Lowasa hakuwa na sababu ya kumjibu huyu victim wa polonium, amuache abwabwaje.
nasikia ndie huyo lowasa alitaka kummaliza akishirikiana na R.azizi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lowasa hakuwa na sababu ya kumjibu huyu victim wa polonium, amuache abwabwaje.
Ushauri mzuri asije akamuuzi Magu bure maana hakawiii kukomoa watu wanaojidai wanajua.Kwa hili babu ungekaa kimya tu maana kipindi kile huyu kubenea mlimmwagia tindikali baregu mkakata mapanga,wewe ng'ang'ania mahakama tu kama hawakukuweka ndani bila dhamana miaka 50 ukafia huko hao si watu!
Maneno meengi, rudisha bunge live, mikutano huru ya vyama vya siasa, punguzeni matumizi mabaya ya polisi na msajili wa vyama pamoja na kuingilia mahakama bila kusahau spika awe fair uone kazi.Chadema kweli misukule,walianza kutekwa,mara Bashite na sasa Richmond utadhani wao hawakuhusika wakati Richmond ikinguruma Bungeni ,pale kuna Hansard na wangekuwa werevu wangerejea kujikumbusha waliyoyasema wakati wa mjadala kuhusu Richmond,kweli nimeamini mchawi mpe mwanao akulelee ,Chadema washajisiriba mavi wananuka na hawatoki kwa kubadili gia angani,kila watakapoenda uvundo unawafuata nyuma.
umenena vyema wenye aikili watakuelewa kama mimi nilivyokuelewa Richmond imebadilishwa jina leo hii inaitwa symbion kwa bahati nzuri Obama kabla ya kuondoka kurudi marekani alipitia kuzindua hiyo mitambo akiwa ameongozana na rais mstaafu sio waziri mkuu wa zamani je kuna ambaye bado hajamjua mhusika wa richmond?Mwakikyembe anapaswa kuvumiliwa kama lipumba ni msomi lakini mambo yake anayozungumza si ya kisomi coz wasomi hawapaswi kuropoka bila kifikiriMitambo ya Richmond ni mradi wa mashirika ya kijasusi ya marekani ikiwamo CIA,mitambo hiyo baada "ilibadilishiwa jina" na kuitwa Symbion Power.
Marekani ana tabia ya kutojihusisha na miradi yenye harufu ya ufisadi,lakini mitambo ya Richmond(baadae symbion) ilitembelewa na Rais George Bush,Rais Obama,Condoleza Rice(nadhani) na pia mama Hillarly Rodham Clinton. Hii nadhani ilikuwa ni kuwapa ishara wapiga domo kwamba "kaeni mbali na hii kitu"
Obama alizindua mradi wa AfricaPower house wenye lengo la kusambaza umeme Afrika akiwa anaitazama mitambo ya Richmond(sasa symbion power)
Pia baada ya Lowasa kuondoka madarakani,bado serikali iliendelea na bado inaendelea kununua umeme wa symbion power na hakuna transaction wala kampuni inayoonyesha ilipokea au inapokea pesa kwa niaba ya Lowasa kutokana na umeme unaouzwa na symbion power.
Ngoja tuone hizi drama,ukienda kuulalamikia mkataba wa symbion power ofisini kwao,balozi wa marekani anakuja na kabrasha linaloonyesha matrilioni ya msaada ambayo umeshapata na mengine ambayo umesaini juzi kuyapata,anakutupia mezani kabla hamjaanza kuongea ili tulinganishe na vibilioni unavyoilipa symbionHili ndilo wazo langu sana. Hii richmond ndio symbion kwa sasa. Mzinduzi wa symbion allikuwa Obama alipokuja tz. Na kweli Bush na viongozi wengine waandamizi wa USA wamewahi tembelea mitambo ya symbion na kuisifu kazi yake. Ndio hapo naona si Lowasa wala Kikwete bali shinikizo la mashetani wa dunia USA. Halafu nasikia Pombe amedhamilia kuuvunjilia mbali huo mkataba. Tahadhali, namuomba awe anatembelea jukwaa la JF intelegence hasa makala The Bold. Ni vema akamjua adui huyu wa dunia kabla hajafanya maamuzi.
Kabisaa..... Sijui kwanini kapoteza mda wAke mjibu huyu K.Lowasa hakuwa na sababu ya kumjibu huyu victim wa polonium, amuache abwabwaje.
Hakuna watu wanafiki duniani kama CHADEMA ninyi so mlitumia gazeti hili na Mwanahalisi kumtangaza Lowassa kuwa Fisadi kwa miaka 8??? Leo mnageukaje tens kusema ni Malaika?View attachment 499376
Ikiwa siku chache baada ya dr Mwakyembe kudai Lowasa ni muhusika mkuu wa Richmond na hachomoki waziri mkuu huyo wa zamani amjibu.
Lowasa amedai kama ana udhibitisho inatakiwa aende mahakamani sio bungeni na kwenye majukwaa ya siasa ili ubishi uishe.
Ila Lowasa akamkumbusha ukweli unajulikana hadi kwa watanzania waliompigia kura wanajua muhusika mkuu wa Richmond ni nani.
Na Mnyika adai Kikwete nae ajiandae kuja kuijibia Richmond na aiomba serikali na bunge wapeleke mswada wa kumwondolea rais kinga.
Maoni:
Waziri mkuu najua hasaini mikataba ila ni msimamizi wa serikali bungeni na wala sio mwenyekiti wa baraza la mawaziri ila Rais ndo mwenyekiti. Hii issue la msingi ni kuipeleka mahakama ya mafisadi ilianzishwa kwa nini?
Na mimi nakwambia kawaulize viongozi wako wa chadema, uko nao karibu zaidi kuliko mimi!Nimekuuliza wewe unayepayuka
Mi nilitegemea utoe mawazo yako,Peleka upuuzi wewe fisi,amesema nendeni mahakani,na mnyika kasema pia mbunge liondoe kinga ya Rais muone kama nani fisadi hapo