Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Yes siku 14..alivyotoka tu akaenda mla denda jule teja wake Jumbe na mama ake akishuhudia mahakamani

Wema hajaanza vituko leo eti, watu toka tuko secondary huko anatupunguzia stress za mitihani ya necta[emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu kweli enzi hizo na mimi niko secondary πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„
 
Diana daah..
Sjui why aliamua kua lesbo..
Back then she was sweet and polite,alkua so caring full wivu akipenda,
Maybe alitendwa sana.
Miss the old diana

Sent using Brain
Asilimia kubwa ya lasbina ni Wale walio twendwa kihisia na kukimbilia kuangalia porn
 
Hivi huyu Jumbe yuko wapi now, yule dada yake Asha Jumbe uigizaji umemshinda
 
Ila wema mjanja sana alivyoona Jumbe anamfungia ndani hakuna kufanya issue yoyote na mawifi wanamzunguka asitoke, akapanga dili kamadnganya Jumbe gari mbovu naipeleka gereji jumbe nae akaingia kwenye gari waende wote kufika gereji jumbe kashuka wema katimua vumbi na gari yake hadi sinza kwa mama pa global wakatoa picha wema kalala mapajani mwa mama ake eti mama anampa pole mtoto, kweli wana fanana.
 
Huyu mama ndio kamuharibu mtoto wake PERIOD!

toka zamani anatetea ujinga wake, yaan mitoto ya mwisho ukiidekeza bila fimbo inakuwaga mitahira[emoji848]....nayaona haya mtaani!

Toto chapa fimbo mpaka linyoooke!...mamaake ndo anamuharibu eti now anatafuta sympathy kwa walimwengu! Khaaa

Apambane na kitinda mimba wake asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„Kichwani hamna kitu mule we muache fainali uzeeni
 
Na apambane haswa, hakumtaka kanumba wala Jumbe anataka kumuuza kwa madanga ili waendeshe magari mjini sasa sijui nani alaumiwe?
 
Halafu mtoto ukimuonesha unampenda mno kiasi akifanya kosa unafikilia kumuuliza matokeo yake ni ya Si Wema
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…