Zanzibar-ASP
JF-Expert Member
- Nov 28, 2013
- 11,550
- 40,697
Hichi kipindi cha uzinduzi wa Royal tour ndio kipindi sahihi zaidi kwa huyo mnaigeria kulisemea, maana dunia itasikia na kulivalia njuga na huenda serikali ya Tz ikaamua kutoka usingizini ili kuchukua hatua dhidi ya wahusika.Kipindi hiki tunataka zindua royal tour!!?
Kama huwaamini wanaigeria basi njoo umuamini mmiliki wa Weru weru Lodge wa kule Machame ambaye alilalamika na kutoa video clip zikimhusu mkuu wa wilaya ya Hai (Ole Sabaya) aliyetinga hotelini kwake akilazimisha akalale na Nandy.Sijawahi kuwaamini wanaigeria, ni watu hatari sana linapokuja suala la pesa au kutafuta huruma kupata umaarufu.
Hiyo Warere Beach hoteli ni ile ya Itigi?Katika pitapita zangu za leo nimekutana na tweet hii ya binti kutoka Nigeria,aliyekuja Tanzania kwenye matembezi na kusherekea sikukuu yake ya kuzaliwa .
Ameeleza namna ambavyo alikuwa amelala Warere beach hotel na usiku wa manane akashangaa kuna mwanaume kitandani anampapasa papasa na kutaka kumbaka.
Kwa namna alivyoandika habari hii naona kuna shida kubwa sana katika hiyo hotel..kuna shida namna polisi aliporipoti walivyolichukulia na kushughulikia jambo lake.
Lakini pia to me namuona kama binti ambaye ni very strong,kama asingekuwa na hizo evidence huenda angeambiwa kapika hili jambo.Pamoja na kwamba kalitoa wakati huu ambao tuna issue ya uzinduzi wa royal tour ni vyema serikali yetu ilifuatilia kwa karibu na kutoa majibu ya sakata hili.
Nimeangalia hiyo tweeter namna inakuwa retweeted na baadhi ya comments za watu kucancel Plans zao za kuja Tanzania baada ya hiyo habari...ni aibu kwa kweli..wahusika wawajibishwe na binti huyo arudishiwe fedha zake. Kama kuna hotel zingine wenye tabia kama hii zikomeshwe pia mara moja ili kuendelea kulinda na kukuza sekta yetu ya utalii.Raisi wetu anajitahidi sana lakini unakuta tuna watu wenye akili mgando kama hao wa hiyo hotel.Kama room ilifungwa,namna ya mtu mwingine kuingia ni kwa master key ambayo hotel inayo..ili jambo linakasirisha sanaa.
Sio kudhadadia Mtanzania mwenzetu,tunataka hawa watu waliosababisha haya wachukuliwe hatua mara moja ili mambo haya yasitokee tena.Hivi mtanzania gani wewe unaona nchi yako unachafuliwa unashadadia hata kama kweli imetokea kulikuwa na maanaga gani yeye kwenda kwenye social media kupost sawa alienda kituo cha polisi lipiga sm ubalozini kwake he umeona kunasehemu alienda wizara ya mambo ya ndani zaidi ya kulaumu polisi ambao hata siye wazawa tunajua kweli jeshi la polisi la hovyo kwanini amue kupublish hivyo
Uyo mnaija katukosea sana tena sana ngoja niende kwanga uk
Warere MkuuIsolated event
Hatuwezi kuchafuka kwa hadithi ya mtu mmoja kutoka Kiherehere hotel
Sawa,Sio kudhadadia Mtanzania mwenzetu,tunataka hawa watu waliosababisha haya wachukuliwe hatua mara moja ili mambo haya yasitokee tena.
Huyo traveller kaona yeye atumie approach hii,tatizo huwa tunadharau sana watu ndo shida..laiti wangejua huyo binti anaweza leta impact kiasi hiki naamini wangelishughulikia kwa umakini kipindi limetokea
Mkuu Itigi tena!? Hiyo Zanzibar Pwani mbali ya Dar!Hiyo Warere Beach hoteli ni ile ya Itigi?
Kituo cha Polisi nao wamesemwa.Hivi mtanzania gani wewe unaona nchi yako unachafuliwa unashadadia hata kama kweli imetokea kulikuwa na maanaga gani yeye kwenda kwenye social media kupost sawa alienda kituo cha polisi lipiga sm ubalozini kwake he umeona kunasehemu alienda wizara ya mambo ya ndani zaidi ya kulaumu polisi ambao hata siye wazawa tunajua kweli jeshi la polisi la hovyo kwanini amue kupublish hivyo
Uyo mnaija katukosea sana tena sana ngoja niende kwanga uk
Hilo ndilo kero kubwa!Mpaka sasa dada katupiga maana kwa ushaidi wa awali vyombo vyetu vimefail sana sio muwekezaji wala polie walionesha kutaka kumsaidia dada too sad to hear that
Mpaka sasa waliotoa taarifa za kuibiwa ni wawiliIsolated event
Hatuwezi kuchafuka kwa hadithi ya mtu mmoja kutoka Kiherehere hotel
Mimi Mwenyewe sijafurahia. Wewe umefurahia?Afu wakenya wamefurahia kinoma sanaa maana wanatupondea sana kwenye comments za stor ya yule dada
Sawa mbakaji naona genge lenu limekuwa exposed sasa mnataka kusafisha jina.Hii kitaalamu inAitwa ujasusi wa kiuchumi.
Yericko Nyerere njoo huku utoe ufafanuzi, wapopo wanataka kumuhujumu mama na royal tour yake.
ww nawe unashindwa kutumia akili yako vizuri kwa hiyo Tanzania ikichafuka ww utafurahiHichi kipindi cha uzinduzi wa Royal tour ndio kipindi sahihi zaidi kwa huyo mnaigeria kulisemea, maana dunia itasikia na kulivalia njuga na huenda serikali ya Tz ikaamua kutoka usingizini ili kuchukua hatua dhidi ya wahusika.
Watanzania wote kwa pamoja tumuunge mkono huyo mnaigeria kulipigia kelele hili suala, uzalendo sio kufunika uovu. Wacha ukweli utuume lakini mwisho wa siku sote tupone.