio atakaeamini hivyo.

Mtu mwenye akili lazima ujiulize maswali haya 9 yafuatayo hapa chini:

1.Kwanini Lowassa hakuhojiwa?

2.Lowassa angehojiwa na katika kujittetea unadhani angemtaja nani?

3.Na kama angetaja mtu/watu katika kujitetea,unadhani angetaja wa chini yake tu bila kumtaja bwana fulani?

4.Je,unadhani Mwakyembe na kamati yake hawakujua hatari ya kumuhoji Lowassa?

5.Kama wangemuhoji Lowassa, unadhani Mwakyembe na timu yake walikuwa tayari kumtaja(kumu-implicate) mh.sana wa wakati huo katika taarifa yao walioiwasilisha Bungeni?

6.Wangemtaja mh.sana wa wakati huo katika ripoti yao,unadhani nini kingefuata?

7.Unadhani Lowassa nae angeweza kueleza kila kitu mbele ya Bunge kabla ya kujiuzulu?

8.Na yeye kama angeeleza ukweli wote anaoujua,unadhani nini kingefuata?

9.Unadhani angeondoka Lowassa peke yake bila fulani kuingia matatani?

Haya mambo yanawezekana tu katika nchi za wenzetu na sio huku kwetu tunakowaona kina fulani kama miungu watu.

Tuache kupotezeana muda na kudanganyana.
Mkuu Lowasa hasafishiki. Hata kama dili walipiga na mkuu sana ila jumba bovu ndo lishamwangukia. Aliye kutwa na ngozi ndio mla nyama. Muulize Kubenea na Chadema wanaushahidi kuhusu hili!
 
Kuna mtu kaandika kuashiria Kubenea anamjua aliyemtandika tindikali. Fungukeni basi maana wengi humu ni mashabiki maandazi tu, bendera fuata upepo.Wapo wapo tu wanaendeshwa na fukuto la mahaba ya vyama vya matukio.
 
MWAKYEMBE KAMA ANA USHAHIDI YA NINI KUANDIKIA MATE????

AENDE MAHAKAMANI NDIKO ITAJULIKANA.

ETI NI MWANASHERIA AU NDIO WALEWALE WALIOZUNGUSHA!!!!!!!!!!

TUNAOMBA MWENYE VYETI VYA MWAKYEMBE ATUWEKEE HAPA.
 
Daaah..... leo una imani na mahakama! Unafki sio kitu kizuri.

SASA KUMBE MLIANZISHA YA NINI, AU NI NJAMA ZA KUMALIZA PESA TU NA KUTAFUTA UMAARUFU KISIASA!!!!!!

TUNATAKA ITUMIKE KAMA ILIVYOPANGWA.

TUNAWASUBIRI MWAKA 2020 KATIKA SANDUKU. MTUELEZE MMEHUKUMU MAFISADI WANGAPI
 
Kuhusu kauli ya Mnyika namuunga mkono na ndio maana hata mimi nilileta huu uzi hapa chini:

Hoja ya kurudisha Bungeni sakata la Richmond iende sambamba na kuondoa kinga ya Rais

Ukweli ni kwamba ukipitia taarifa ya kamati ya Mwakyembe mwanzo mwisho huwezi kuamini kuwa yote yale yalifanyika bila bwana fulanj kujua.Ni mwendawazimu pekee ndio atakaeamini hivyo.

Mtu mwenye akili lazima ujiulize maswali haya 9 yafuatayo hapa chini:

1.Kwanini Lowassa hakuhojiwa?

2.Lowassa angehojiwa na katika kujittetea unadhani angemtaja nani?

3.Na kama angetaja mtu/watu katika kujitetea,unadhani angetaja wa chini yake tu bila kumtaja bwana fulani?

4.Je,unadhani Mwakyembe na kamati yake hawakujua hatari ya kumuhoji Lowassa?

5.Kama wangemuhoji Lowassa, unadhani Mwakyembe na timu yake walikuwa tayari kumtaja(kumu-implicate) mh.sana wa wakati huo katika taarifa yao walioiwasilisha Bungeni?

6.Wangemtaja mh.sana wa wakati huo katika ripoti yao,unadhani nini kingefuata?

7.Unadhani Lowassa nae angeweza kueleza kila kitu mbele ya Bunge kabla ya kujiuzulu?

8.Na yeye kama angeeleza ukweli wote anaoujua,unadhani nini kingefuata?

9.Unadhani angeondoka Lowassa peke yake bila fulani kuingia matatani?

Haya mambo yanawezekana tu katika nchi za wenzetu na sio huku kwetu tunakowaona kina fulani kama miungu watu.

Tuache kupotezeana muda na kudanganyana.
Mwakyembe atafungwa jela , ni suala la muda tu , naunga mkono bunge kufuta kinga ya rais ili tuheshimiane .
 
Lowasa hakuwa na sababu ya kumjibu huyu victim wa polonium, amuache abwabwaje.
Mumuwekee polonium halafu ɓaɗo mumutukane .Mungu si athumani na yeye atawaonyesha cha mtema kuni kwenƴe afya zenu ziwe mɓaya kuliƙo mwaƙƴemɓe
 
SASA KUMBE MLIANZISHA YA NINI, AU NI NJAMA ZA KUMALIZA PESA TU NA KUTAFUTA UMAARUFU KISIASA!!!!!!

TUNATAKA ITUMIKE KAMA ILIVYOPANGWA.

TUNAWASUBIRI MWAKA 2020 KATIKA SANDUKU. MTUELEZE MMEHUKUMU MAFISADI WANGAPI
hivi jengo la mahakama ya mafisadi lipo wapi vile....?
 
Back
Top Bottom