Sakata la Wema Sepetu na Diana lafikia pazito

Sijaelewa kabisa mkuu.

Sependa atakuwa na laana sio bure au alidekezwa sana utotoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo mama ni wale wale tuu Diana mtoto mdogo atalifundisha nini hilo gume gume............ Wachagga poleni hii mbegu imepatikana wapi kiruuu
 
Sidhani kama Ana umia kama mzazi, Mzazi anaye jielewa hawezi kumwambia binti mwanaume huyu akufai hana pesa tafuta mwengine.
Wamama wengi wana tabia hii niamini mimi hata kama sio kwa mtindo wa mama Wema!...

Ukitaka kuujua ukweli peleka mchumba kwenu halafu mama aje ajue kuwa jamaa hana kitu, utanyaliwa mpaka basi!

Halafu peleka home mchumba mwenye hela hiyoo shobo, sio ya dunia hii[emoji848]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lile jamaaa ni buree asee [emoji848]....pale mzazi kala hasara kali

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…