Sakata la wabunge 19: Kesi yarudishwa tena mahakama kuu baada ya kurekebishwa

Kuna tofauti katika
Legal aspect
Dismissal vs struck out

Dismissal hii ina FUTA shauri zima halina nguvu tena kisheria

Struck out hii inawezekana kufanya marekebisho na ku re file upya
 
Aliesema waache uhuni naskia eti anamkoboa yule wa Tarime mpaka kakimbia kwa mume
 
Ndo mana Juzi niliandika humu,Watu muache mahaba ya kukimbilia kutoa unachokiwaza Wewe kabla ya kusoma alichokiandika mwingine,Watu alisoma kichwa cha habari"Kesi ya akina mdee yatupwa"Wanaume wazima wakaanza kushangilia hasa myika na Selemani mwalimu,yaani inanyesha chadema na majaji wao hawajui lolote kuhusu sheria!
 
...Na Wanakula Bure Fedha za Watanzania kupitia jina la CHADEMA! Aibu....!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…