Uchaguzi 2020 Sakata la Sheikh Ponda na "masheikh rasmi"

Eh!kumbe wewe hulijui suala hili?mbona linajulikana na wengi tu hata Mzee Mohammed Said amelielezea hili.

 
Mada kama hizi,na comment za baadhi ya watu wanaodai kuwa ni waislamu, zitawapa taabu sana watu wenye akili tumamu, kuutenganisha uislamu na swala zima la Ugaidi.

Kwa upande wangu nimeamini zile kelele za uislamu kuhusishwa na ugaidi sio prplopaganda za watu wa magharibi.
 

Hivi hayo machungu yamewakuta nyinyi tu? Mbona sisi maisha yanaenda? Msipende mteremko vijana.
 
Bwah! Bwah! Bwah! Bwah!

Yaani nimekupa changamoto uniletee video inayoomuonesha Sheikh Ponda akiwa kwenye kampeni na JK, unaniletea thread ya mtu isiyo na ushahidi wowote ule?!

Again, weka hapa hiyo video kwa sababu alichosema MS hakuna tofauti na ulichokisema wewe!!!
 
uinaelekea



Pascall tunakuelewa ni mtu uliye kazini kuleeeeeeeee kizani

Kwa taarifa yako , Huyo jamaa yako wa Chato kaaaaaaatu hashindi , na ataondoka kiulaini bila kufikirika .
Hahahaha unaota. Sahau kabisa nchi yetu apewe kibaraka. Sisi ni wazalendo na Tanzania mpya yaja.
 
Japo mimi sijajaribu, kwasababu sina lolote la kutuma kumhusu huyo, ila akili za kuambiwa changanya na zako!.
P

Hivi unadhani nimekuambia kwasababu nimesikia watu wanasema tu? Nimejaribu nikajiridhisha na hilo. Sio lazima utume kumuombea kwa yoyote maana wala hahitaji kura yako, ila ww kama muandishi ulipaswa kujiridhisha na tuhuma kama hizo, ili ujue ni kweli ama la. Sasa muandishi kama ww unafuata maneno kwa mkumbo eti za kuambiwa, unashindwa kujiridhisha na jambo ambalo halikuchukui hata sekunde moja kulithibitisha? Kisha unajiita muandishi wa habari nguli! Inafedhehesha na kusikitisha japo ndio ukweli wenyewe.
 
Hivi hayo machungu yamewakuta nyinyi tu? Mbona sisi maisha yanaenda? Msipende mteremko vijana.

Maisha yataacha kwenda kwako wakati unatembelea VX la serikali? Maisha yanakwamaje kwako kwa mfano?
 
Akikujibu nitag tafadhali
 
Sijaona popote Mzee Said kazungumzia suala la waislamu wamchague nani.. Yeye kazungumzia ukubalifu wa BAKWATA kwa Waislamu. Anachokisema ni kwamba Waislamu wanatambua ni nani anaewasemea na kuwatetea kati ya BAKWATA na Masheikh aina ya Sheikh Ponda. Hapa anamaanisha Waislamu wanajua watekeleze maelekezo ya nani.
Ukitafakari kwa kina, utaona anachokusudia kukisema ni vita iliyopo baina ya Waislamu dhidi ya Serikali, na Serikali dhidi ya Waislamu.
 
Kwa hiyo huo upande aliouchagua,ukishinda utairudisha EAMWS na Ponda awe Mufti halafu BAKWATA ivunjwe?

Anatumika tu kama ngazi lakini hata serikali ya "kufikirika" ya Lisu haiwezi ku-entertain hao extremists!
 
Reactions: cpt
JF sihami
 
Nimekwambia alikuwa akimpigia kampeni kwa waislamu kwamba wamchague Kikwete,sasa wewe unataka video Ponda akipanda majukwaani na Kikwete ina maana kupigia kampeni lazima upande jukwaani au uonekane na huyo unayempigia kampeni?

Mbona unataka tubishane vitu ambavyo havihitaji ubishi?
 
Najiuliza, hivi aka ka branch ka siri-kali (BAKWATA) kwanini bado kaliendelea kutamalaki ktk kipindi cha Mzee Ruksa na pia ktk kipindi cha Baba Riz?
Umeambiwa hako ni ka branch ka sirkali, hao uliowatani ni viongozi wa sirkali
 
Kwahiyo alikuwa sahihi sheikh ponda wakati huo kumsaidia Kikwete kuendelea kuongoza serikali ya chama cha mapinduzi?
Kila kitabu kina kurasa zake.

Isitoshe kipindi hicho Ccm ilitumia ajenda ya udini dhidi ya mgombea wa Chadema Dr Slaa ili kuvuna kura za waislamu na ndio kina Ponda walitumika.

Kwa sasa mazingira ya kisiasa yamebadilika, ndio maana hata Gwajima aliyekuwa anaiunga mkono Chadema hadharani sasa ni mgombea wa Ccm.

Kama Ponda hakuwa sahihi kumuunga mkono JK 2010 basi hata Gwajima hayupo sahihi maana 2015 aliwaunga mkono Chadema.

Ndio maana nasisitiza '' kila kitabu kina kurasa zake"
 
Paskali ukifanya hivyo nitakuunga mkono, kuna wakati nashindwa kula kisa masheikh waliopo ndani
 
Hadaa yako peleka ufipa.

MwanaCCM wa kweli hazungumzii ubaguzi bali anashiriki kuleta watu pamoja
 
Havihitaji ubishi kivipi?! Haiwezekani uongee jambo halafu uombwe ushahidi, lakini badala ya kutoa ushahidi unaishia kudai "mbona unataka tubishane"!

Lipumba kwa mfano, mbona video ilipatikana akikiri kumsaidia JK kwenye uchaguzi wa 2010, tena huko huko misikitini? Kwanini ya Ponda isiwepo na badala yake unataka tukubaliane na madai yako yasiyo na ushahidi!!

Ile hoja yako uliyoing'ang'ania kama luba kiasi kwamba kila siku lazima uwe unaisema kwamba TL alisema ACT sio chama cha upinzani, mbona huwa unawekaga ushahidi?!

In short, hujui what happened in 2010!

Kwa bahati mbaya, nami siwezi kusema kwa sababu nisingependa kufukua makaburi katika kipindi hiki ambacho watu wameshikamana bila kujali itikadi zao za kidini!!

Ukitaka kujua what happened in 2010, do your home work kutafuta Waraka wa Maaskofu ambao baadae waliukana, na pia Waraka wa Shura ya Maimamu (akina Ponda) ambao na wenyewe kama ilivyo sasa, BAKWATA wakaukana na kusema huo sio Waraka wa Waislamu!!!
 
Badilisha heading hiyo isomeke"Sheikh ponda Vs Mashehe wa bakwata"
Mashehe rasmi ndio kitu gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…