Uchaguzi 2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

" masheikh wa Bakwata" maana yake ni nini?
 
Mkuu Fahari , asante kwa angalizo hilo, basi sitamwambia!.
P
 

uinaelekea


Pascall tunakuelewa ni mtu uliye kazini kuleeeeeeeee kizani

Kwa taarifa yako , Huyo jamaa yako wa Chato kaaaaaaatu hashindi , na ataondoka kiulaini bila kufikirika .
 
Iko unachokifanya au ulichokifanya ni Kidogo sana kwanza kazi kubwa ya Usalama Awamu hii ni Wagawe uwatawale!. Hivi Mzee wetu wa Vunjo amefanya mangapi ila bado ni mtumishi kamili kule znz yupo Mwenyekiti wa Chama na uku Bara yupo kiongozi wa chama wote tunajua ni watumishi kamili wa Idara yenu mkisimamia Wagawe uwa tawale... Twende kwenye swali la pili Kaka yangu.

Sent from my ANE-LX1 using JamiiForums mobile app
 
Tangu kampeni zianze tumeshuhudia jinsi Tundu Lissu anavyokubaliwa na watu wengi. Lakini hivi karibuni ameongezewa nguvu sana na mambo mawili:
1. Ponda factor. Ponda kaja na umma wa kiislamu kumpigia kura Lissu. Mtu mwenye akili hawezi kulibeza hilo. Wala huwezi kumbeza Ponda kwa kumlinganisha na BAKWATA. Bakwata ni taasisi yenye viongozi tu isiyo na wanachama. Bahati ya Bakwata ni kuwa inatambuliwa na serikali. Umma wa kiislamu upo pamoja na Sheikh Ponda. Ponda akisema wanamsikia na kutii.
2. Maalim Seif factor. Maalim amebeba Zanzibar yote pamoja naye. Zanzibar ilikuwa CUF. Ikawa ACT WAZALENDO. Wote wamekuja kumpa kura Lissu. Huwezi kubeza hilo. Majority ya Wazanzibar watamchagua Lissu. Huku bara ACT wote watamchagua Lissu. Huwezi kulibeza hilo.
Ushindi wa kishindo ni dhahiri kwa Lissu.
LISSU+PONDA+SEIF=USHINDI WA KISHINDO.
 
Kwa mara ya kwanza kukupa kongole
 
We msanii tu[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ninatarajia kupata watoto wa kiume siku yoyote kuanzia leo, namuomba Mwenyezi Mungu anijaalie watoto wazaliwe salama, mmoja ataitwa Ponda na mwingine ataitwa Lissu kwa heshima ya hawa waheshimiwa na juhudi walizojitolea kuwakomboa watanzania.
 
Baada ya Muungano, Znz imetoka kuwa Empire hadi Manispaa ya Mji mdogo wa Znz yaan ki hadhi imezidiwa hadi na mbeya~Sheikh Ponda
Teh teh teh teh teh 🤣 🤣🤣 Sheikh Ponda ana kauli za kuudhi Sana...haaaa haaa
 
Sana, huyu Jamaa anaweza sana kuhamisha kwa maneno ya kujaza Jazba

Sijui imekuaje Mamlaka za Nchi zinamuacha anazunguka Kwny Ngome yake ya kusini Mikoa ya Mtwara na Lindi…kule Tandahimba hadi Tunduru ana wafuasi wengi sana sana …Tume iangalie kwny orodha ya wahamasishaji wa Lissu iliyowasilishwa Tume kama Ponda yupo, otherwise aamriwe arejee Dar mara moja

Sheikh wangu Ponda namkubali sana sana sana lakin nakosana nae kwny misimamo yake mikali dhidi ya Chama na Serikali


Teh teh teh teh teh [emoji1787] [emoji1787][emoji1787] Sheikh Ponda ana kauli za kuudhi Sana...haaaa haaa
 
Wale masheikh wameudhalilisha Sana uislam kwa nchi za kiislam wangekatwa vichwa
 
Ponda hajui maana ya Haki!
 
Mzee wangu Mohamed Said atalaumiwa bure tu. Watu wanasoma huu uzi wakiwa tayari wameshachagua upande au kufanya maamuzi yao binafsi.

Baba wa watu kasema hataki kujikita kwenye uchaguzi ila ataelezea naoni yake kuhusu hawa viongozi wa dini ya Kiislam (BAKWATA na Sheikh Ponda).

Na ukiyasoma vizuri na kinachoendelea, ndivyo hali ilivyo, waislam hawampingi Ponda isipokua BAKWATA.

Akaeleza kuna watu wameona hiyo fursa na wakaamua kuitimia vizuri. Hajazema watu wachague chama gani au wamchague nani, kwanini tunakosa utulivu wa kuweza kusoma jambo na kulijadili bila kupelekwa na upepo au hisia bila kufikiri?

Sijasoma mahali Mzee wetu smeandika watu wamchague nani ili kuoata haki au uhuru au kupata chombo cha Waislam, la hasha.
 
2010 Sheikh Ponda kampigia kampeni Kikwete kwa waislamu na ni kigezo ni kwamba Kikwete muislamu mwenzao,sasa Ponda angekuwa anafanya harakati bila kuangalia nani yupo ikulu basi asingemsaidia JK wakati huo huku akijua kwa kufanya hivyo anakuwa anakuwa amesaidia madhalimu ccm.
 
BAKWATA ni kijiwe cha Makafir
Siokweli Bakwata ni kijiwe cha makafir.

Nyinyi leo mnamuona Mzee Ponda wamaana sana kwasababu mmefanikiwa kumnunua. wakati siku za nyuma mlishaleta nyuzi nyingi za kumwita gaidi na mbaguzi wa kuleta udini na mlifurahi alipokamatwa na kuwekwa jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…