Sakata la Warere Beach hotel kwa mtalii mgeni, Serikali ichunguze, wahusika wachukuliwe hatua, wametia doa sekta ya utalii nchini

ujinga mtupu alikuwa wapi kusema au sababu ameona mama anazindua royal tour anataka kuharibu tatizo wa Tz tunakosa uzalendo tunafuta upepo tu kila kitu
Unajua kitu kinaitwa post traumatic stress? Na kama alitaka kubakwa unaanzaje kumpangia siku ya kusema? Unajua ya kwamba makosa ya jinai hayana kikomo? Wewe ni mbakaji?
 
Mie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Mkuu nimesoma thread yake,na kwa kweli naona jinsi alivo expose na namna alivohakikisha kwamba facts zake ziko sawa.In short yuko na trail ya mahojiano yote na matukio yote.Suala sio kama ilitokea au la Swala ni je Lilishughlikiwaje na vyombo vyetu vya dola?Hapo ndipo ambapo kuna maswali mengi
 
I feel sorry kwakilichomtokea kama ni kweli but why iwe now jaman soon royal tour inakua hewani afu hii ishu imeanza kutuchafua I’m sorry but sijawahi kuwaamini waNigeria mpk nisikie upande wa pili.
Upande wa pili upi? Wa polisi waliogoma kufuatilia swala lake? Ama la hotel ambayo ilikata mawasiliano kwenye chumba chake? Upande upi unataka kusikia?
 
Naona unajifurahisha. Hivi nyie wabakaji huwa hamsikii aibu?
 
Unajua kitu kinaitwa post traumatic stress? Na kama alitaka kubakwa unaanzaje kumpangia siku ya kusema? Unajua ya kwamba makosa ya jinai hayana kikomo? Wewe ni mbakaji?
sijui mm huo ni ujasusi sema nyie wabongo mambo ya mtandao mnajua chatting tu kasome mambo ya cybercrime,cyberware utaelewe
 
Ubalozi wa Nigeria Tanzania pia unahusika maana walipigiwa simu nao hawakupokea wala hawakushughulika.
Tanzania tufanye sehemu yetu lakini wasitumie tukio moja kutuchafua
 
Comment yenye akili pekee humu ndani wengine wote vibaka na beach boys wasiojitambua
 
Vita ya kiuchumi!
 
Ulataka aende wapi? Police kaenda na hawajafanya kitu. Ulitaka aende wapi? Yani badala ya kushugulika na tatizo nyinyi mnataka kushugulika na huyo dada. Utter nonsense
 
Wengi tuna mihemko, Ila ukweli mchungu, vyombo vya Dola, inaonekana vinachukulia poa hizo reported incidents, hata ni isolated cases, walipaswa kutokuchukulia poa kama kila anayeripoti, ni mtu ni makazi wa mchambawima! Yatapita Tu!
 
Kama huwaamini wanaigeria basi njoo umuamini mmiliki wa Weru weru Lodge wa kule Machame ambaye alilalamika na kutoa video clip zikimhusu mkuu wa wilaya ya Hai (Ole Sabaya) aliyetinga hotelini kwake akilazimisha akalale na Nandy.
Muulize Posh Queen atakwambia Wanigeria ni watu wa aina gani!

 
Fungua akili yako. Tukio limetokea 21 april 2021 lakini muhusika amekuja kuripotia mitandaoni jana 16 apr 2022. Amekaa nazo hizo clips na picha mwaka mzima bila kuziexpoze popote pale kwa muda wote huo kwanini?? Hawa watu huwa sio watalii kama mnavyodhan, Ashaingiza pesa tayar huyo. Ametoka ningeria kalipia hotel six days na go and return air ticket akijua kabisa hii hela yake inaweza rudi ata ×100 times. Tayar kuna agencies zilishanunua huu mzigo na jana ndo ilikua siku maalum ya kuupost. weng wao wanakuja kwa kazi maalum na akipata loophole kama hii anaitumia vizur ili kukuadhibu...Si support ubaya uliotendeka ila kitendo cha kurelease hizo clips jana na leo ndo uzinduzi wa Tanzania Royal tour huko NY Marekani ambako Rais ndiye mgeni rasmi its obvious this is not a coincidence. Hii ni vita ya Utalii baina ya nchi na nchi na siku zote anayemuwahi mwingine kwenye kuficha madhaifu yake na kujitangaza vizur ndo hupata watalii weng na kujiingizia fedha za kigeni.
Fatilia hiyo account ya twitter ya huyo dada anayesemekana kuwa ni mnigeria. Account imefunguliwa 2017, ila toka 2017 hiyo account haijawah kutweet chochote kile zaid ya kuretweet tu mpaka jana 16 apr 2017 ndo ikapost thread ndefu ya page zaid ya 51. Why account ilikuwa dormant for 5 years mpaka jana.
Tafakarini.
 
So unataka tussurport ujinga mnaofanya huko mafichoni.....laani matendo aliyofanyiwa kwanza,then hayo unayomtuhumu nayo uyatolee ushahidi sio blah blah huku mnalifedhehesha taifa. Nughu!!!
 
nadhani kabla ya royo tua tungefanya assessments kadhaa (technically the called wazito-TTB,TISS,TANAPA,etc wanajua)
1. Kiasi gani polisi wamekua exposed kwenye tourism hospitality
2. Airports na land borders
3. Immigration offices
4. Private sectors kama hotels, media na hata supply chain ya chakula nk

Nafikiri tunatumia nguvu kubwa tunasahau kuna mambo madogo ya kuzingatia kusogeza utalii mbele. Haiwezekani tulipe billions kwa ajili ya royal tour then huyo mtalii akifika airport anakuta mtu anayeamini “mgeni njoo mwenyeji apone”, mgeni afike pahala ahudumie based on his/her color etc nk

Ni lazima tutengeneze msawazo kwanza, kuwekeza kwenye mindsets zetu kuanzia watumishi wa umma wenye dhamana mpaka wananchi huko vijijini nao si kila wakiona mgeni wanajua katumwa na USAID
 
Akwende zake huko mbona ulaya kila siku watu wanafanyiwa vitendo vya kikatili +mauaji na bado tunapambana kwenda huko
yee kubakwa kidogo tu ndo watalii wasije never[emoji35]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…