witnessj
JF-Expert Member
- Mar 22, 2015
- 28,704
- 47,260
Leo 'fyucha hazibandi' kaachia ile video yao ya madenda.....Basi kichechefu kitupu huko insta!Nilimshangaa mno alipo ongozana na mwanae kwenye kesi ya video zake zilizo vuja za uchafu hakika angekuwa ndugu yangu namkataa kabisaa
Sent using Jamii Forums mobile app