ubarinolutu
JF-Expert Member
- Oct 22, 2012
- 2,424
- 4,954
Vuguvugu la kujaribu kuisafisha Tanzania kutokana na kushamiri kwa madawa ya kulevya limefikia hatua nzuri na yakipee. Mh Mwakyembe amejitoa haswa kupambana na hawa watu wauza unga, moja kati ya majina yanayosemekana ya wauza unga/punda ambayo yapo ktk kitengo internal intelligency lipo jina la msanii Diamond.
Inasemekana Diamond anaurafiki wa karibu na mabosi wa Masogange, ambao wengine wapo sauz sitowataja na ambao ndo waliusafirisha mwili wa Mangwea. kamera za CCTV za uwanja wa JNA zimekuwa zikionesha ukaribu wa Diamond na wale watu waliotajwa na waziri kuwa walimsaidia Masogange kupitisha mzigo.
Pia safari za kimuziki sehemu mbalimbali duniani ambazo nyingi hupangwa/kutafutwa na vigogo wa madawa ya kulevya waliopo tanzania na wale waliopo sauzi(ambao wasanii wa bongo fleva wanawafaham).
Wakati huohuo serikali inajaribu kuchunguza akaunti za Diamond ambazo zinaonekana kubwa mno kulinganisha na kipato cha kawaida cha wasanii.
Uchunguzi bado unaendelea, lakini Diamond amekanusha kuhusika na sembe