Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapa hapa mjini mpendwa.....Mpendwa ndo nn sasa kunitamanisha..Upo wapi nikufwate?
Hahahahah.....naona umekuwa mtoto mzuri sana NifahOh,nilitaka kusahau yale maombi maalum mliyonipa ya kuwaita
Madame B BADILI TABIA 'Valentina' The Name
Kama kuna niliyemsahau anisamehe,awasilishe maombi upya.
Teh teh..Mpendwa umekuwa mbinafsi siku hizi..Zamani moment kama hizo ulikuwa unanipigia simu na me nakujua kuona uumbaji wa MunguHapa hapa mjini mpendwa.....
Yaani imagine ninempa shkamoo mwanamke mwenzangu kwa jinsi kijungu kilivyoumbika....
mwingulu huyuoHuu ushauri wako ungeupeleka kwenye jukwaa la Wajasiriamali ningekuona wa maana sana.
Kwahiyo tusilete habari za mastaa humu?
Wewe hujawahi kuona post za watu huko Siasani na jukwaa la habari na hoja mchanganyiko zikitoka kwenye blogs na magazeti mbalimbali?
Kwa maana hiyo unataka watu wote wasipost habari humu JF kisa tu watafaidika wengine?
Huu ni UCHOYO NA UBINAFSI!
Maisha ni kutegemeana,nafurahi kusikia kama kuna watu waliofaidika na habari yangu hii ya Udaku.
Bossilady muda wa kujibu fans anautoa wapi????Hili sakata unajua limeanza lini?Tuanzie hapo kwanza.
Si za ghafla vile kama flani,na tofauti Zari kachongwa kwa viwango sura nzuri tumbo la wastani kama hajazaa kiuno kinaonekana maugio mpaka na sehemu za mwanaume kuwekea mikono mkicheza blues,maungo teke nayo yako kimpangilio akivaa zina valika na zinamkaa miguu sasa kuna watu wakiiona wanatamani kujiflash chooni na anavyo jua kuionyesha wacha uki acha yooote hayo mshiko anao tena si wakukatiwa umeme wala kudaiwa maji, Haya akijitizama yeye umbo Horrible,shapeless ame kaa kaa kama mkengele wa kanisani miguu kama ameapizwa havuki jangwa yule atadidimia,kawaida ya debe tupu kelele nyingi akinunua hata toilet paper anataka watu wajue,na sasa kashaanza ujinga wa kutapikia watu mboga za majani usi mkalie karibu yote hiyo wajue ana kitu tumboni,usipo angalia utakuwa mchawi kama hujawa,ACHA WIVU.
We zoza tu,vipi yame kutouch nini?we Ni she or he?