Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Hapo ndipo ushangae hizi chuki zote kwa zari ni jambo la kushangaza, Wema hakuwa mke wa ndoa wa Dimond useme zari kasababisha wema kuachwa au kutelekezwa, kikubwa zaidi wema ndie alie muacha Dimond akaenda kwa hao aliowachagua yeye, sasa inakuwaje nongwa kwa mwanamke mwingine kukubali kuwa mpenzi wa mwanaume alie single nae kaona anamfaa? Au kisa zari si mtanzania? Wema, zari hata sie tunao wachambua hakuna alie kamilika kimaumbile, miguu kama njiti, au miguu kama mchi, wao wanatembea na maisha yao yanaenda.
 
Mhhhhhhh makubwa haya!
 
Mademu wa kibongo akili zao zipo makalioni na papunchnn,,,,mwenzenu anawaza pesa nyny mnafatilia makalio
 
Tupia picha yako na ww tukujadili.
 
Tatizo ni kuwa Wema amekuja in another name
 
Pesa yako tu.
Wowowo, titi, meno kila kitu kwenye mwili
WA binaadamu kinatengenezeka .Pesa yako tu .

I'm not even surprise if she had a tummy tuck.
 
Dunia ina mambo mapovu hasa wanawake ebu we mwanamke mwenye miaka 18 ebu zaa Watoto watatu tu tukufananishe n.a. huyo munayemuita bibi tuone itakuaje
 
Sura ya huyu na ya Nifah ni vitu viwili tofauti....huyu anaanza kujichubua na ni black American. Bibie Nifah ni full mkorogo na kwa jinsi alivyo anaonekana hana mzigo.
Raha sana mtu anaponijengea picha namna hii......
Umetisha sana.
 
Ni wivu tu unawasumbua kisa katulizwa na the bosslady, mwacheni jamaa atulie na familiar yake.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…