Furaha yako wanawake waendelee kubakwa sio? Una tabia za kubaka?ww nawe unashindwa kutumia akili yako vizuri kwa hiyo Tanzania ikichafuka ww utafurahi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Furaha yako wanawake waendelee kubakwa sio? Una tabia za kubaka?ww nawe unashindwa kutumia akili yako vizuri kwa hiyo Tanzania ikichafuka ww utafurahi
Unajua kitu kinaitwa post traumatic stress? Na kama alitaka kubakwa unaanzaje kumpangia siku ya kusema? Unajua ya kwamba makosa ya jinai hayana kikomo? Wewe ni mbakaji?ujinga mtupu alikuwa wapi kusema au sababu ameona mama anazindua royal tour anataka kuharibu tatizo wa Tz tunakosa uzalendo tunafuta upepo tu kila kitu
Mkuu nimesoma thread yake,na kwa kweli naona jinsi alivo expose na namna alivohakikisha kwamba facts zake ziko sawa.In short yuko na trail ya mahojiano yote na matukio yote.Suala sio kama ilitokea au la Swala ni je Lilishughlikiwaje na vyombo vyetu vya dola?Hapo ndipo ambapo kuna maswali mengiMie si mtu wa kuabudu sana wageni so hzo clip mpaka nizione ndo naweza sema kama si mtengeneza jambo. Kinyume cha hapo tuache chuki kwa jeshi letu la polisi.
Polisi ccm ndo inakulinda nawe
Upande wa pili upi? Wa polisi waliogoma kufuatilia swala lake? Ama la hotel ambayo ilikata mawasiliano kwenye chumba chake? Upande upi unataka kusikia?I feel sorry kwakilichomtokea kama ni kweli but why iwe now jaman soon royal tour inakua hewani afu hii ishu imeanza kutuchafua I’m sorry but sijawahi kuwaamini waNigeria mpk nisikie upande wa pili.
Naona unajifurahisha. Hivi nyie wabakaji huwa hamsikii aibu?Huu ni upuuzi wizara ya utalii na utaamaduni fanyeni haraka sana kuwasiliana. Na Twitter wafute huo Uzi haiwezekani mama yetu yupo ulaya uko kaenda zindua Royal tour afaru anatokea mtu mmoja anachafua image ya taifa kwanini asiandike mwaka Jana andika mda huu ambao mama kaenda upiga mwingi uko ulaya
Hawa wanagireia washenzi sana ngoja nikareport Twitter huo Uzi ufutwe una lengo la kutiharibia ziara ya mama yetu uko majuu
sijui mm huo ni ujasusi sema nyie wabongo mambo ya mtandao mnajua chatting tu kasome mambo ya cybercrime,cyberware utaeleweUnajua kitu kinaitwa post traumatic stress? Na kama alitaka kubakwa unaanzaje kumpangia siku ya kusema? Unajua ya kwamba makosa ya jinai hayana kikomo? Wewe ni mbakaji?
Comment yenye akili pekee humu ndani wengine wote vibaka na beach boys wasiojitambuaHaswaa hapa umemaliza kila kitu.
Tuseme tu ukweli, haya mambo kwa Tanzania yapo sana, na wahusika wa kuchukua hatua huwa wanayapotezea.
Kama mkuu wa wilaya ya Hai wa kipindi hicho (Ole Sabaya) aliweza kuingia kwenye hoteli ya kitalii akilazimisha kwa nguvu alale kimapenzi(kubaka) na msanii mkubwa wa kike wa Tanzania (Nandy), na hakuna hatua zozote zilizowahi kuchukuliwa, nani mwingine atapona?
Jeshi la Polisi la Tanzania ni genge kuu la waharifu.
Viongozi wa Tanzania wengi wamewekwa na mtandao wa kiharifu kwa mgongo wa kisiasa.
Sekta ya Utalii hapa Tanzania imejaa uhuni, wizi na utapeli mkubwa sana.
Vita ya kiuchumi!Huu ni upuuzi wizara ya utalii na utaamaduni fanyeni haraka sana kuwasiliana. Na Twitter wafute huo Uzi haiwezekani mama yetu yupo ulaya uko kaenda zindua Royal tour afaru anatokea mtu mmoja anachafua image ya taifa kwanini asiandike mwaka Jana andika mda huu ambao mama kaenda upiga mwingi uko ulaya
Hawa wanagireia washenzi sana ngoja nikareport Twitter huo Uzi ufutwe una lengo la kutiharibia ziara ya mama yetu uko majuu
Ulataka aende wapi? Police kaenda na hawajafanya kitu. Ulitaka aende wapi? Yani badala ya kushugulika na tatizo nyinyi mnataka kushugulika na huyo dada. Utter nonsenseHatujakataa yeye ni mgeni kwanini aende kwenye social media kuchafua image yetu sisi tunaongea mambo yetu wenyewe tunamalizana wenyewe kwanini mgeni atuingilie na hapo umesikia story ya upande mmoja je kama walikuwa pamoja na uyo jamaa ila wakapishana kauli dada akabadili gia angani
Hii stori ingewekwa kwenye Royal Tour!Hio hotel itafungwa dadeki3
Wengi tuna mihemko, Ila ukweli mchungu, vyombo vya Dola, inaonekana vinachukulia poa hizo reported incidents, hata ni isolated cases, walipaswa kutokuchukulia poa kama kila anayeripoti, ni mtu ni makazi wa mchambawima! Yatapita Tu!Mkuu nimesoma thread yake,na kwa kweli naona jinsi alivo expose na namna alivohakikisha kwamba facts zake ziko sawa.In short yuko na trail ya mahojiano yote na matukio yote.Suala sio kama ilitokea au la Swala ni je Lilishughlikiwaje na vyombo vyetu vya dola?Hapo ndipo ambapo kuna maswali mengi
Muulize Posh Queen atakwambia Wanigeria ni watu wa aina gani!Kama huwaamini wanaigeria basi njoo umuamini mmiliki wa Weru weru Lodge wa kule Machame ambaye alilalamika na kutoa video clip zikimhusu mkuu wa wilaya ya Hai (Ole Sabaya) aliyetinga hotelini kwake akilazimisha akalale na Nandy.
