George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
aisee haieleweki haya MATUSI yanatokea wapi...Kwa kweli kisa tako la Zari ndio mnaamua kutukaniana hadi wazazi wasio na makosa???
Am so wonders.
hii forum uliyoingia inaitwa celebrities mkuu...Eh hii thread mnajadili makalio?
Hahahahaaaaa aisee umenifurahisha sana,safi.hii forum uliyoingia inaitwa celebrities mkuu...
yaani UMBEA wote unaowahusu celebrities wawe wa BONGO au MAMTONI utaukuta huku...
karibu sana uchangie...
kama hauwezi changia unaweza kwenda forum kama great thinkers,jukwaa la siasa na jamii intelligence...
karibu sana
Hihihihiiiii sema wewe chipaka.com nikisema mie chijibwa itakuwa nongwa!Hii inaitwa Mchina.com,bora angebaki kama vile zamani au tukapeleleze kule UG,
Mfano plsKuna watu mwanzon nilikua nikiwadhania ni watu wa maana kumbe nilikua nakosea kabisaaaa!!
Inakuwaje, mtu unatumia nguvu nyingiii kuprove kuwa Zari hana tako kubwa??Hapa hata mtumie energy kusema zari kafake tako mnazidi kufanya watu wakamtafute mama ubaya waangalie makalio yake ili walinganishe yake na ya mama ubaya. Nadhani kuna utofauti wa picha na aina ya nguo. Wema kwa zari atasubiri sana hamkuti kwa lolote yani kama hilo gauni jeusi alilovaa siku ya event ya Alikiba ndo limeonesha alivyo na makalio na hips mpandano sasa hapo aliyefake nani. Miguu ya wema kama chelewa angejua angekuwa anavaa nguo ndefu.
Mama zetu na baba wana kazi.aisee haieleweki haya MATUSI yanatokea wapi...
alafu inashangaza zaidi pale unapoona mtoto wa kike anatukana MAMA as if yeye ni mtoto wa kiume na mtoto wa kiume anatukana MAMA as if yeye alishushwa tu...
siku moja utakuja kuzaa na wewe utatukanwa kama unavyotukana MAMA wa mwenzako leo hii..!
matusi sio ishu wandugu...
tuifanye hii sehemu kama yakuburudisha akili zetu tu..!
Hivi Wema ana hips nne au ni vipi jamani?
Alafu kwani lazima kuonyesha uvungu wa mapaja???
Huyo madam wao kuproove shape kwa wale mashabiki zke timu vigodoro nae apige picha na nguo za kuogelea kma zari......yani itakua balaa mana kuna wa2 watazimia kwa mshangao hips y kushoto aina 90% yani na kulia ina 40%......yani uwiani haupo kma gari ambayo haina wheelbalanceHapa hata mtumie energy kusema zari kafake tako mnazidi kufanya watu wakamtafute mama ubaya waangalie makalio yake ili walinganishe yake na ya mama ubaya. Nadhani kuna utofauti wa picha na aina ya nguo. Wema kwa zari atasubiri sana hamkuti kwa lolote yani kama hilo gauni jeusi alilovaa siku ya event ya Alikiba ndo limeonesha alivyo na makalio na hips mpandano sasa hapo aliyefake nani. Miguu ya wema kama chelewa angejua angekuwa anavaa nguo ndefu.
Sidhani hata kama ana picha aliyovaa kibukta licha ya hiyo bikini. Miguu ndo kashindwa kuipaka mchina kalio lina mabonde balaa na ndiyo maana suruali huwa anavaa kama ajali tu.Huyo madam wao kuproove shape kwa wale mashabiki zke timu vigodoro nae apige picha na nguo za kuogelea kma zari......yani itakua balaa mana kuna wa2 watazimia kwa mshangao hips y kushoto aina 90% yani na kulia ina 40%......yani uwiani haupo kma gari ambayo haina wheelbalance
Duuuh kumbe anajujua sasa hiyo timu vigodoro heri wanyamaze 2 madam wao hana jipya....chibu yuko na zari maneno n matusi yao hayasaidii kitu wao wajichangishe kununua nguo za mtoto mtarajiwa wa madam waoSidhani hata kama ana picha aliyovaa kibukta licha ya hiyo bikini. Miguu ndo kashindwa kuipaka mchina kalio lina mabonde balaa na ndiyo maana suruali huwa anavaa kama ajali tu.
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.
Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.
Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.
Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)
Maneno pembeni, hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'.
View attachment 321993
View attachment 321994
Nifah, umesema kama kumpenda mtu ni kumzalia basi Ivan alipendwa zaidi ndio maana kamzalia watoto watatu, ukimaanisha kwa kuwa Dai ana moja, ndio nimesema labda hawataishia hapo kwenye mmoja watazidi hata hao watatu, ila ukweli naamini mpaka uwe baba watoto/mume lazima mwananmke uwe umeridhika na huyo muhusika.Kwa maana hiyo mpaka sasa Zari anampenda na kumuamini Ivan zaidi hadi pale atakapomzalia Diamond zaidi ya hao watatu?