Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Mbona we we unaingilia yasiyo kuhusu multiple as usual yani we we umefungua Uzi kufatilia haaaaa nenda great thinker
 
Nimekuuliza umejuaje kuwa humo kwenye makalio ya mwanamke mwenzio kuwa kuna kigodoro? Au weye ndiyo kigodoro chenyewe?
Ushamba mzigo we we kuna vidude huvaliwa kuongeza makalio na hips angalia hapo kiunoni no direct correlation
 
Hahahahahaaa nafurahi sana kila mtu anapojaribu kumjengea Nifah picha....
Haya na wewe umecomment pia,kunywa maji upoze pressure maana sio kwa povu hili.
 
Ushamba mzigo we we kuna vidude huvaliwa kuongeza makalio na hips angalia hapo kiunoni no direct correlation
Oooops,asante mpenzi!
Ndio maana nakupendaga sana wewe mdada.
Watu hawaelewi wanakimbilia kumwaga povu.
Huyo Zari alipanic ila kafuta posts baada ya kutuliza kichwa akaona anazidi kujiumbua.
 
Sijui kwanini wadada wa mjini wanapenda haya madude kuna kidem flani nilikila mzigo naye alikuwa anaweka kigodoro uwa hawavui nguo wakati unawaangalia
 
Oooops,asante mpenzi!
Ndio maana nakupendaga sana wewe mdada.
Watu hawaelewi wanakimbilia kumwaga povu.
Huyo Zari alipanic ila kafuta posts baada ya kutuliza kichwa akaona anazidi kujiumbua.
Watu hata hawaelewa wala kuchunguza kalio LA kushtukiza above thirty latoka wapi chaah. Tatizo wamejijrngea image tena wrong one
 
Sijui kwanini wadada wa mjini wanapenda haya madude kuna kidem flani nilikila mzigo naye alikuwa anaweka kigodoro uwa hawavui nguo wakati unawaangalia
Hahahahaaa uwiiiiii mkuu nimecheka sana.
Kuna mtu kasema instagram kuwa Zari wakati anavaa alimuambia Diamond atoke na mtoto nje akampe maziwa....lol
 
Zari amejiachia kanenepa sana!
huwezi weka picha ya mwaka juzi ukaringanisha na leo
Picha ipi ya mwaka juzi mamii?
C'mon rubii wewe ni mgeni katika sekta ya umbea hadi umeshindwa kutambua hizo picha ni za lini?
 
Picha ipi ya mwaka juzi mamii?
C'mon rubii wewe ni mgeni katika sekta ya umbea hadi umeshindwa kutambua hizo picha ni za lini?

Nimetumia "mwaka juzi" kuakisi picha ni mda si za sasa!
 
Navomjua zari ni flat screen inchi 28,nashangaa,nazidi kushangaa
 
Zari naye anabisha nini mbona hizi chupi za makalio zipo kibaoo, nenden pale casandra jaman mtazikuta ukivaa mtu haweza tambua, ni kama skintight tu, hata demu wangu anayo. Kazi unayo zarii, maana sasa itabid usiivue haaaahaaaaa tutakufuatilia like everyday babe. Dah yani tako feki😱😱😱
 
Nimetumia "mwaka juzi" kuakisi picha ni mda si za sasa!
Hapana,picha moja ni wakati akiwa mjamzito na nyingine baada ya kujifungua. (Hiyo aliyovaa night dress nyekundu na nadhani kama umepita muda basi hauzidi mwezi mmoja)
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…