Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

Simba ipi hio yenye morali unayo zungumzia ? Iliyopigwa mkong'oto kwenye ngao ya jamii au nyingine?
 
Hiyo kesi ya madai, waende tu mahakamani. Nao Yanga ni wajinga, watampaje hela mchezaji wakati bado hawajauziwa na mmiliki? Ni sawa na kumlipa dalali wakati hujamalizana na mwenye nyumba, kama imeshauzwa je?
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Sawa Yanga wajinga vipi Simba kwa Lawi?
 
Hata Kibu ni kijana au ni Mzee?
 
Sawa Yanga wajinga vipi Simba kwa Lawi?
Simba haikumpa hela Lawi bila ya kumaluzana na Coastal Union. Umewahi kusikia viongozi wa Coastal Union wakikanusha kupokea hela za Simba? Walipokea ila wakaja kuzirudisha. Lakini Yanga hadi leo haijaipa Singida hela za manunuzi, ila imempa mchezaji πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
.... Hapo timu ya mchezaji, Mchezaji tayari wamefanya kosa.
Mchezaji amefanya kosa, lakini ukisema timu ya mchezaji (Singida) imefanya kosa, hapo nitakukatalia. Yaani una mchezaji na wanunuaji wenye cash wanajitokeza, eti usimuuze kwa kuwa ipo timu nyingine ilishasema kwa maneno kuwa itamnunua? Isipomnunua je?
 
Haikusema kwa maneno, walifanya pre-contract na Singida walihusishwa. Kilichotokea ni unazi wa baadhi ya viongozi wakidhani pre-contract haitakuwa na madhara wakati kiuhalisia, wakati ule, pre contract ilikuwa ndiyo mahala pake kwa kuwa mkataba wake ulikuwa bado haujaisha rasmi.
 
Inaonekana kuna uto wmepanic sana .. mara Kagoma, mara Aziz Ki na wengine kuonekana kwenye mechi za Simba, mara kuhamia uwanja wa KMC?!
 
Acha uongo, alikuwa na mkataba. Kaa pembeni ya huu mjadala
Ukoo wa mbumbumbu hua hamna akili kabisa Kagoma kaondoka Sindiga mapema kabla ligi haija isha alikua huru pamoja na Beno na Bruno sasa 5imba walimpa hela ya nini kama alikua na mkataba na SGF? au ndio u mbumbumbu mlio fanya kwa Awesu?
 
Unajulia kuwakamata mbumbumbu
Naona mtu mmoja umewajibu kila kolo amekula kona
 
kwa mechi gn ya maana mliyocheza mpk ujsfie msimu huu una timu al hilal tu wamewatoa kamasi ngoja ligi isonge.
 
Hao makolo wanadhania Yanga sawa na kmc eti wavunje kanuni halafu tutasamehewa mbele ya safari,hapa hadi kieleweke ili uhuni kama huu upate suluhisho kwenye mpira wetu
 
kwa mechi gn ya maana mliyocheza mpk ujsfie msimu huu una timu al hilal tu wamewatoa kamasi ngoja ligi isonge.
Al hilaly kwa viwango vya CAF mpaka sasa Yuko ndani ya kumi bora wakati timu yako nyumamwiko hata kumi bora haimo . Al hilaly hii ndiyo iliyowatoa uto CAFCL mwaka juzi mkarudi cafcc . Halafu leo unaisema eti ni timu ndogo. Ila utopolo !!
 
acha kukata mauno hapo subiri vije viwango vipya baada ya msimu huu wa caf kupta tuone mtakuwa wp na yanga watakuwa wp usisahau hata nafas waliyopo yanga wamepanda kwa speed ya 5g kutoka mbali sn kuna vitimu vpo juu ya yanga lakn haviwez kuisogelea yanga ikiwemo mambumbu fc, mazembe nk. So ni swala la muda tu.
 
Yanga wamechungulia wameona huu msimu ni mbaya kwao hivyo wanaona njia pekee kwao kutoboa msimu huu ni kwa Simba kukatwa point, lakini wajue mwaku huu wameuanza vibaya kwa dalili hizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Yanga wamechungulia wameona huu msimu ni mbaya kwao hivyo wanaona njia pekee kwao kutoboa msimu huu ni kwa Simba kukatwa point, lakini wajue mwaku huu wameuanza vibaya kwa dalili hizi.
πŸ˜‚πŸ˜‚
Mbumbumbu hatakiwi ashushwe daraja, inatakiwa abakie tuwe tuna shuhudia Wanavyo teseka kwa makosa Yao wenyewe.
Sisi ni kuwa tia taharuki tu ili wawe wanakoseaπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ ili amtanie vizuri
 
Al hilaly kwa viwango vya CAF mpaka sasa Yuko ndani ya kumi bora wakati timu yako nyumamwiko hata kumi bora haimo . Al hilaly hii ndiyo iliyowatoa uto CAFCL mwaka juzi mkarudi cafcc . Halafu leo unaisema eti ni timu ndogo. Ila utopolo !!
Al hilaly ni timu ya wapi? by the way kwanini utolee mfano wa mwaka juzi mbona kuna mwaka jana na mwaka huu
 
Jiulize swali moja. Kwa nini Yanga hawana kesi na Singida ila wanafanya kesi na Kagoma? Kwani Kagoma alikuwa mchezaji huru au alitakiwa auzwe na Singida? Kama alitakiwa auzwe, kwa nini hawakupeleka hela kwa muuzaji? Je, muuzaji alighairi kuuza au aliamua kuuza sehemu nyingine?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…