Sakata la Spika Mstaafu Ndugai kukupa 'Ukweli' wako ulilikabili Mwenyewe 'Kimadaha' kwanini leo hii Sakata la Mafuta unataka usaidiwe Kusemewa?

We Dada ujapata mbongo wakukupiga miti vizuri Hadi leo, fuatilia ya kwenu Rwanda kwa dikteta Kagame
 
Lini future za vijana wengi zikieleweka?
 
Mwaka jana baada ya kupokea report ya CAG ilifuatiwa na press conference ambayo ilitumika vizuri sana kuchambua uozo uliogunduliwa na CAG. Vipi, mwaka huu inafanyika lini?
Hata hii ripoti ya sasa inamhusu kidogo sana kwa sababu inahusu 1.7.2020 hadi 30.6.2021
 
Naona hata deni ka taifa si haba β€œDeni la Serikali limeongezeka kwa TZS trilioni 7.76, sawa na asilimia 13.7.”

Akiambiwa ukweli anakuwa mkali kuwa anaonewa kwa kuwa ana maumbile ya kike.
Huwa sipendi hii kauli ya maumbile ya kike mbele ya mkutano.Nani asiyejua kuwa kuwa anamaumbile hayo.Kiafrika na kiutamaduni ni aibu
 
Kuna mtu alitabiri humu mama atakua Rais then CHADEMA kuchukua nchi itakua kama mserereko nimeanza kuona dalili. .....
Kwa maoni yako ulitaka na apewe nchi? Tumpe msukuma tena tujute kama awali?
 
sisi tunadunda
Na kweli "mnadunda" maana mambo hayaendi kabisa.

Mama anatawala kwa dharau kubwa akiamini watanganyika ni wasahaulifu kiasi kwamba hata uwafanyie ubaya kiasi gani baada ya muda mfupi wameshasahau.

Historia inamwonesha hivyo...ila atambue shida na taabu ni mwalimu.
 
Mkianza kuvyekelewa mbali kila mkikosoa kama alivyokuwa anafanya Jiwe, mtashika adabu zenu nyie sukuma gang. Jiwe alipandisha sukari mpaka 5,000/= na hakuna aliyesema lolote.
 
Mkianza kuvyekelewa mbali kila mkikosoa kama alivyokuwa anafanya Jiwe, mtashika adabu zenu nyie sukuma gang. Jiwe alipandisha sukari mpaka 5,000/= na hakuna aliyesema lolote.
Hiyo 5,000 uliinunulia wapi?
 
Acha kujifanya chizi, hukumbuki hilo Sakata pale alipojaribu, kupambana na wafanyabiashara wa sukari. Baadae akalikimbia kama lile la korosho.
Sukari haikuwahi kuzidi 3,500 Tanzania nzima.

Tuambie wewe hiyo 5,000 ulinunulia wapi?
 
You're out of Content and Context please just hurry up to visit a Psychiatrist around your area of Residence.
MR POPOMA , nje ya mada kidooogo nasikia kafara letu la jumapili limmeenda vizuri COWS 6 WAMECHINJWA???πŸ‘πŸ‘πŸ‘
 
Punguza ukali wa Maneno
 
Punguza ukali wa Maneno
 
Leo hii Mheshimiwa Rais wetu anaitwa yupoyupo!Haiwezekani aisee.Mods piga ban mtoa mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…