Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 25,186
- 27,366
Ipo katika hatua ya CAS, Bodi ya Ligi ni mshtakiwa. Hutakiwi tena kuanza kujipa kazi ambayo itafanywa na CAS.Ok, nikuulize swali, bodi ya ligi walitumia kanuni ipi kughairisha mchezo?
Ipo katika hatua ya CAS, Bodi ya Ligi ni mshtakiwa. Hutakiwi tena kuanza kujipa kazi ambayo itafanywa na CAS.Ok, nikuulize swali, bodi ya ligi walitumia kanuni ipi kughairisha mchezo?
Sijui wanazisomaje hizo kanuni. Halafu hawajui kwenye Sheria tafsiri ndiyo cha msingi na siyo Sheria jinsi ilivyoandikwa.Kasome kanuni ya 31 na 34 uzichambue
Ile kanuni ya 34 inasema sababu yoyote kati ya hizo chini itapelekea mechi kuahirishwa,sasa wao wanataka sababu zote zitokee kitu ambacho hakipoSijui wanazisomaje hizo kanuni. Halafu hawajui kwenye Sheria tafsiri ndiyo cha msingi na siyo Sheria jinsi ilivyoandikwa.
Una kichwa kigumu sana. We huoni kuwa kulikuwa na viashiria vya kutowe kwa amaniOk, nikuulize swali, bodi ya ligi walitumia kanuni ipi kughairisha mchezo?
Basi kama Nigeria walipewa point za mezani pia Yanga watapewa nlitaka kujua hiloHata kufikia uwanjani hawakufika. Wao walipangwa kucheza mechi Yao kwenye mji wa Benghazi, lakini ndege Yao ikaelekezwa ikatue uwanja wa ndege wa Al Abraq kilomita 220 toka Benghazi.
Wakatelekezwa hapo uwanjani Kwa saa 16 na kutakiwa kusafiri Kwa basi mpaka Benghazi. Wakagoma.
Sasa kwa nini hawakucheza ili walalamike baadae na ni kwa nini CAF wakaamua kuwapa Nigeria Pointi 3 dhidi ya Libya.
Suala la Simba kuzuiwa kufanya mazoezi ambayo yapo kikanuni msilichukulie poa.
Board ya ligi wana kipimo cha machafuko? hayo machafuko yalitokea lini na wapi?Una kichwa kigumu sana. We huoni kuwa kulikuwa na viashiria vya kutowe kwa amani
Ulitaka mpaka yatokee yakutokeaBoard ya ligi wana kipimo cha machafuko? hayo machafuko yalitokea lini na wapi?
Yanga tena ? Yanga hapo iweke nafasi ya Libya halafu Simba ndiyo nafasi ya Nigeria.Basi kama Nigeria walipewa point za mezani pia Yanga watapewa nlitaka kujua hilo
Wewe barua ya malalamiko iliyoandikwa na 51mba kwenda bodi ya ligi umeiona? Au ni ile taarifa kwa uma kwamba hawataleta timu uwanjani?Hebu tuijadili hii kanuni uliyoweka hasa kifungu 1.3.
Kifungu 1.3 kinasema kuwa " sababu ya dharula au/ na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF"
Sasa kwa kuwa Sheria ni jambo linalotumia fasihi andishi kwenye kuielewa, basi hebu tuichambue hiyo Sheria kiuandishi.
Kufungu hicho cha kanuni ya 3 kifungu kidogo 1.3 kinamaanisha kuwa dharula ama sababu ya msingi itakayokubaliwa na TFF mechi inaweza kuahirishwa.
Dharula ni kwamba haikutarajiwa kuwa Simba itakwenda kufanya mazoezi yake ya mwisho ambayo ni haki yao Kwa mujibu wa kanuni ya 17.
Ni dharula pia kwa kuwa vurugu walizofanyiwa Simba pamoja na kuzuiwa kuingia uwanjani Mkapa, ni mambo ambayo hayakutarajiwa.
Kwa mujibu ya kanuni hiyo, sababu ya msingi itakayokubaliwa na TFF inaweza kuahirisha mechi. Sasa sababu ya msingi ni ipi.
Kwenye mambo ya Sheria Kuna msemo kwamba " si tu haki inatakiwa itendeke, bali pia inatakiwa ionekane inatendeka".
Kwa ivo ili kutenda haki Kwa Simba ambao walikuwa wameandika barua rasmi ya kulalamika kwa bodi ya ligi, ni lazima vielelezo vipatikane. Kumbuka tukio lenyewe lilitokea usiku.
Kwa ivo sababu ya msingi iliyotolewa na bodi ya ligi Kwa TFF na kukubaliwa, ni kwamba muda wa kupata vielelezo kabla ya mechi kuchezwa ni mdogo hivyo wakaona ni heri mechi iahirishwe.