Daah umepiga kwenye mshono! Wakenya tutawasingizia bure Tu! Hizi tabia za kibazazi zipo Sana!Kama mteuliwa wa Rais aliweza kushupaza shingo aletewe Nandy kutoka hoteli aliyofikia, hili sitashangaa.
Fungua akili yako. Tukio limetokea 21 april 2021 lakini muhusika amekuja kuripotia mitandaoni jana 16 apr 2022. Amekaa nazo hizo clips na picha mwaka mzima bila kuziexpoze popote pale kwa muda wote huo kwanini?? Hawa watu huwa sio watalii kama mnavyodhan, Ashaingiza pesa tayar huyo. Ametoka ningeria kalipia hotel six days na go and return air ticket akijua kabisa hii hela yake inaweza rudi ata ×100 times. Tayar kuna agencies zilishanunua huu mzigo na jana ndo ilikua siku maalum ya kuupost. weng wao wanakuja kwa kazi maalum na akipata loophole kama hii anaitumia vizur ili kukuadhibu...Si support ubaya uliotendeka ila kitendo cha kurelease hizo clips jana na leo ndo uzinduzi wa Tanzania Royal tour huko NY Marekani ambako Rais ndiye mgeni rasmi its obvious this is not a coincidence. Hii ni vita ya Utalii baina ya nchi na nchi na siku zote anayemuwahi mwingine kwenye kuficha madhaifu yake na kujitangaza vizur ndo hupata watalii weng na kujiingizia fedha za kigeni.Acha ujinga wewe.....unamuwazia mama yako wakati wageni wakija mnawapora na kuwabaka? Tatizo mnakariri kuwa wageni ni wazungu tuu....INA maana wewe h wauoni ushahidi huo au unajitoa ufahamu tu.
Watanzania ndio watu wa kwanza kujichafua then wanasingizia wageni waliochafiuliwa.
EheeeKama mteuliwa wa Rais aliweza kushupaza shingo aletewe Nandy kutoka hoteli aliyofikia, hili sitashangaa.
So unataka tussurport ujinga mnaofanya huko mafichoni.....laani matendo aliyofanyiwa kwanza,then hayo unayomtuhumu nayo uyatolee ushahidi sio blah blah huku mnalifedhehesha taifa. Nughu!!!Fungua akili yako. Tukio limetokea 21 april 2021 lakini muhusika amekuja kuripotia mitandaoni jana 16 apr 2022. Amekaa nazo hizo clips na picha mwaka mzima bila kuziexpoze popote pale kwa muda wote huo kwanini?? Hawa watu huwa sio watalii kama mnavyodhan, Ashaingiza pesa tayar huyo. Ametoka ningeria kalipia hotel six days na go and return air ticket akijua kabisa hii hela yake inaweza rudi ata ×100 times. Tayar kuna agencies zilishanunua huu mzigo na jana ndo ilikua siku maalum ya kuupost. weng wao wanakuja kwa kazi maalum na akipata loophole kama hii anaitumia vizur ili kukuadhibu...Si support ubaya uliotendeka ila kitendo cha kurelease hizo clips jana na leo ndo uzinduzi wa Tanzania Royal tour huko NY Marekani ambako Rais ndiye mgeni rasmi its obvious this is not a coincidence. Hii ni vita ya Utalii baina ya nchi na nchi na siku zote anayemuwahi mwingine kwenye kuficha madhaifu yake na kujitangaza vizur ndo hupata watalii weng na kujiingizia fedha za kigeni.
Fatilia hiyo account ya twitter ya huyo dada anayesemekana kuwa ni mnigeria. Account imefunguliwa 2017, ila toka 2017 hiyo account haijawah kutweet chochote kile zaid ya kuretweet tu mpaka jana 16 apr 2017 ndo ikapost thread ndefu ya page zaid ya 51. Why account ilikuwa dormant for 5 years mpaka jana.
Tafakarini.
Kwa hiyo asungesema kabisa eti? R kelly kafungwa kwa matukio ya muda gani?Itokee 2021 leo ndio useme, sasa hata uchunguzi utafanyika kwa shida sana