Leo 'fyucha hazibandi' kaachia ile video yao ya madenda.....Basi kichechefu kitupu huko insta!Nilimshangaa mno alipo ongozana na mwanae kwenye kesi ya video zake zilizo vuja za uchafu hakika angekuwa ndugu yangu namkataa kabisaa
Huyu mama alikuwa wa na tabia kama za Wema mungu anisamehe,
Kwanza huyo Wema ilibidi akakae jera kama miezi ili akili iludi japo kidogo,Leo 'fyucha hazibandi' kaachia ile video yao ya madenda.....Basi kichechefu kitupu huko insta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu umri ushamtupa Kiki awaachie watotoHivi wema toka aachiwe na basata hata miezi mitatu imepita kweli?[emoji16][emoji16]
Maana alituahidi anaacha utoto
Sent using Jamii Forums mobile app
Au ni yule dada aliyekua anafanya kazi kwny mifuko ya kijamii.Alikamatwa na mirungi kwenye gari yake akaswekwa ndani ila bado hajahukumiwa, ni dada tu alikuwa anasaka pesa za kumtuliza Diana.
Huyo huyo ndio alimuhamisha Diana Dar na kumtuliza moshi.
Watu wengi age yake pale mori huwa wanasema hivoHuyu mama alikuwa wa na tabia kama za Wema mungu anisamehe,
Yule demu nunda sana....unafikiri magereza hajawahi kukaa?[emoji16]Kwanza huyo Wema ilibidi akakae jera kama miezi ili akili iludi japo kidogo,
Niliona video yake mama Wema anitikisa makalio huku akisema Wema tako lake sio mchina😄😄😄😄😄
Ishu ya kanumba aliwahi kumbe kukaa jeraYule demu nunda sana....unafikiri magereza hajawahi kukaa?[emoji16]
Refer ishu ya kanumba na kioo cha gari
Sent using Jamii Forums mobile app
Weeee hapendi kukua huyooo[emoji849][emoji848]....yaan miaka inavyozidi kusogea ndivyo kichefuchefu kinazidi kumpanda[emoji1787][emoji1787][emoji16]...wema anapenda sana utoto!Halafu umri ushamtupa Kiki awaachie watoto
Yes siku 14..alivyotoka tu akaenda mla denda yule teja wake Jumbe na mama ake akishuhudia mahakamaniIshu ya kanumba aliwahi kumbe kukaa jera
Haaaaahaaaaaa, kweli fyucha.. jamani, halafu wema inaonekana anapenda sana madenda unakumbuka alivyotolewa gerezani na mama ake baada ya kumuwekea dhamana alivyovunja kioo cha gari cha kanumba wakati huo wema anaishi na Jumbe, kutoka lupango tu kwenye viwanja vya mahakama akamvaa Jumbe na kumpa madenda hovyo hovyo na kutaka kuondoka nae, mama akapagawa akatishia kufuta dhamana, wema yuko baby , baby huku anakula denda tu Jumbe kabaik na aibu, cha eti leo afundishwe tabia mbaya na Diana? Litakuwa ajabu jipya la dunia.Leo 'fyucha hazibandi' kaachia ile video yao ya madenda.....Basi kichechefu kitupu huko insta!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wote ni makonk fire....ila nasikia Dayana ni hardcoreKwahiyo kati ya wema na Diana nani ana act kama mwanaume
Haaaahaaaa.... usipime [emoji134]Niliona video yake mama Wema anitikisa makalio huku akisema Wema tako lake sio mchina[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Wote ni makonk fire....ila nasikia Dayana ni hardcore
Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOT
Hardcore ndo anakuaje