Aliyofanya yana tofauti gani na aliyoyafanya Bashite?Mbona Bashite haguswi?Kwahiyo tayari una HUKUMU yako kichwani?
Ikitokea ikawa tofauti na unavyotaka utaanza kujambajamba.
Hivi wafuasi wa Mbowe mna akili timamu kweli ?
Htaa kama kutumika hakuna kiongozi ambae atakutuma ukalawiti watu.Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?
Kamguse wewe. Mtu yuko mtaani hana madaraka yoyote mnaogopa nini kumshtaki.Aliyofanya yana tofauti gani na aliyoyafanya Bashite?Mbona Bashite haguswi?
Aliyewaloga watanzania alikuwa fundi!Kamguse wewe. Mtu yuko mtaani hana madaraka yoyote mnaogopa nini kumshtaki.
Angekuwa analelewa na wenye madaraka tungelaumu.
Vipi kama ana ushahidi ila kautunza?Vipi kama aliyekuwa anamtuma kaenda zake? Kikombe alichotafuta itabidi anywee tu.
Mbivu na mbichi zitajulikana mahakamani.Vipi kama ana ushahidi ila kautunza?
Zee la malalamiko uchwara. Hujui hata unalalamika nini maana unalalamikia kila kitu.Aliyewaloga watanzania alikuwa fundi!
Kumbuka iliwahi daiwa kuwa alikuwa anakusanya noti kwa ajili ya shughuli za chama fulani.Hili sakata lina shuhuda nyingi sana dhidi ya Ole
Kama ni za kweli amevuruga na hachomoki.... kama zimetengenezwa kuna watu wataamia
Muda utasema
Hivi ile barua iliyosambaa mitandaoni ilisomeka kuwa alikuwa anakusanya noti kwa ajili ya shughuli za chama gani?Zee la malalamiko uchwara. Hujui hata unalalamika nini maana unalalamikia kila kitu.
Aliyekuroga kakuweza kikamilifu.
Umenena vyema kaka, tungoje mwisho wake kwanza, its too early kusema kitu kwa sasaSabaya kupelekwa mahakamani ni jambo moja, na kitachojiri mahakamani, ni jambo lingine na ambalo ndio la msingi zaidi. Hivyo, tujipe muda badala ya kufurahia kuwa haki imetendeka.
Kumbukeni: Zimwi likujualo, halikuli likakwisha.
Mwisho, tujiulize Sabaya aliyatenda haya bila kuwa na baraka za mtu au watu fulani?Na hao TAKUKURU watakuwa tayari kuwasilisha ushawishi au maelezo yatayohusisha waliokuwa wanamtuma(kama alikuwa anatumwa))?
Na vipi Sabaya akiamua kuweka kila kitu hadharani in case alikuwa anatumika?
Nitakuwa wa mwisho kuamini aliyatenda haya pasipo vyombo vya dola vilivyodhibiti ujambazi kuyajua..
Time will tell.
Kama kweli watz tunampango wa kuendelea na amani yetu,huyu bwana tuachane nae coz naona suport aliyonayo mitaani ni km trump
Wewe ni taahira, kwahiyo sasa hivi anashtakiwa na serikali ya chama gani ?Hivi ile barua iliyosambaa mitandaoni ilisomeka kuwa alikuwa anakusanya noti kwa ajili ya shughuli za chama gani?
Hawezi kuchomoka kwenye mashtaka yote hayo, labda ya ubakaji na ulawiti yanayohitaji ushahidi kama picha za video au manii na nywele za sirini, japo pia ushahidi wa kimazingira unaweza kumtia hatiani kutokana na hoja zitakazotolewa na upande wa mashtaka.Sabaya akichomoa hii hatakaa arudie upuuzi wake
We tukana tu ila habari ndio hio.Wewe ni taahira, kwahiyo sasa hivi anashtakiwa na serikali ya chama gani ?
Barua mtu yeyote anaweza kuandika na kusambaza mtandaoni. Kama ni kosa genuine hiyo barua iwe ushahidi mahakamani na siyo kusambazwa kwa makamanda uchwara.