Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

Ningekuwa Chris pale will smith ananiambia ''keep my wife out of your mouth" ningemuuliza
"So you don't want your wife in my mouth but are totally okay with My dik being in your wife's mouth?"
Ndio maana hukuwa yeye maana yeye angalau anayo adabu.
 
Hiyo open marriage naona ni upuuz tu kama mapenz yanawashinda bora kuachana tu
Yes, kila mtu ashike lwake maisha yasogee.

Huwezi kuwa mwanadamu wa kawaida kukibali huu upuuzi.

Unataka kikojoleo, mwenzio anakwambia kiache kipoe kinauma saana kimetoka kufukunyuliwa na baharia hapo kati.
 
Yes, kila mtu ashike lwake maisha yasogee. Huwezi kuwa mwanadamu wa kawaida kukibali huu upuuzi.

Unataka kikojoleo, mwenzio anakwambia kiache kipoe kinauma saana kimetoka kufukunyuliwa na baharia hapo kati.
Huu ni ujinga wa kiwango cha lami
 
Wabongo bwana mnajadili Jada kuliwa ilhali wapenzi wenu wanaliwa kila siku na hamna la kufanya
 
Wazungu hawakutaka ujinga[emoji23] inaboa kweli inakua kama wao ndio wa kwanza kuwa mapenzini. Ila familia ya Will naona imechizika yote kuanzia wazaz hadi watoto.
Afu mie naipenda ile family hadi baas, wako real mnoo, hawajui na hawataki kufake wanaishi kiuhalisia.

Nawapa pongezi sanaa.
 
Wabongo bwana mnajadili Jada kuliwa ilhali wapenzi wenu wanaliwa kila siku na hamna la kufanya
Sema wee mwenzangu, yaan hii ya open marriage ikija huku kuna watu sijui wataweka wapi suraa zao lol
 
Will naye anazingua tu, ana moyo wa kustahimili mke wake kuliwa lakini anashindwa kustahimili utani tu kwa mkewe [emoji1787][emoji1787]
Chris itabdi naye akamle tu Jada apunguze uchungu
Na 2 pac ?
 
Will ali smile na kucheka Ila jada akakunja sura will akachange kilichofata ndi kile. Inawezekana unachosema ni kweli.

Jada ni kama vile anantawala Smith...
Sure, mkuu. Haihitaji masters kuliona hili.

Huyu jamaa ukute anavutwa hata masikio wakiwa nyumbani.
 
Back
Top Bottom