Sakata la Zari na makalio bandia

Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Huu ni ushamba wa miaka ya 47 kuringia mambo ya geti kali.
Mbona hata mimi naishi kwenye geti kali? (If that's the case)
Hapa ni umbea tu,mambo ya geti kali tupa kule.
Many times umekuwa illogical ebu jitambue boya wewe kusema wenzio wewe hiko tako unalo cajabu utakuwa kidemu cha uswazi tena kilichokubuhu na kukomaa sura... Unamdomo mrefu usiotoa hoja za maana mnyuuuuuuhhhh ...
 
At least she's not you
 
Sema uongo kusema kakujibu wewe hahaha...kawajib wote mlosema fake maana kama screensht ata udakutz anazo
 
Many times umekuwa illogical ebu jitambue boya wewe kusema wenzio wewe hiko tako unalo cajabu utakuwa kidemu cha uswazi tena kilichokubuhu na kukomaa sura... Unamdomo mrefu usiotoa hoja za maana mnyuuuuuuhhhh ...
Haya na wewe umeshatoa yako ya moyoni....
Nchi huru hii,sema ujisikiacho.
 
HAHAHAHAHAHAAAAA ZARI APANIC HUKO INSTAGRAM KAMA KAWAIDA YAKE,KAAMUA KUNIJIBU!
Sikiliza nikupe ushauri wa bure Zari,acha kupanic maana naona unasema kwamba mimi na wale waliodai wewe ni mdau kigodoro tumepanic,kwa majibu haya ni nani aliyepanic zaidi?
Why using too much energy kuprove kuwa hutumii kigodoro?
Hujui hapa ndio umezidi kutupa doubt zaidi?
Je unajua kama wewe ni celebrity tayari?
Utaacha lini hizi ligi za kipumbavu za kubishana hadi na Anonymous kama Nifah?
uongo ukiachwa uendelee kuwa midomoni mwa watu ipo siku utachukuliwa kama ukweli. Kama ni kweli Zari amekujibu basi ametumia haki yake ya msingi. Asingeweza kulifumbia macho suala kama Hili eti Kisa limezungumzwa na Mtu kama Wewe... Kama wewe unajiona si lolote na una haki ya kumchafua Zari! Hata yeye amejiona si lolote ndio maana ameamua kukujibu na Kupaniki... Kumtaka zari Aache ligi na Mtu wa Aina yako inaonyesha ni Jinsi gani unavyojishusha na Kujiona takataka mbele ya Huyo unayemponda.

Ni ukweli usiofichika asilimia sabini ya madada wa Jf hasa wale waliochoka na kukongoloka ndio wanaoongoza kwa kumuattack Zari Kule Insta na Hapa Jukwaa la Watu wasio maarufu wanaforce kuwa maarufu..
 
Tatizo Waswhili/Wabongo mna umbea mwingi na midomo mirefu kama Kasuku, hivyo vigodoro nani kaviona?
Hacha umbea bana.
 
Vipi nikisema ndio?
Sasa baada ya mimi kuchukua hizo screenshots na kuja kuandika huku na kumsema nenda katika page yake kama utazikuta hizo post na captions tena.
Heheheheheeee ameshafuta mama.
Umetisha mbea mwenzangu.... wapambe wamemshtua
 
My shouger Nifah leo umenikosha sana.tukutane kuleeee kwa bingwa wa kuchoma nyama tujipooze kidogo.bili kwangu
 
Sema uongo kusema kakujibu wewe hahaha...kawajib wote mlosema fake maana kama screensht ata udakutz anazo
Nimesema kanijibu mimi na wengine WOTE waliohoji kuhusu hivyo vigodoro vyake.
Vipi,kuna tatizo kwani?
Hahahaaaaaa
 
uongo ukiachwa uendelee kuwa midomoni mwa watu ipo siku utachukuliwa kama ukweli. Kama ni kweli Zari amekujibu basi ametumia haki yake ya msingi. Asingeweza kulifumbia macho suala kama Hili eti Kisa limezungumzwa na Mtu kama Wewe... Kama wewe unajiona si lolote na una haki ya kumchafua Zari! Hata yeye amejiona si lolote ndio maana ameamua kukujibu na Kupaniki... Kumtaka zari Aache ligi na Mtu wa Aina yako inaonyesha ni Jinsi gani unavyojishusha na Kujiona takataka mbele ya Huyo unayemponda.

Ni ukweli usiofichika asilimia sabini ya madada wa Jf hasa wale waliochoka na kukongoloka ndio wanaoongoza kwa kumuattack Zari Kule Insta na Hapa Jukwaa la Watu wasio maarufu wanaforce kuwa maarufu..
Hahahahaaa na mbona baada ya yeye kujibu na mie kuhoji kulikoni atumie nguvu nyingi kutetea kuwa hatumii kigodoro kafuta post?

Halafu naona una-miss point ya msingi,mimi ni Anonymous ila Zari ni celebrity na hatakiwi kujibu kila litakalosemwa juu yake.
Kusemwa ni jambo la kawaida kwa celebrities, ningemheshimu kama angekaa kimya na kuendelea na maisha yake,amini nakuambia UKIMYA wa unayemsema vibaya unaumiza sana.

Vinginevyo hongera kwa utafiti wako wa asilimia sabini......!!!!
 
Vipi nikisema ndio?
Sasa baada ya mimi kuchukua hizo screenshots na kuja kuandika huku na kumsema nenda katika page yake kama utazikuta hizo post na captions tena.
Heheheheheeee ameshafuta mama.
Yani nafikiri Zari hata hajui uwepo wetu(celeb forum) nachofikiri anawaonyesha visokorokwinyo wenye baadhi ya page kule ig ambao hata kabla hujapost wewe hapa JF walishamsema juu ya hilo tako.
Labda ukinambia una page mojawapo hususan nataka shari, au mokorokocho.
 
Endelea kujidanganya,hao akina nataka shari wamemsema tokea tarehe 4 mbona asiwajibu?
Sio case anyway.... Ngoja niendelee kuburudika na Lupela huku namung'unya ubuyu wa kigodoro.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom