Segito wa Kalenga
JF-Expert Member
- Aug 28, 2014
- 609
- 864
Oh,nilitaka kusahau yale maombi maalum mliyonipa ya kuwaita
Madame B BADILI TABIA 'Valentina' The Name
Kama kuna niliyemsahau anisamehe,awasilishe maombi upya.
Mmmmmmmm
Shogaangu UMECHAMBWA NI AJE kule kwa sintah kiroboto uuuwwwiiiiOh,nilitaka kusahau yale maombi maalum mliyonipa ya kuwaita
Madame B BADILI TABIA 'Valentina' The Name
Kama kuna niliyemsahau anisamehe,awasilishe maombi upya.
Many times umekuwa illogical ebu jitambue boya wewe kusema wenzio wewe hiko tako unalo cajabu utakuwa kidemu cha uswazi tena kilichokubuhu na kukomaa sura... Unamdomo mrefu usiotoa hoja za maana mnyuuuuuuhhhh ...Huu ni ushamba wa miaka ya 47 kuringia mambo ya geti kali.
Mbona hata mimi naishi kwenye geti kali? (If that's the case)
Hapa ni umbea tu,mambo ya geti kali tupa kule.
At least she's not youMany times umekuwa illogical ebu jitambue boya wewe kusema wenzio wewe hiko tako unalo cajabu utakuwa kidemu cha uswazi tena kilichokubuhu na kukomaa sura... Unamdomo mrefu usiotoa hoja za maana mnyuuuuuuhhhh ...
Haya na wewe umeshatoa yako ya moyoni....Many times umekuwa illogical ebu jitambue boya wewe kusema wenzio wewe hiko tako unalo cajabu utakuwa kidemu cha uswazi tena kilichokubuhu na kukomaa sura... Unamdomo mrefu usiotoa hoja za maana mnyuuuuuuhhhh ...
uongo ukiachwa uendelee kuwa midomoni mwa watu ipo siku utachukuliwa kama ukweli. Kama ni kweli Zari amekujibu basi ametumia haki yake ya msingi. Asingeweza kulifumbia macho suala kama Hili eti Kisa limezungumzwa na Mtu kama Wewe... Kama wewe unajiona si lolote na una haki ya kumchafua Zari! Hata yeye amejiona si lolote ndio maana ameamua kukujibu na Kupaniki... Kumtaka zari Aache ligi na Mtu wa Aina yako inaonyesha ni Jinsi gani unavyojishusha na Kujiona takataka mbele ya Huyo unayemponda.HAHAHAHAHAHAAAAA ZARI APANIC HUKO INSTAGRAM KAMA KAWAIDA YAKE,KAAMUA KUNIJIBU!
Sikiliza nikupe ushauri wa bure Zari,acha kupanic maana naona unasema kwamba mimi na wale waliodai wewe ni mdau kigodoro tumepanic,kwa majibu haya ni nani aliyepanic zaidi?
Why using too much energy kuprove kuwa hutumii kigodoro?
Hujui hapa ndio umezidi kutupa doubt zaidi?
Je unajua kama wewe ni celebrity tayari?
Utaacha lini hizi ligi za kipumbavu za kubishana hadi na Anonymous kama Nifah?
Toubeeerrrrrr... loya nitatoka mie kweli????Your under arrest...! Lemutuz ndio atakuwekea dhamana!
Umetisha mbea mwenzangu.... wapambe wamemshtuaVipi nikisema ndio?
Sasa baada ya mimi kuchukua hizo screenshots na kuja kuandika huku na kumsema nenda katika page yake kama utazikuta hizo post na captions tena.
Heheheheheeee ameshafuta mama.
Hakunaaa, vepe wew una shida kwan na kigodoro chake?Nimesema kanijibu mimi na wengine WOTE waliohoji kuhusu hivyo vigodoro vyake.
Vipi,kuna tatizo kwani?
Hahahaaaaaa
Hahahahaaa na mbona baada ya yeye kujibu na mie kuhoji kulikoni atumie nguvu nyingi kutetea kuwa hatumii kigodoro kafuta post?uongo ukiachwa uendelee kuwa midomoni mwa watu ipo siku utachukuliwa kama ukweli. Kama ni kweli Zari amekujibu basi ametumia haki yake ya msingi. Asingeweza kulifumbia macho suala kama Hili eti Kisa limezungumzwa na Mtu kama Wewe... Kama wewe unajiona si lolote na una haki ya kumchafua Zari! Hata yeye amejiona si lolote ndio maana ameamua kukujibu na Kupaniki... Kumtaka zari Aache ligi na Mtu wa Aina yako inaonyesha ni Jinsi gani unavyojishusha na Kujiona takataka mbele ya Huyo unayemponda.
Ni ukweli usiofichika asilimia sabini ya madada wa Jf hasa wale waliochoka na kukongoloka ndio wanaoongoza kwa kumuattack Zari Kule Insta na Hapa Jukwaa la Watu wasio maarufu wanaforce kuwa maarufu..
Yani nafikiri Zari hata hajui uwepo wetu(celeb forum) nachofikiri anawaonyesha visokorokwinyo wenye baadhi ya page kule ig ambao hata kabla hujapost wewe hapa JF walishamsema juu ya hilo tako.Vipi nikisema ndio?
Sasa baada ya mimi kuchukua hizo screenshots na kuja kuandika huku na kumsema nenda katika page yake kama utazikuta hizo post na captions tena.
Heheheheheeee ameshafuta mama.
Alitaka umpende yeye.Hujui kwanini na huwezi kujua.
Wewe ulitaka nipende nini?
Ngoja nikimbieShogaangu UMECHAMBWA NI AJE kule kwa sintah kiroboto uuuwwwiiii
Hii nayo kali, ila hailevi...Sema uongo kusema kakujibu wewe hahaha...kawajib wote mlosema fake maana kama screensht ata udakutz anazo
Endelea kujidanganya,hao akina nataka shari wamemsema tokea tarehe 4 mbona asiwajibu?Yani nafikiri Zari hata hajui uwepo wetu(celeb forum) nachofikiri anawaonyesha visokorokwinyo wenye baadhi ya page kule ig ambao hata kabla hujapost wewe hapa JF walishamsema juu ya hilo tako.
Labda ukinambia una page mojawapo hususan nataka shari, au mokorokocho.