George Betram
JF-Expert Member
- Oct 10, 2015
- 4,672
- 6,272
aisee haieleweki haya MATUSI yanatokea wapi...Kwa kweli kisa tako la Zari ndio mnaamua kutukaniana hadi wazazi wasio na makosa???
Am so wonders.
alafu inashangaza zaidi pale unapoona mtoto wa kike anatukana MAMA as if yeye ni mtoto wa kiume na mtoto wa kiume anatukana MAMA as if yeye alishushwa tu...
siku moja utakuja kuzaa na wewe utatukanwa kama unavyotukana MAMA wa mwenzako leo hii..!
matusi sio ishu wandugu...
tuifanye hii sehemu kama yakuburudisha akili zetu tu..!