Ndio maana hukuwa yeye maana yeye angalau anayo adabu.Ningekuwa Chris pale will smith ananiambia ''keep my wife out of your mouth" ningemuuliza
"So you don't want your wife in my mouth but are totally okay with My dik being in your wife's mouth?"
Adabu=uoga=uboyaNdio maana hukuwa yeye maana yeye angalau anayo adabu.
Kwakweli hata mimi naona ni uzwazwaUzungu ukizidi kuna upoyoyo ndani yake.. Hii kitu open marriage kwangu haipo inakinzana na principles zangu zoote.
Yes, kila mtu ashike lwake maisha yasogee.Hiyo open marriage naona ni upuuz tu kama mapenz yanawashinda bora kuachana tu
Huu ni ujinga wa kiwango cha lamiYes, kila mtu ashike lwake maisha yasogee. Huwezi kuwa mwanadamu wa kawaida kukibali huu upuuzi.
Unataka kikojoleo, mwenzio anakwambia kiache kipoe kinauma saana kimetoka kufukunyuliwa na baharia hapo kati.
Sikumbuki jina la movie ila kuna movie demu na mchizi wako kwemye mHusiano ya namna hiyo mwishowe mmoja yakamshinda.Huu ni ujinga wa kiwango cha lami
[emoji23][emoji23] lazima yamshinde hii kitu si mchezoSikumbuki jina la movie ila kuna movie demu na mchizi wako kwemye mHusiano ya namna hiyo mwishowe mmoja yakamshinda.
Kumbuka bwana unitajie jina niitafuteSikumbuki jina la movie ila kuna movie demu na mchizi wako kwemye mHusiano ya namna hiyo mwishowe mmoja yakamshinda.
Pale hakua ana mtania, ila alikua anamsimanga na kumdhalilisha tyuuh.Ilibidi abutuliwe kama Mbasha alivyobutuliwa..unamtaniaje mtu namna ile
Ndyooooooooh.Hivi Jada pinket ndo mama mzazi wa kina willow na Jaden Smith?
Afu mie naipenda ile family hadi baas, wako real mnoo, hawajui na hawataki kufake wanaishi kiuhalisia.Wazungu hawakutaka ujinga[emoji23] inaboa kweli inakua kama wao ndio wa kwanza kuwa mapenzini. Ila familia ya Will naona imechizika yote kuanzia wazaz hadi watoto.
Kabisaaaa yaan.Ndio maana hukuwa yeye maana yeye angalau anayo adabu.
Sema wee mwenzangu, yaan hii ya open marriage ikija huku kuna watu sijui wataweka wapi suraa zao lolWabongo bwana mnajadili Jada kuliwa ilhali wapenzi wenu wanaliwa kila siku na hamna la kufanya
Will ali smile na kucheka Ila jada akakunja sura will akachange kilichofata ndi kile. Inawezekana unachosema ni kweli.Yani haya mapenzi ni kama Willy anaforce aisee.
Na 2 pac ?Will naye anazingua tu, ana moyo wa kustahimili mke wake kuliwa lakini anashindwa kustahimili utani tu kwa mkewe [emoji1787][emoji1787]
Chris itabdi naye akamle tu Jada apunguze uchungu
Nadhan anamsemea AlsinaNa 2 pac ?
Sahihi...mm ningekua Will angeipata fresh zaidi ya ilePale hakua ana mtania, ila alikua anamsimanga na kumdhalilisha tyuuh.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabisaa yaan.Sahihi...mm ningekua Will angeipata fresh zaidi ya ile
Sure, mkuu. Haihitaji masters kuliona hili.Will ali smile na kucheka Ila jada akakunja sura will akachange kilichofata ndi kile. Inawezekana unachosema ni kweli.
Jada ni kama vile anantawala Smith...