Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Yeye alishindwa nini ku let go alivyotibuana na Hakimi hadi kuomba shauri la kugawana 50/50...Hebu acheni ubinafsi bana.

Ubaya mkiufanya nyie kwenu ni kama haki tu ila mkinyooshwa oh wanaume makatili.
Tukirudi nyuma kwann huyo Hiba ali file a divorce? Huyo Achraf amemcheat mara ngapi? Kama hiyo haitoshi bado ana kesi ya ubakaji, hayo hamsemi mnayafutika
 
Awe serious..matani aweke kando..sijafurahishwa kabisa(jokes)
 
Asitafute sifa na yeye, huyo Dada si wamezaa tena Watoto wawili, anashindwa nini kulet go na kuangalia malezi ya watoto
Anatoa fundisho kwa wanawake wenye tabia za kudanga Hakim amepata fundisho zuri kupitia mwafrika mwenzake Ebouer ambaye kupitia hizo hizo sheria alifilisiwa mali zake zote mpaka nyumba alikuwa akaishi na mkewe huyo mzungu bila kuonewa huruma hata kidogo na mkewe aliachwa kweupe na hiyo imekuja ni baada ya Ebouer kumpenda mkewe na kumuamini sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…