Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Lete document kabisa no longo longoacha maneno leta dokomaa aka dokomenti.
Kaka upo vizuri, uwezo wako wa fikra nimeukubari, hapa watu wanatishana tu eti wakiondolewa watakuwa majambazi, kwani majambazi waliopo ndo waliostaafu, kuacha au kufukuzwa. Nguvu ya hayo yote ni kitambulisho, silaha na gwanda. Ila ukishafukuzwa unalowa kama umefuniwa na mwenye mke.Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.
I know what am talking about.
Hakuna hicho kitu ni imani na uoga wa wabongo, tunatanguliza hofu na ndomana hatutoki tulipo.Usishangilie majanga.unapenda ongezeko la ujambazi ?
Watatajwa majina na picha zao, feki utamjua tu huwa ni mnoko we angalia hata manesi na walimu feki wanakuaga wanoko, hivyo ukimuona kiherehere na anapenda mukwara jua hilo feki.Mmhh. Hawawekwi Mtandaoni? Je Wakivaa Magwanda Wakarudi tena Mtaani. Tutawajuaje Yupi ni Askari Ni Feki na Yupi ni Halisi?
huamini kwenye utawala wa sheria we bigkilaza..Bora wawe wezi tuwachome moto tu.
Hapo kwenye Mkia wa Uzi wako tu.Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.
I know what am talking about.
Kaka upo vizuri, uwezo wako wa fikra nimeukubari, hapa watu wanatishana tu eti wakiondolewa watakuwa majambazi, kwani majambazi waliopo ndo waliostaafu, kuacha au kufukuzwa. Nguvu ya hayo yote ni kitambulisho, silaha na gwanda. Ila ukishafukuzwa unalowa kama umefuniwa na mwenye mke.
Duh...!Huko unaweza kuta wanakula mpaka kichwa cha IGP. Plz wasiende huko
hata marekani vyeti fake vipo na Taifa linasongaKama kweli ntaamini uncle yupo serious, na taifa litakaa vizuri maana myoyo ya watu yaingia kinyongo na kusema afadhali ningeenda kuajiriwa na ufeki wangu ule upande usioguswa.
Niende kuuliza vinanihusu nini mpk niache kazi zangu niende kuuliza majina ya vyeti fake? Huo ni ushambenga wa kiwango degree.Waliopo Moshi waulize vituo vya polisi wapate uhakika, unafikiri utaweka list hapa jaribu uone watakushukia kwa kuwaanika wenzio wanapokea kimyakimya ww una waanika, ndo maana nilisema kama unamfahamu aliyeko kituo chochote kwa kuanzia kilimanjaro fuatilia ila usiende na kiherehere unaweza ukamkuta unayemuuliza ni mhusika sasa sijui itakuwaje hapo fuatilia tayari, wilaya moja wapo kituo kinao wasio pungua 9
Mkuu,umenifanya nichekeHata Mimi kuna polisi mmoja alinipiga ngumi ya shingo mpaka nikahisi ni jambazi au ana cheti feki aombe awe salama atajuta
We ndo una mawazo mgando na hakuna ulijualo about security issues. Ni bora ukae kimya tu.Kuna watu mawazo yao mgando, wanaamini kuwafukuza askari wenye vyeti feki ni hatari kwa taifa hili, huku wakisahau kuwa;
1.Hawatimuliwi na bunduki wakiwa nazo mfukoni.
2. Tanzania maduka ya silaha hayazidi 3, na kumiliki silaha ni mlolongo mrefu mpaka ukome na maskini haruhusiwi.
3. Wanaofukuzwa si wengi ukilinganisha na wanaobaki ambao wanalipwa mshahara,posho, na wanaidhini ya kutumia silaha.
4.Wanaofukuzwa hawataishi ndani ya familia moja, watatawanyika na kila mmoja kuelekea kwake.
5.Nguvu ya askari iko katika kitambulisho/idhini na silaha.
I know what am talking about.
Akili mgando...Police na jwtz wasiwaguse kwanza maana wakiwapiga chini mitaani hku itakuwa shida..
Ova