Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

Sakata la Yusuph Kagoma kusaini timu mbili Klabu ya Simba kukatwa alama

Kama amesaini timu mbili akiwa na akili zake timamu sheria ifuate mkondo wake, haya mambo ya kusema busara itumike uhuni huu hautaisha.
Huyu mchezaji, si kuwa alikuwa hana timu, yaani alikuwa huru. Sasa tujiulize, hiyo timu yake ya awali, "IMEMUUZA" kwenda timu ipi?
Posa/mahali inapelekwa kwa mzazi, sio kwa muolewaji. Mfungisha ndoa, kaiheshimu "KAULI YA MZAZI"!
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Mbona mnalazimisha mambo? Wao timu husika walisema wanaijua Simba na Simba ndo ilisign na Kagoma...
Eti wapokwe point 6 point 6 ya mafwi....
Nyie mbumbumbu sijui mlilogwa na nani msimu huu mna masakata mangapi ya usajiri lkn bado mmeshupaza shingo, Awesu, Lawi , Valentino na Kagoma wote hao Yanga amehusika?
 
TFF waache mambo za kizamanj waende na mfumo mpya wa FIFA wa mtu akishasajiriwa ni ngumu kuingia kwenye hiyo portal na kusajiriwa na Timu ingine Nchi nyingi wanatumia ila wakina Ndimbo hakuna kitu wanajua wao wapo kizamani tu Dunia hii ya 2024 bado mpo kwenye Saini mbili kweli?
Hapa haujaongea ushabiki maandazi, fact👏🏾
 
Wameshaanza kuingia baridi eti ndio timu kubwa hiyo,mtu hakutaki unamlazimisha
Sasa kama alikuwa haitaki Yanga, kwa nini alikubali kusaini mkataba? Na kama hufahamu, alianza kusaini mkataba na Yanga, baadaye alivyo fuatwa na Simba, akasaini pia!

Je, mchezaji alikuwa hafahamu kufanya hivyo ni kosa kisheria? Mbona upuuzi jama huu huwezi kuuona unatokea kwenye nchi za wenzetu?

Mimi nadhani ifikie wakati tuache kuwafumbia macho wachezaji wasiojitambua kama huyu Yusuph Kagoma.
 
Swali la kujiuliza aliwezaje kucheza mechi kama usajili wake ulikuwa na utata kuitumikia Simba SC?
Kamati imesema asimame mara moja, maana yake ni kwamba inatambua aliruhusiwa. Kukatwa point hiyo sahau kabisa. By the way Singida waliokuwa na mchezaji wao ndio walimuuza Simba. Simba haiwezi kutabirI kuwa amesaini na Ihefu, Pamba au Yanga hadi Kamati iseme, maana Simba haina uwezo wa kujua mafaili ya TFF
 
Hii ishu ni rahisi. Singida wanammiliki mchezaji. Wakaamua kumuuza Simba na sio Yanga. Lakini Yanga walichagua kuanza kumalizana na mchezaji kabla ya kumalizana na klabu inayommiliki. Simply itakavyokuwa ni kwamba Kagoma atalazimishwa arudishe hela alizochukua Yanga, tena hiyo ingeweza hata kumalizwa mahakamani maana haihusiani na soka, bali uaminifu/utapeli. Kuizuia klabu kumtumia mchezaji iliyempata kihalali eti kwa sababu aliwatapeli watu fulani si jambo la busara. Ipo siku mke wa mchezaji atapeleka malalamiko TFF kuwa mchezaji haitunzi familia
 
Yanga itakuwa wameshatapeliwa na mchezaji.
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Kwaiyo kama wamelalamika Awana haki ya kusikilizwa? Au mlitakaje labda? Kama wameona mchezaji kakiuka Sheria za Mpira lazima walalamike kwanini waache? Mamlaka za Mpira ndizo zitaamua kama wako sahihi ama lah na sio kuwaelekeza wafuate matakwa ya mtu kwa manufaa yake, uyo dogo ni mtu mzima na anayo menejiment yake walifanya vile kusaini sehemu mbili kwa sababu zipi?
Hiyo kesi ya madai, waende tu mahakamani. Nao Yanga ni wajinga, watampaje hela mchezaji wakati bado hawajauziwa na mmiliki? Ni sawa na kumlipa dalali wakati hujamalizana na mwenye nyumba, kama imeshauzwa je?
😀😀😀
 
Hiyo kesi ya madai, waende tu mahakamani. Nao Yanga ni wajinga, watampaje hela mchezaji wakati bado hawajauziwa? 😀😀😀
Hahaha, Manara aseme jambo. Hakuna hujuma kweli?
 
baadaye alivyo fuatwa na Simba, akasaini pia!
Yanga mlifanya kosa tulilolufanya kwa Lameck Lawi...

Mlifanya biashara na Kagoma badala ya kwenda SBS...

Simba alifanya biashara na SBS na hilo liko wazi...

Mnachotakiwa nyinyi ni kudai pesa yenu kwa mchezaji...
 
Mbumbumbu mna shida ya uelewa, mnakurupuka, Singida Walisha pokea fedha ya Yanga na Mchezaji alishapokea chake.

