My hubby
JF-Expert Member
- Dec 4, 2015
- 451
- 413
Hiv ww unahisi una sifa za kuwa na mond hata kama hujawai vutiwa nae hakujui na wala hana time na ww iv ukipelekwa mbele na madem aliopitia mond na ww utaonekana..... watu kwa kujipa matumaini et cjawai vutiwa yaan yeye ndo usiseme hata hajawai kosea ata kukuona tu....!!!
we kama unamzimikia Sana diamond hadi unamtamani Ni wewe,Kuna wanaume zaidi ya diamond bana,we itakua unapenda wanaume maarufu,je kina Mengi,Mo dewj je ,bakhresa hao utatuambiaje sasa Daimond WA kawaida mno