Sakata la Zari na makalio bandia

Sakata la Zari na makalio bandia

Status
Not open for further replies.
Huu ushauri wako ungeupeleka kwenye jukwaa la Wajasiriamali ningekuona wa maana sana.
Kwahiyo tusilete habari za mastaa humu?
Wewe hujawahi kuona post za watu huko Siasani na jukwaa la habari na hoja mchanganyiko zikitoka kwenye blogs na magazeti mbalimbali?
Kwa maana hiyo unataka watu wote wasipost habari humu JF kisa tu watafaidika wengine?
Huu ni UCHOYO NA UBINAFSI!

Maisha ni kutegemeana,nafurahi kusikia kama kuna watu waliofaidika na habari yangu hii ya Udaku.
mwingulu huyuo

swissme
 
Mbona sioni alipo fake...kwani hizo picha zimepigwa muda mmoja! Sidhani kama Zari ana sababu ya kufake...!
 
HAHAHAHAHAHAAAAA ZARI APANIC HUKO INSTAGRAM KAMA KAWAIDA YAKE,KAAMUA KUNIJIBU!
Sikiliza nikupe ushauri wa bure Zari,acha kupanic maana naona unasema kwamba mimi na wale waliodai wewe ni mdau kigodoro tumepanic,kwa majibu haya ni nani aliyepanic zaidi?
Why using too much energy kuprove kuwa hutumii kigodoro?
Hujui hapa ndio umezidi kutupa doubt zaidi?
Je unajua kama wewe ni celebrity tayari?
Utaacha lini hizi ligi za kipumbavu za kubishana hadi na Anonymous kama Nifah?
 

Attachments

  • 1455014300600.jpg
    1455014300600.jpg
    54.1 KB · Views: 37
  • 1455014326154.jpg
    1455014326154.jpg
    48.6 KB · Views: 32
  • 1455014348965.jpg
    1455014348965.jpg
    62.9 KB · Views: 33
  • 1455014363884.jpg
    1455014363884.jpg
    65 KB · Views: 32
Si za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.

we Ni she or he?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom