Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

Sakata la Usiku wa Oscars: Jada Smith avunja ukimya, Mauzo ya Show za Chris Rock yaongezeka

Will naye anazingua tu, ana moyo wa kustahimili mke wake kuliwa lakini anashindwa kustahimili utani tu kwa mkewe [emoji1787][emoji1787]
Chris itabdi naye akamle tu Jada apunguze uchungu
Wapo kwenye open marriage..Mkewe analiwa meanwhile na yeye anamkula mwingine
 
Kwanza kofi lenyewe kama la binti yangu wa miaka 8, lakini makelele kibaao.
 
Yataka moyo wajuba wana roho ngumu kwakweli itabdi pia walete open children
Kwani shida nn? Si wee na mkeo makubaliano yenu tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani shida nn? Si wee na mkeo makubaliano yenu tyuuh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hayo makubaliano sasa. Tena kwa mwafrika hasa mtanzania kuyakubali ngumu. Wanaume wa TZ ukizaa na mwanamke usimuoe, ila ukawa watoa matumizi na umempangia, ukisikia ana mahusiano unakata huduma, ije kuwa mke wa ndoa 🤣🤣.
Kwakweli willy ana moyo wa pekee
 
Hayo makubaliano sasa. Tena kwa mwafrika hasa mtanzania kuyakubali ngumu. Wanaume wa TZ ukizaa na mwanamke usimuoe, ila ukawa watoa matumizi na umempangia, ukisikia ana mahusiano unakata huduma, ije kuwa mke wa ndoa [emoji1787][emoji1787].
Kwakweli willy ana moyo wa pekee
Will anakuambia kuna muda mapenzi yanakufanya ufanye vitu vya kijinga na machoni kaloa machozi [emoji16][emoji16] huzuni sana.
 
Will anakuambia kuna muda mapenzi yanakufanya ufanye vitu vya kijinga na machoni kaloa machozi [emoji16][emoji16] huzuni sana.
Willy anajilizaliza 🤣🤣🤣 ila jada mgunu kwanza hacheki cheki
 
Hayo makubaliano sasa. Tena kwa mwafrika hasa mtanzania kuyakubali ngumu. Wanaume wa TZ ukizaa na mwanamke usimuoe, ila ukawa watoa matumizi na umempangia, ukisikia ana mahusiano unakata huduma, ije kuwa mke wa ndoa [emoji1787][emoji1787].
Kwakweli willy ana moyo wa pekee
Na uzuri wake hata yeye alisema haitaji watu wengine wafuate mtindo wao wa maisha, ko wamuache tyuuh.
Ana enjoy mwenyewe life lake. [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom