Tetesi: Sakata la vyeti feki latua Polisi

Kaka upo vizuri, uwezo wako wa fikra nimeukubari, hapa watu wanatishana tu eti wakiondolewa watakuwa majambazi, kwani majambazi waliopo ndo waliostaafu, kuacha au kufukuzwa. Nguvu ya hayo yote ni kitambulisho, silaha na gwanda. Ila ukishafukuzwa unalowa kama umefuniwa na mwenye mke.
 
Kuna mtendaji wa kijiji kimoja cha mkenge bagamoyo hayumo kwenye orodha ya watumishi waliohakikiwa sijui katoka nduki mwenyewe maana hali huku mbaya, Yule jamaa alitumia jina la dada anaitwa Sijapata wakati yeye ni Saidi sasa sijui amehof kuhakiki. Huu mwaka ni adabu kwel kwel
 
Mmhh. Hawawekwi Mtandaoni? Je Wakivaa Magwanda Wakarudi tena Mtaani. Tutawajuaje Yupi ni Askari Ni Feki na Yupi ni Halisi?
Watatajwa majina na picha zao, feki utamjua tu huwa ni mnoko we angalia hata manesi na walimu feki wanakuaga wanoko, hivyo ukimuona kiherehere na anapenda mukwara jua hilo feki.
 
Ila mm nafikiria askari aliyekukamata au kupepeleza kesi yako amebainika ana cheti fake na wewe ulishafungwa hv huwezi kuchomoka kwenye hiyo kesi kwa kukomalia kua kama alifoji cheti basi na upelelezi au ushahidi alifoji!?
 
Hapo kwenye Mkia wa Uzi wako tu.
Kujua na kumaanisha unachoongea na kuwa SAHIHI ni vitu viwili tofauti.

Au zidumu fikra zako?
 
 
Kama kweli ntaamini uncle yupo serious, na taifa litakaa vizuri maana myoyo ya watu yaingia kinyongo na kusema afadhali ningeenda kuajiriwa na ufeki wangu ule upande usioguswa.
hata marekani vyeti fake vipo na Taifa linasonga
 
Kwenye vyombo vya Dola hamna vyeti feki na ndo maana wao wanaambiwa wavitafute. Wewe hujiulizi uhakiki umafanyika lakini hawakupeleka vyeti lakini bado wanaambiwa wavitafute iv watumishi wengine walifanyiwa hivyo? Akili za kuambiwa changanya na zako.
 
Ni Kweli
Na Hakuna Jiwe Litasalia Juu Ya Jiwe Jingine
Kila Jiwe Litaguswa
Majeshi Yote Kwasasa Mguu Sawa
Asikwambie Mtu Hapo Ndiyo Utajua Neno
Fair Play

Mchezo Wa Kiungwana
 
Niende kuuliza vinanihusu nini mpk niache kazi zangu niende kuuliza majina ya vyeti fake? Huo ni ushambenga wa kiwango degree.
 
We ndo una mawazo mgando na hakuna ulijualo about security issues. Ni bora ukae kimya tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…