CEO wasingida na CEO wa Yanga Walisha kubaliana na usajili.
Kilicho fanyika ni zile Akili za kizamani za msimamizi wa usajili ndugu Magoli mpambe wa MO akifikiri ana wapora Yanga mchezaji na waka Anza kutambua.
Yanga wakawa Wana wa ZOOOM uku wakicheka kwasasa mchezaji na klabu wote wame kwama.

Mchezaji ana angukia kwenye Double signing na kama Yanga wataendelea ku kaza Mchezaji inakula kwake.

Viongozi mbumbumbu wa kamati ya usajili wakiongozwa na Magoli pale msimbazi walikwama kwa Lawi, waka bebwa kwa Valentino na Awesu.
Kama klabu zinazo miliki wachezaji ao zinge amua kushupalia kwasasa Simba ingekua imesha zuiwa kusajili na fain juu kwa kuleta mambo ya usajili kizamani na ku bebana kwa manufaa ya wa puuzi wachache.
 
"Wewe saini tu hapa mengine tuachie sisi tutayamaliza".
Hizi kauli zimetajwa sana kutumika na hawa vigogo wa soka la bongo hasa kipindi cha usajili, matokeo yake kesi kibao za double signing
 
Mbumbumbu mna shida ya uelewa, mnakurupuka, Singida Walisha pokea fedha ya Yanga na Mchezaji alishapokea chake.

CEO wasingida na CEO wa Yanga Walisha kubaliana na usajili.
Kilicho fanyika ni zile Akili za kizamani za msimamizi wa usajili ndugu Magoli mpambe wa MO akifikiri ana wapora Yanga mchezaji na waka Anza kutambua.
Yanga wakawa Wana wa ZOOOM uku wakicheka kwasasa mchezaji na klabu wote wame kwama.

Mchezaji ana angukia kwenye Double signing na kama Yanga wataendelea ku kaza Mchezaji inakula kwake.

Viongozi mbumbumbu wa kamati ya usajili wakiongozwa na Magoli pale msimbazi walikwama kwa Lawi, waka bebwa kwa Valentino na Awesu.
Kama klabu zinazo miliki wachezaji ao zinge amua kushupalia kwasasa Simba ingekua imesha zuiwa kusajili na fain juu kwa kuleta mambo ya usajili kizamani na ku bebana kwa manufaa ya wa puuzi wachache.
Emu tafakari ulichoandika, halafu nisome tena
 
Mbumbumbu mna shida ya uelewa, mnakurupuka, Singida Walisha pokea fedha ya Yanga na Mchezaji alishapokea chake.

CEO wasingida na CEO wa Yanga Walisha kubaliana na usajili.
Kilicho fanyika ni zile Akili za kizamani za msimamizi wa usajili ndugu Magoli mpambe wa MO akifikiri ana wapora Yanga mchezaji na waka Anza kutambua.
Yanga wakawa Wana wa ZOOOM uku wakicheka kwasasa mchezaji na klabu wote wame kwama.

Mchezaji ana angukia kwenye Double signing na kama Yanga wataendelea ku kaza Mchezaji inakula kwake.

Viongozi mbumbumbu wa kamati ya usajili wakiongozwa na Magoli pale msimbazi walikwama kwa Lawi, waka bebwa kwa Valentino na Awesu.
Kama klabu zinazo miliki wachezaji ao zinge amua kushupalia kwasasa Simba ingekua imesha zuiwa kusajili na fain juu kwa kuleta mambo ya usajili kizamani na ku bebana kwa manufaa ya wa puuzi wachache.
Emu tafakari ulichoandika, halafu nisome tena
 
Huyu mchezaji, si kuwa alikuwa hana timu, yaani alikuwa huru. Sasa tujiulize, hiyo timu yake ya awali, "IMEMUUZA" kwenda timu ipi?
Posa/mahali inapelekwa kwa mzazi, sio kwa muolewaji. Mfungisha ndoa, kaiheshimu "KAULI YA MZAZI"!
Yusuph kagoma alikuwa alishasaini mkataba na klabu ya Yanga wa miaka 2 lakini Simba wakatoa cha juu zaidi, uongozi wa Yusuph Kagoma ukarudi kwa viongozi wa Yanga na kuwambia mchezaji amepata sehemu nyingine (nje ya nchin) lakini viongozi wa Yanga walikubali kuvunja mkataba na kagoma akarudisha na pesa za Yanga. Dili lilibadilika baada ya Kagoma kutambulishwa Simba.
 
Wanashngaza sana...
Kila siku wanaaambiwa hawaijui Yanga kwny mkataba wanaijua Simba ila bado wameng'ang'ana...
Hata M/kiti wa Simba Murtaza Mangungu amesema "Wao wenyewe ndio wanajichanganya mara amesamehewa mara hivi mara vile. Sisi tumemsajili, tumepata Release Letter kutoka kwenye klabu yake, tumepata Approval ya Shirikisho, mchezaji yupo Simba na anacheza. Kwa kuwa jambo lipo kwenye mamlaka, basi tuiachie mamlaka."

So tusubiri tuone mwisho wa sarakasi hizi za soka letu
 
  • Thanks
Reactions: BRN
Back
Top Bottom