Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Sakata limechukua sura mpya, Ashraf Hakim afungua kesi ya kudai alipwe nusu ya mali ya mkewe

Majority ya Vijana mliofurahishwa na huo uzwazwa, ubinafsi na Upumbavu wa yule kijana ni broke-niggas

Tafuteni hela acheni UPUMBAVU!
 
IMG_1500.jpg

Wachezaji ulaya wakiingia mahakamani kubadili majina ya umiliki wa mali zao na kuwaandika mama zao,na bibi zao[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Huyu hakimi si binadamu wa kawaida, Naona ni malaika alieshushwa kubadili taswira na mienendo ya wanaume vichwani...

Wanawake ni viumbe hatari sana inatupasa kuishi nao kwa akili sana!
 
Back
Top Bottom