Maelezo na maswali yake yapo katika levo ya bodi ya ligi. Na ndiyo maana kaulizwa maswali ya huko hukoIpo katika hatua ya CAS, Bodi ya Ligi ni mshtakiwa. Hutakiwi tena kuanza kujipa kazi ambayo itafanywa na CAS.
Sasa wewe ukimpeleka mtuhumiwa wako mahakamani na mkawa mnasubiri tarehe ya kusikilizwa kesi, kuna haja gani tena kuanza kumuuliza maswali mkiwa uraiani? Si usubiri ukamuulizie hayo mahakamani? 😄Maelezo na maswali yake yapo katika levo ya bodi ya ligi. Na ndiyo maana kaulizwa maswali ya huko huko
Nimemsikiliza na maswali yake yote yamehajibiwa humu JF sports.Wewe barua ya malalamiko iliyoandikwa na 51mba kwenda bodi ya ligi umeiona? Au ni ile taarifa kwa uma kwamba hawataleta timu uwanjani?
Anyway, naomba ujibu maswali ya huyu dada kwenye clip hii hapa chini;
View attachment 3277620
Simba alifanywiwa vurugu lini?Yanga tena ? Yanga hapo iweke nafasi ya Libya halafu Simba ndiyo nafasi ya Nigeria.
Siku moja kabla ya mechi.Simba alifanywiwa vurugu lini?
Atakae komenti badala yangu ni nyAni.Hebu tuijadili hii kanuni uliyoweka hasa kifungu 1.3.
Kifungu 1.3 kinasema kuwa " sababu ya dharula au/ na yenye msingi itakayokubaliwa na TFF"
Sasa kwa kuwa Sheria ni jambo linalotumia fasihi andishi kwenye kuielewa, basi hebu tuichambue hiyo Sheria kiuandishi.
Kufungu hicho cha kanuni ya 3 kifungu kidogo 1.3 kinamaanisha kuwa dharula ama sababu ya msingi itakayokubaliwa na TFF mechi inaweza kuahirishwa.
Dharula ni kwamba haikutarajiwa kuwa Simba itakwenda kufanya mazoezi yake ya mwisho ambayo ni haki yao Kwa mujibu wa kanuni ya 17.
Ni dharula pia kwa kuwa vurugu walizofanyiwa Simba pamoja na kuzuiwa kuingia uwanjani Mkapa, ni mambo ambayo hayakutarajiwa.
Kwa mujibu ya kanuni hiyo, sababu ya msingi itakayokubaliwa na TFF inaweza kuahirisha mechi. Sasa sababu ya msingi ni ipi.
Kwenye mambo ya Sheria Kuna msemo kwamba " si tu haki inatakiwa itendeke, bali pia inatakiwa ionekane inatendeka".
Kwa ivo ili kutenda haki Kwa Simba ambao walikuwa wameandika barua rasmi ya kulalamika kwa bodi ya ligi, ni lazima vielelezo vipatikane. Kumbuka tukio lenyewe lilitokea usiku.
Kwa ivo sababu ya msingi iliyotolewa na bodi ya ligi Kwa TFF na kukubaliwa, ni kwamba muda wa kupata vielelezo kabla ya mechi kuchezwa ni mdogo hivyo wakaona ni heri mechi iahirishwe.
There you are! Kama alifanywiwa vurugu siku moja kabla ya mechi ambayo ni tarehe 7 ilikuaje tarehe 8 asubuh board walitoa barua kua mechi ipo baadae saa 8 mchana wakabadili maamuzi ina maana vurugu zilifanyika saa sita mchana?Siku moja kabla ya mechi.

Hiyo haiondoi ukweli kuwa bodi ya ligi iliahirisha ile mechi.There you are! Kama alifanywiwa vurugu siku moja kabla ya mechi ambayo ni tarehe 7 ilikuaje tarehe 8 asubuh board walitoa barua kua mechi ipo baadae saa 8 mchana wakabadili maamuzi ina maana vurugu zilifanyika saa sita mchana?
Kwani Simba tamko lao walikaa saa ngapi?Hiyo haiondoi ukweli kuwa bodi ya ligi iliahirisha ile mechi.
Hebu tuwe watu wazima (matured) kidogo. Asubuhi barua ya kusema mechi iko pale pale iliandikwa na nani na iliandikwa baada ya kikao kipi?
Maana yangu hapa ili jambo linasiasishwa sana. Tukio litokee usiku hao wajumbe wa bodi walikuwa tayari asubuhi kukaa kikao kujadili barua ya Simba?
Sasa tamko la Simba hapa linahusikaje? Maana kinacholeta utata ni maamuzi ya bodi na siyo tamko la Simba.Kwani Simba tamko lao walikaa saa ngapi?