Huyo dada wakati anatakaAsitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Sasa ivi imekuwa kukomoana , , kipindi demu anadai mali za ashraf haikuwa kukomoana ilikua haki sawaEeh! Imekuwa kukomoana sasa. Lol
Mwanaume kushindana na Mwanamke huo ni Ujinga,Huyo dada wakati anataka
Mali za Ashraf alishindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto??
Yeye amejali Child sapoort ndio maana amedai mali wagawane...Maana Hakimi kama Hakimi hana Mali yoyote sasa angetoa wapi hizo hela za Child supporrt?? So itabidi apewe nusu ya mali za mkewe halafu gharama atakazotakiwa kulipa child support zikokotolewe kutokana na hizo mali atakazogawiwa.Hapo kavaa akili ya utoto.
Akumbuke kuna child support atakayotakiwa kumpa huyo mama na ni hatari kutengeneza mazingira ya chuki au uadui na mama wa watoto wako
Anhaa...Lakini Mwanamke kushindana na Mwanaume aliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto ni Haki sawa???Mwanaume kushinda na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Hakimi ni mswahili tena anatumia ile methali ya. AKUANZAE....Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Unajua nini hiki anachofanya hakim haukutakiwa afanye kibinadamu angesamehe tu lakini kutokana ulaya kuwa na sheria zinazompa nguvu kubwa wanawake especially kwenye masuala haya ya divorce na kugawana mali kulingana na Hili imesababisha wanawake wengi wa uko ulaya watumie Huu mwanya kufanya utapeli wa ndoa ni kama kilichomtokea Mchezaji maarufu wa Zamani wa Arsenal Ebouer ambaye alifilisiwa kila kitu na mzungu mpaka nyumba walikuwa wanaishi bila hata huruma akawa masikini baada yakumkuta bahati nzuri team yake ya Zamani ikajitolea kumsaidia kiuchumi wapo Wanaume wengi wamehathirika na hizi sheria za ulaya I'm sure hiki alichofanya hakimi japo sio vizuri kurudisha ubaya kwa ubaya lakini kimetoa fundisho kubwa Sana na kinaweza kuleta mabadiliko kwa kiasi kubwa mno.Vzuri kabisa ππππ
Hyo ndo dawa ya wadangaji.
Watakuambia alikuwa anatafuta usawakama Boss wetu Hakimi anatafuta sifa, Je huyo mkewe yeye alikuwa anafuta nini?
Na mwanamke kushindana na mwanaume ni ujanja na akili?Mwanaume kushinda na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
Washauri wa nani?? Hakimi au mkewe?Hakimi ni mswahili tena anatumia ile methali ya. AKUANZAE....
Kuna tatizo ktk washauri si bure
Yeye alishindwa nini ku let go alivyotibuana na Hakimi hadi kuomba shauri la kugawana 50/50...Hebu acheni ubinafsi bana.Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Itamsaidia kupata demu mwenye mapenzi ya dhati usifikiri kila mwanamke anatabia za utapeliAshraf anapoenda atakosa demu. πππ
Jibu hiloNa mwanamke kushindana na mwanaume ni ujanja na akili?
akijibu nitagiHuyo dada wakati anataka
Mali za Ashraf alishindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto??
Washauri wa ndoa ulaya nzimaWashauri wa nani?? Hakimi au mkewe?
Hakimi anafuata tu sheria za Divorce, , , kuna kosa??
Mwanaume kushinda na Mwanamke huo ni Ujinga,
Mwanaume kushindana na Mwanamke uliyefunga nae ndoa na kuzaa nae watoto huo ni Uboya.
NAKAZIAYeye alishindwa nini ku let go alivyotibuana na Hakimi hadi kuomba shauri la kugawana 50/50...Hebu acheni ubinafsi bana.
Ubaya mkiufanya nyie kwenu ni kama haki tu ila mkinyooshwa oh wanaume makatili.