Sakata la Unga: Mwakyembe aagiza msanii Diamond achunguzwe



Diamond hawezi kukubali anauza unga, je wewe ungekubali unauza unga? Diamond anatumiwa na watu, muziki wake usingeweza kumfikisha hapa alipo....never.
 
Lahaullha bakwata mashanllah....Diamond kimbiaaaaaa, kumbe ulikuwa unatafutiwa sababu. Duh Tanzania aisee.
 
Ja
Jamani thread ndefu zinatuchosha, fupisha habari, usituchoshe.
 
DUU inawezekana huku nyuma ,kuna kubwa zaidi ya hili ,mtoto watu kakomaa weee na mziki wake kajitafutia njia zake kimpango wake, kutusua tu leo hii naona anaundiwa zengwe.Hii nchi aliyetuloga kafa alafu kaburi lake halijulikani lilipo,kwa hiyo tunashindwa hata kutambika ili tuzinduke.Mtu akifanikiwa mara mchawi,fremason anauza unga yaani tuna mawazo ya kimasikini alafu tunalilia maendeleo ,wakati tunawachukia walio fanikiwa na kuendelea na ndio maana tunashindwa kujifunza kupitia kwao.
 
Sema kwa jamaa kiwango alichojiwekea cha kupiga show kwa 12m hata akipata show 5 tu kwa mwezi still anatusua 60m.

Sasa kwa mwaka ni bei gani ataingiza hapo kwa average hio maana ikumbukwe pia dogo anachakarika sana. Sio kuwa anatoa hit 1 kwa mwaka mzima hadi anasahaulika. Yeye ana mfululizo wa hits kwa maana shows hazikauki kila kukicha wanam book kwa hela ndefu.
 
Kumbeee !! Kwahiyo shonza hapa ni kama bangusilo(chambo) tu.. Sasa nimeelewa
 
Diamond hawez fanya show ya 12mill.HIZO wanafanya kina ray vanny,DIAMOND NI DOLLAR 55000
 
Kumbe kupata utajiri kwa muda mfupi ni tatizo?

Kuna muda kamili wa mtu kuupata utajiri kumbe?
[emoji3][emoji3][emoji3]Hii kweli bongo jehanamu sio bahati mbaya tena
 
Mashabiki wake wa damu wanasema anapiga show za mil 50 - 100
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…