Sakata la Zari na makalio bandia

Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Inakuwaje, mtu unatumia nguvu nyingiii kuprove kuwa Zari hana tako kubwa??
Unajipofusha macho hata ile picha alovaa bikini katoka kuswim hutaki kuona!!
Fact kuwa mtu akinenepa na tako linakua ni kitu hakihitaji degree.
Unagundua kuwa chuki, wivu na hasira ndio kilicho nyuma ya pazia.
As for Wema huhitaji microscope kugundua ana hips nne.
Hapo ndipo ushangae hizi chuki zote kwa zari ni jambo la kushangaza, Wema hakuwa mke wa ndoa wa Dimond useme zari kasababisha wema kuachwa au kutelekezwa, kikubwa zaidi wema ndie alie muacha Dimond akaenda kwa hao aliowachagua yeye, sasa inakuwaje nongwa kwa mwanamke mwingine kukubali kuwa mpenzi wa mwanaume alie single nae kaona anamfaa? Au kisa zari si mtanzania? Wema, zari hata sie tunao wachambua hakuna alie kamilika kimaumbile, miguu kama njiti, au miguu kama mchi, wao wanatembea na maisha yao yanaenda.
 
Nifah basi na wewe tuwekee yako tuyaone tafadhali.


makalio.jpg
 
Me nashangaa hawa team wema Zari cyo level yao kabisaa huyo wema wao katombwa na kla mtu mjin lak 2 yako tu anakupa uchi halaf hata kutiana hajui Kelele Nyingi kwa bed kiuno Gogo cjajua kuhusu huyo zari lkn najua wema hamfikii Bibi bomba tangu 2006 ana miaka 22 mpk Leo
Mhhhhhhh makubwa haya!
 
Mademu wa kibongo akili zao zipo makalioni na papunchnn,,,,mwenzenu anawaza pesa nyny mnafatilia makalio
 
Achana na habari zote zinazotikisa kwa sasa,habari ya Zari a.k.a Boss lady kuweka makalio ya bandia imeshika kasi.

Kama mtakumbuka majuzi hapo Zari alihudhuria hafla ya tangazo la Vodacom ambalo yeye na mwenzi wake Diamond wameingia mkataba wa kulitangaza bibie Zari alipigilia kigauni matata chekundu.

Hafla hiyo imezua minong'ono mingi kuhusu Zari wengi wakidai ni mzee kuliko anavyopost picha zake yeye mwenyewe (too much editing) maana wadau waliokuwa pale walimpiga picha original ambazo zimezua kizaazaa.

Achana na hilo la sura balaa kubwa lipo kwenye shape aliyoonekana nayo Zari kwenye hafla hiyo kuwa tofauti na ile tuliyoizoea hadi wadau kuhoji je bibie Zari nae ni mdau wa kigodoro? (kuvaa nguo za ndani zilizotuna kuboresha muonekano wa shape)

Maneno pembeni, hapa kuna picha za Zari kabla akiwa na shape tuliyoizoea na shape 'TATA'.

View attachment 321993

View attachment 321994
Tupia picha yako na ww tukujadili.
 
Inakuwaje, mtu unatumia nguvu nyingiii kuprove kuwa Zari hana tako kubwa??
Unajipofusha macho hata ile picha alovaa bikini katoka kuswim hutaki kuona!!
Fact kuwa mtu akinenepa na tako linakua ni kitu hakihitaji degree.
Unagundua kuwa chuki, wivu na hasira ndio kilicho nyuma ya pazia.
As for Wema huhitaji microscope kugundua ana hips nne.
Tatizo ni kuwa Wema amekuja in another name
 
Pesa yako tu.
Wowowo, titi, meno kila kitu kwenye mwili
WA binaadamu kinatengenezeka .Pesa yako tu .

I'm not even surprise if she had a tummy tuck.
 
Dunia ina mambo mapovu hasa wanawake ebu we mwanamke mwenye miaka 18 ebu zaa Watoto watatu tu tukufananishe n.a. huyo munayemuita bibi tuone itakuaje
 
Sura ya huyu na ya Nifah ni vitu viwili tofauti....huyu anaanza kujichubua na ni black American. Bibie Nifah ni full mkorogo na kwa jinsi alivyo anaonekana hana mzigo.
Raha sana mtu anaponijengea picha namna hii......
Umetisha sana.
 
Ni wivu tu unawasumbua kisa katulizwa na the bosslady, mwacheni jamaa atulie na familiar yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom