Sakata la Simba ni sawa na lile la Nigeria dhidi ya Libya. Yanga msiende CAS.

Sijui wanazisomaje hizo kanuni. Halafu hawajui kwenye Sheria tafsiri ndiyo cha msingi na siyo Sheria jinsi ilivyoandikwa.
Ile kanuni ya 34 inasema sababu yoyote kati ya hizo chini itapelekea mechi kuahirishwa,sasa wao wanataka sababu zote zitokee kitu ambacho hakipo
 
Basi kama Nigeria walipewa point za mezani pia Yanga watapewa nlitaka kujua hilo
 
Wewe barua ya malalamiko iliyoandikwa na 51mba kwenda bodi ya ligi umeiona? Au ni ile taarifa kwa uma kwamba hawataleta timu uwanjani?

Anyway, naomba ujibu maswali ya huyu dada kwenye clip hii hapa chini;

Your browser is not able to display this video.
 
Ipo katika hatua ya CAS, Bodi ya Ligi ni mshtakiwa. Hutakiwi tena kuanza kujipa kazi ambayo itafanywa na CAS.
Maelezo na maswali yake yapo katika levo ya bodi ya ligi. Na ndiyo maana kaulizwa maswali ya huko huko
 
Maelezo na maswali yake yapo katika levo ya bodi ya ligi. Na ndiyo maana kaulizwa maswali ya huko huko
Sasa wewe ukimpeleka mtuhumiwa wako mahakamani na mkawa mnasubiri tarehe ya kusikilizwa kesi, kuna haja gani tena kuanza kumuuliza maswali mkiwa uraiani? Si usubiri ukamuulizie hayo mahakamani? 😄
 
Wewe barua ya malalamiko iliyoandikwa na 51mba kwenda bodi ya ligi umeiona? Au ni ile taarifa kwa uma kwamba hawataleta timu uwanjani?

Anyway, naomba ujibu maswali ya huyu dada kwenye clip hii hapa chini;

View attachment 3277620
Nimemsikiliza na maswali yake yote yamehajibiwa humu JF sports.

Kuhusu barua ya Simba kwenda bodi ya ligi sijaziona. Ila mantiki inanituma hiyo barua ipo maana bodi ya ligi kwenye maelezo Yao wanaonesha wanayo.

Sina hiyo barua Kwa kuwa Mimi si bodi ya ligi.
 
Atakae komenti badala yangu ni nyAni.

Umemaliza.
 
Siku moja kabla ya mechi.
There you are! Kama alifanywiwa vurugu siku moja kabla ya mechi ambayo ni tarehe 7 ilikuaje tarehe 8 asubuh board walitoa barua kua mechi ipo baadae saa 8 mchana wakabadili maamuzi ina maana vurugu zilifanyika saa sita mchana?
 
Hiyo haiondoi ukweli kuwa bodi ya ligi iliahirisha ile mechi.

Hebu tuwe watu wazima (matured) kidogo. Asubuhi barua ya kusema mechi iko pale pale iliandikwa na nani na iliandikwa baada ya kikao kipi?

Maana yangu hapa ili jambo linasiasishwa sana. Tukio litokee usiku hao wajumbe wa bodi walikuwa tayari asubuhi kukaa kikao kujadili barua ya Simba?
 
Kwani Simba tamko lao walikaa saa ngapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…