Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.

we kama unamzimikia Sana diamond hadi unamtamani Ni wewe,Kuna wanaume zaidi ya diamond bana,we itakua unapenda wanaume maarufu,je kina Mengi,Mo dewj je ,bakhresa hao utatuambiaje sasa Daimond WA kawaida mno
 
Hahahahaaa huko Insta jamani watu wamemshambulia hadi anatia huruma.
Na ameharibu alivyopanic na kupost mipicha na micaptions kisha akaifuta.
 
Hahahahaaa huko Insta jamani watu wamemshambulia hadi anatia huruma.
Na ameharibu alivyopanic na kupost mipicha na micaptions kisha akaifuta.
Haaaaaaaaaahaa boss lady hana hata assistant wa kumanage insta yake walau apunguze uswahili dah, wabongo tutamzeesha jamani
 
Njoo tuangalie lupela hapa,nairudia rudia hapa,Adam Juma mwenyewe kaikubali
Mimi ndio naisikiliza mkuu,nimeiangalia hadi nahisi nitapofuka macho.
Sasa hivi naisikiliza huku namung'unya ubuyu wa Zari na kigodoro.
 
Teh teh teh watu hawajui mapovu yawatoka bure MTU ukishakua na flat screen hata unenepa ile haiongezeki
 
we kama unamzimikia Sana diamond hadi unamtamani Ni wewe,Kuna wanaume zaidi ya diamond bana,we itakua unapenda wanaume maarufu,je kina Mengi,Mo dewj je ,bakhresa hao utatuambiaje sasa Daimond WA kawaida mno
Hahaaa huyu atakua mpenda wanaume type ya dai ndo mana anafikiri wote wako hivo
 
Haaaaaaaaaahaa boss lady hana hata assistant wa kumanage insta yake walau apunguze uswahili dah, wabongo tutamzeesha jamani
Sasa hajui tu,angekaa kimya ingemsaidia na hata huku kushambuliwa kungepungua,ila hivi anavyojibu na kufuta anaharibu kabisa.
 
Duh! Great Thinkers mnajadili makalio ya Zarina Hassan
 
Mimi naona apige ya uchi au avae chupi ya kawaida alafu atupie insta na Nifah achote alete huku jf, hapo atakuwa ameondoa utata huu. Maana hapa tunaongozwa na hisia tu coz hakuna aliyeona tako yake live.
 
Hivi diamond ni nani hasa hapa Tz kwamba kila mwanamke anavutiwa nae?? Alafu nyie watoto wa kimbiji mna shida sana... Huyo diamond kamiliki mtoto gani classic hapa mjini zaidi ya hao hao ambao watu tunawala bila shida
 
Duh! Great Thinkers mnajadili makalio ya Zarina Hassan
wee nawe hujasoma hili ni jukwaa gani au kujitia ujuajii kaa umetiwa dole..hayaa fastaaa nenda kwenye forum ya siasa..inteligensia...au international forums utawakuta magreater thinker wenzio!!! huku waachie wambea wafanye yao
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…